Pages

Wednesday, April 10, 2019

AISIIIII……….U KILL ME 13........ ONLY 18+

ILIPOISHIA
Kuingia ndani kwangu nikakuta simu yangu ikiita na kukuta ni Hassani akinipigia, nikaipokea akanijulisha yupo njiani anakuja, kwa haraka haraka nikajiandaa, nilipo maliza tu akanipigia simu tena na kunifahamisha kwamba yupo nje. Nikabeba begi langu, nikatoka na kufunga chumba changu, nikiwa kwenye kordo nikakutana na Mariam akitoka kuamka huku akiwa amejifunga, tenge moja. Alipo niona kwa haraka akaja kunikumbatia, joto lake likapenya kwenye mwili wangu na kujikuta nikisisimka. Tukiwa bado tumekumbatiana nikasikia mlango wa chumba cha mama Mariam ukifunguliwa, ikionyesha kwamba ndio anatoka chumbani kwake.

ENDELEA
Nikamuachia Mariam kwa haraka na kwaishara nikamonyeshea kwamba nitampigia simu, na asiwe na wasiwasi. Mama Marim alipo fungua mlango, macho yetu yakakutana.
“Mama mimi ndio ninakwenda”
“Ahaaa sawa Dany nakutakia safari njema na ugua pole”
“Sawa mama”
Tulizungumza mazungumzo ya mafumbo, kamba vile ni watu tunao heshimiana kumbe ni masaa machache tu yamepita tumetoka kuburudishana. Nikawaaga wote kwa pamoja yeye na mwanaye kisha mimi nikatoka nje na kumkuta Hassani akiwa ananisubiria nje ya gari. Akanipokea begi langu na kuliweka siti za nyuma. Kutokna gari yenyewe ni VX V8, hakuona haja ya kuliweka begi langu hilo nyuma kabisa kwenye buti. Nikapanda kwenye gari na Hassani naye akaingia, taratibu safari ikaanza. Tukiwa kwenye mataa ya Ubungo, simu yangu ikaita, nikaitoa mfukoni na kukuta ni K2 ndio anaye piga.
“Ndio bosi”
“Mumefika wapi?”
“Ndio kwanza tupo foleni hapa Ubungo mataa”
“Ahhaa sawa, nilitaka kulifahamu hilo tu”
“Usijali”
“Basi safari njema mukifika Tanga utanijulisha”
“Sawa”
Nikakata simu na kuirudisha mufukoni. Magari ya upande wetu yakaanza kuruhusiwa na trafki anaye yaongoza magari sehemu hii. Safari ikaendelea huku kwenye gari tukisikiliza msiki wa taratbu. Kutokana na mikiki mikiki niliyo ipata jana usiku na mama Mariam, nikajikuta nikipitiwa na usingizi na kumuacha Hassani akifanya kazi yake ya uendeshaji, sikuwa na wasiwasi naye kwa maana Hassani ni dereva mmoja mzuri, hadi amepewa jukumu la kumuendesha bosi wa kitengo chetu basi aliweza kufudhu majaribio mengi aliyo pewa kabla ya kuajiriwa.
Kwa mbali nikiasikia sauti ya Hassani akiwa anazungumza na mtu, taratibu nikajikuta nikifungua macho, nikakuta simu yake akiwa ameiweka sikioni. Nikataza nje ya kioo na kukuta tupo Chalinze, kwenye foleni kidogo ya mabasi yaendayo Morogoro na mikoa ya Tanga na Arusha.
“Sawa honey”
Hassani akakata simu, na kuiweka mfukoni mwake.
“Kaka umetembea?”
“Yaaa nimetumia lisaa kama na dakika tano hivi, ingekuwa hii asubuhi hakuna foleni foleni ya mabasi, basi sasa hivi tungekuwa mbali sana”
“Sawa sawa, tukifika pale Lugoba naomba tuingie tupate kifungua kinywa”
“Sawa sawa”
Safari ikazidi kusonga mbele muda huu tukiwa tunazungumza mambo mengi na Hassani. Tukafika maeneo ya Lugoba na kuingia kwenye shele hiyo ambo watu hapa wanajipatia vyakula mbalimbali. Hassani akasimamisha gari pembeni, kisha tukashuka wote wawili, akalifunga na kuelekea katika sehemu yenye mgahawa.
“Hassani zungumza tu unakula nini?”
“Kaka labda chai ya maziwa na sambusa”
“Kula ndugu yangu”
“Ahaa huwa nikiwa ninasafiri tena nikiwa ninaendesha huwa sipendi kula sana, huwa tumbo linamtindo wa kunisumbua sumbua”
“Sawa”
Nikaagizia sambusa tano na supu. Vikaeletwa vyakula hivyo na muhudumu tuliye muagiza na kuanza kula msosi huo taratibu taratibu. Tukiwa hapo mabasi kadhaa yakaingia, huku basi moja linalo kwenda Tanga niliweza kulifahamu, linaitwa Ratco. Wakashuka abiria wake, kwa ajili ya kuweza kujipatia vyakula na kunyoosha viungo.
“Hili gari linakwenda Tanga”
“Ahaaa”
“Yaa kampuni yake ipo maeneo ya uwanja mmoja Tanga uitwa Mkwakwani”
“Ahaa sawa, alafu hizi gari zipo nyingi sana”
“Yaa zipo nyingi”
Tukaendelea kula taratibu huku tukiwatazama abiri wanao zunguka zunguka kwenye sehemu hii, huku wengine wakionekana kuwa na haraka haraka. Gari ambalo tunalizungumzia, likaanza kuondoka eneo hili na kuelekea Tanga. Ila tukiwa hapo, tukamuona dada mmoja, akihaha huku baadhi ya wauza miskaji wakimuuliza ana tatizo gani.
“Ratco imeniacha”
Dada huyo alizungumza huku machozi yakinilenga lenga.
“Ratco si hili basi lililo ondoka muda huu?”
Hassani aliniuliza huku akimtazama dada huyo mwenye asili ya kiarabu.
“Ndio hilo”
“Kama linaelekea Tanga, basi tuondoke naye, tulifukuzie gari hilo”
“Hembu ngoja”
Nikanyanyuka kwenye kiti na kumfwata dada huyo sehemu alipo simama na wauza miskaki hao, wanao onyesha kufanya juhudi za kutaka kumsaidia.
“Samahani dada umechwa na basi hillo linalo elekea Tanga?”
“Ndio kaka yangu naomba munisaidie jamani”
“Mimi nipo na gari binafsi tunaelekea Tanga, tunaweza kulifukuzia gari hilo na kulipata”
“Kaka anga tafadhali nakuomba sana”
Dada huyu aliye valia baibui jeusi, alizungumza kwa kubabaika sana.
“Naomba unisubiri hapa”
Nikarudi hadi kwenye kiti alicho kaa Hassani, nikamuita muhudumu, nikampatia pesa anayo tudai, kisha Hassani akanyanyuka na kuelekea alipo lisimamisha gari. Nikamfwata dada huyo alipo, tukaelekea sehemu gari lilopo, yeye akapanda siti ya nyuma na mimi nikaka siti ya mbele ambapo ndipo kuna nilipo kuwa nikekaa.
“Dada yangu funga mkanda tafahali”
Dada huyo akatii alicho eleza na Hassani, na hapo safari ikaanza. Hassani ikamlazimu kutumia ujuzi wake wote katika kuhakikisha kwamba analifukuzia basi hilo na kulipata. Mara kwa mara nikawa ninayatupia macho yangu kwenye dasbod ya gari hili na kuona jinsi mshale wa spidi unavyo panda taratibu hadi kwenye spidi mia na thelathini. Nilijikuta nikiguna kimoyo moyo kwa maana gari kusema kweli, linakwenda mwendo mkubwa, sikuweza kumuambia Hassani apunguze kwa maana lengo la kufanya hivyo ni kulipata basi hilo.
“Dada usiwe na wasiwasi tutalipata basi hilo”
Nilizungumza huku nikigeuka nyuma na kumtazama dada huyo, anaye onekana kujawa na wasiwasi mwingi sana. Hassani hakuishia hapo akazidi kuongeza mwendo kasi, hadi mapigo ya moyo yakawa yananienda mbio kwani tayari mstari huo ulisha gonga kwenye spidi mia na sabini.
“Hapa tukikutana na askari wakitupiga tochi imekula kwetu”
Hassani alizungumza, huku akilipita gari kubwa, semitrela ambalo nalo lipo kwenye mwendo wa kasi. Hadi tunafika maeneo ya daraja la Wami, kidogo Hassani akapunguza mwendo, kwenye matuta hayo, ila basi hilo hatukuweza kulikuta.
“Ina maana Ratco inakimbia kiasi cha kutowea kulikuta?”
Hassani alizungumza na kumfanya dada huyo ambaye hadi sasa hivi hatulifahamu jina lake.
“Ndio, dereva wa leo anakwenda kasi kama nini?”
“Aahaaa anataka kugeuza tena?”
“Ndi akifika tena Tanga anageuza na kurudi nalo Dar”
“Basi hakuna tabu, hadi tunafika Segere na kuhakikishia Dany, tutakuwa tumesha likuta”
“Poa ni wewe tu”
Tukayamaliza matuta ya hale, na kuanza tena mwendo wa kukimbizana na wakati. Kusema kweli Hassani ni dereva bora na ninampa cheo hicho kutokana na mwendo anau utumia na umakini alio kuwa nao.
“Shitiiii”
Hassani alizungumza huku akianza kupunguza mwendo wa gari na kupangua gia moja baada ya nyingine. Mbele yetu alisimama, askari wa usalama wa barabani akiwa ameshika tochi kubwa ya kutazamia mwendo kazi.
Gari likasimama na askari huyo kwa kupitia kioo cha pembeni ya Hassani tukamuona akilifwata gari letu, hadi anakaribia Hassani akafungua kioo ili kumsikiliza afande huyo.
“Habari yako mkuu”
Hassani alimsalimia askari huyo huku akitabasamu. Askari akatazama ndani ya gari huku akitazama nyuma alipo kaa msichana huyo.
“Mbona unakwenda mwendo wa kasi sana?”
“Mkuu kuna sehemu tunawahi mara moja kikazi”
Ilinibidi mimi kuweza kulijibu hilo, askari huyo akanitazama kwa macho makali.
“Sijakuuliza wewe, mimi nimemuuliza dereva kwamba kwa nini anaendesha mwendo wa kasi wakati eneo hili si la kwenda kwa mwendo huo wa kasi”
“Sawa natambua hilo, ila mimi ndio nimemuamrisha kwenda kwa mwendo huo wa kasi muheshimiwa”
“Naomba leseni yako”
Askari alimuambia Hassani aliye anza kujipapasa, ila nikawahi kutoa waleti yangu na kutoa kitambulisho changu cha kazi, nikamuonyesha askari huyo, aliye kikataa kukipokea nilipo taka kumpa. Akakisoma kwa haraka haraka. Kisha akanitazama machoni, kwa sura ya unyonge akaturuhusu kuondoka.
“Daaa hawa jamaa wanakera sana”
“Ndio kazi yao hiyo, pasipo wao ajali zitakuwa zinatokea kila siku”
“Huwa nikimuendesha mkuu na kama tunakwenda Arusha au maeneo mengine huwa tukikutana nao, ananimbia nitembee tu”
“K2 si anamatatizo yule mwanamama”
“Halafu nasikia juzi katia amekutandika makofi?”
“Wee acha tuu, ndio maana nasema yule mwana mama ni mwenda wazimu”
“Hahaaaa”
“Dada naona tumekutenga?”
Nilimuuliza dada huyo huku nikigeuka nyuma, akatabasamu kisha akanijibu.
“Hapana kaka zangu mimi nipo sawa tu”
“Naitwa Dany, huyu mwenzangu anaitwa Hassani. Sijui wewe mwenzetu unaitwa nani?”
“Naitwa Rashda”
“Rashdaaa”
Hassani alilirudia jina huku akiwa na sura ya furaha.
“Ndio ni Rashda”
“Unajina zuri”
“Asante”
“Wewe unaishi Tanga sehemu gani?”
“Naishi Makorora kule”
“Napafahamu”
“Na wewe unaishi pia Tanga?”
“Yaa ndio kwetu nakaa maeneo ya Chumbageni”
“Sawa sawa”
Hassani akazidi kuliendesha gari hilo, kasi hadi tunafika Kabuku, ndipo tukaliona basi hilo kwa mbali.
“So dada yangu basi lenu ndio lile kule, so unahitaji tulipite na kulisimamisha au?”
Nilimuambia dada huyo, huku nikimtazama usoni, akaonekea kama kuto kutamani kushuka na kuendelea na basi lake.
“Au tuendelee na safari tukakushushe kwenye ofisi zao?”
“Itakuwa pia sawa, kwa maana mule kuna mizigo yangu tu”
“Ok poa. Hassani lipite twende zetu”
“Usijali mkuu”
Hassani akaomba nafasi kwa dereva wa basi hilo la Ratco kuweza kulipita, dereva wa gari hilo akamruhusu kwa kumuwashia taa ya pembeni, kisha Hassani akalipita basi hilo lililo kwenye mwendo kasi na safari ikaendelea.
Majira ya saa tano asubihi tukafika Tanga mjini, moja kwa moja tukampeleka Rashda hadi kwenye ofisi za basi hilo. Nikamuomba namba ya simu, hakunikatalia akanipatia kisha sisi tukaondoka.
“Unalala kesho ugeuze au unageuza leo”
Nilimuuliza Hassani tukiwa tunatoka kwenye ofisi hizo, na kumuelekeza barabara ya kuelekea.
“Weee nageuza kesho nasikia kwamba Tanga kuna wanawake wanakatika mijiuno, leo nataka nilale na hata mmoja”
“Hahaaa sasa, twende nyumbani tukatulie kidogo, jioni tutaanza matembezi”
“Poa kamanda wangu leo nataka kula demu wa kitanga”
“Usijali ni wewe tu”
Tukafika nyumbani kwa mama, na kumkuta mfanyakazi wa ndani ambaye ndio mara yangu ya kwanza kuweza kumuona, akatukaribisha. Nikajitambulisha kwamba mimi ni mtoto wa mama Dany.
“Ahaaa wewe ndio kaka Dany”
“Ndioo, hujakosea mama yupo wapi?”
“Bado yupo kazini”
“Ahaa sawa, huyu ni rafiki yangu anaitwa Hassani”
Mfanyakazi huyo ambaye ni mrefu, kiasi japo sura yake inaonyesha ni ya kitoto ila amejaliwa kufungashia makalio makubwa, huku chuchu zake zikiwa ni ndogo kidogo. Akapokea begi langu la nguo na kulipeleka chumbani kwangu.
“Kaka ndio vimwana wa Tanga hao?”
Hassani aliniuliza huku akimchungulia mfanyakazi wetu akiielekea ndani. Nikabaki nikitabasamu, dada huyo wa kazi akarudi sebleni akatuomba atuhudumie kifungua kinywa.
“Hapana sisi tupo vizuri tu”
Nilimjibu dada huyo, akaondoka na kwenda kuendelea na kazi zake. Nikanyanyuka na kueleka jikoni, nikamkuta dada huyo anakata kata maini kwenye kibao maalumu cha kukatia. Nikafungua friji na kukuta lina vitu vichache.
“Mbona friji lenu limefulia hivi?”
“Mama hajanipa pesa ya kwenda kununua vitu”
“Ina maana mama kafulia kiasi cha friji kukosa hata soda”
“Sijajua”
“Muna pika nini?”
“Maini na ugali”
“Sikia pika maini, kanunue viazi, nataka kula chipsi mayai leo”
“Ila mama ameniambie nimuandalie viazi”
“Ahaa wewe muambie Dany kasema anataka chipsi sawa”
“Sawa”
Nikatoa noti tano za shilingi elfu kumi na kumkabidhi dada wa kazi.
“Nichukulie na soseji pakti nne, tatu ziweke kwenye friji moja nichemshie”
“Sawa kaka”
“Juisi ya embe si ipo”
“Ndio ipo kwenye kidungu humo kwenye friji”
Nikachukua glasi mbili, nikamimina juisi na kuelekea nayo sebleni.
“Mwanangu tunywe hata juisi, tukisubiria chakula cha mchana”
“Poa kaka”
“Dany hivi jumba lote hili unaishi mama mwenyewe”
“Yaa anaishi na huyo mdada wa kazi, nakumbuka kuna mmoja alikuwepo sasa sijui ameondoka ndio amekuja huyo”
“Aiseee bi mkubwa anaonyesha ana mkwanja ehee”
“Ahaa kawaida, yeye ni mkurugenzi wa jiji hili”
“Duu”
“Yaa, ila mkwanja alikuwa nao mzee, ambaye kwa sasa ni marehemu. Alikuwa anafanya kazi kwenye kile kiwanda cha Cement tulicho kipita tulipo kuwa tunaingia mjini”
“Ahaaa kile kilicho andikwa Simba Cement?”
“Yap”
“Daa safi sana, kumbe mule ofisini tunafanya kazi na watoto wa vibopa, wengine wala hatuelewi”
“Ahaa unajua maisha mazuri ni yale ya kutafuta chako. Mimi nilikuwa sipendi sana kuishi maisha ya kutegemea wazazi au mali zao, isitoshe tupo wawili mimi na mdogo wangu wa kike yupo Marekani sasa hivi anachukua shahada ya urubani”
“Aiseee”
Tuliendelea kuzungumza mambo mengi na Hassani huku tukitazama filamu kwenye Tv, hadi inafika saa nane mchana chakula kikawa tayari, dada wa kazi akatukaribisha sehemu ya kula. Tukanyanyuka na kukaa kwenye viti viliyo izunguka meza ya chakula.
“Aisee dada chakula chako kina nukiaje”
“Asante kaka Dany”
“Unaitwa nani?”
“Yudia”
“Ok, umetokea wapi?”
“Lushoto”
“Ahaa kumbe wewe ni msambaa?”
“Hapana mimi ni Mpare”
“Urewedi”
“Sirewedi kaichawe?”
“Ni chedi. Hahaaa nimebahatisha bahatisha kuzungumza kipare”
Nilicheka nakumfanya Yudia na Hassani nao kucheka. Alipo maliza kutunawisha mikono akatukaribisha chakula kisha akaondoka. Tukiwa katikati ya kulala Yudia akapita sebleni na kueleka nje, jinsi makalio yake yanavyo tingishika nilijikuta nikimezea mate. Akaingia ndani akiwa amebeba mifuko myeusi miwili iliyo jaa vitu, kwa haraka nikatambua kwamba mama amerudi.
“Ni mama huyo?”
“Ndio”
Mama akaingia huku akiwa amebeba pochi yake, alipo tuona akatabasamu na kuanza kupiga hatua za kuja kwenye meza ya chakula.
“Haya na wewe kilicho kuleta huku ni nini?”
Mama alizungumza kwa utani, kwa pamoja mimi na Hassani tukajikuta tukinyanyuka na kumsalimia mama, akaitikia na kukaa kwenye moja ya kiti.
“Nimekuja likizo”
“Mmmm likizo gani hiyo, kwani nyinyi munapewa likizo kweli?”
“Ahaa mama kwani kuna kazi ambayo haina likizo”
“Kwa mimi ninavyo jua huwa kazi yenu muda wote ni kumpelekea Magu umbea”
“Hamna mama”
“Ila ni kwema huko mutokapo?”
“Ndio huyu ni rafiki yangu aitwa Hassani, yeye ndio amenileta na gari kutoka Dar”
“Karibu mwaya Hassani, hapa ndio nyumbani kwa kina Dany na mimi ndio mama Danya au mama Diana”
“Nashukuru sana mama”
“Mama nikuletee chakula?”
Yudia alizungumza na kumfanya mama kutingisha kichwa akikubaliana na jambo hilo.
“Alafu Yudia, weka hao samaki kwenye friji wasije wakaharibika”
“Sawa mama”
Mama akaletewa chakula na Yudia, tukaendelea kula hadi sote tukamaliza. Mama akatuaga nakuelekea chumbani kwake, kisha mimi na Hassani tukaingia chumbani kwangu. Nikamuonyesha bafu ili aweze kuoga na kubadilisha nguo. Uzuri ni kwamba miili yetu inaendana kwa hiyo swala la kuvaliana nguo ni lakawaida sana. Nikamuandalia nguo Hassani za kuvaa, alipo toka bafuni na mimi nikaingia bafuni na kuoga, nilipo maliza nikatoka na kuvaa nguo nyingine.
“Jamaa una maisha mazuri wewe”
“Kawaidia tu. Twende tukatembee huko town, nikuonyeshe onyeshe warembo”
“Poa”
Tukatoka chumbani, nikaelekea chumbani kwa mama na kumuga kwamba tunakwenda matembezi, akakubali, nikarudi sebleni nakuondoka na Hassani, aliye nikabidhi funguo za gari hilo tulilo kuja nalo. Yudia akatufungulia geti na sisi kuondoka na kuelekea sehemu moja inaitwa forozani.
“Kaka ile klabu pale mbele inaitwa chichi. Usiku kuna kuwa na malaya wengi ile mbaya”
“Wee”
“Tukae hapa hadi ngoma tatu hivi utaona mitako ikijikatiza”
Kwa haraka haraka nikaweza kumsoma Hassani ni mtu wa kupenda wasichana. Wazo la kumpigia K2 likanijia kichwani, nikaitoa simu yangu mfukoni na kumpigia.
“Vipi mumefika salama?”
“Ndio”
“Nipo na Mrs nitakucheki baadae”
“Sawa”
Nikakata simu, tukaendelea kuvuta vuta muda kwenye eneo hilo, huku tukitazama wasichana wazuri wanavyo pita eneo hilo. Majira ya saa tatu kasoro, wasichana ambao kazi yao ni kujiuza, wakanza kujikatiaza katika katika eneo hilo.
“Dany unaona mambo hayo”
“Nayaona, kazi ni kwako”
“Twende pale walipo simama”
“Sikia mimi ngoja niende kwenye gari kisha wewe njoo na wale wawili pale. Kwa maana sura yangu inaweza kujulikana si unajua mama ni mkuu”
“Poa wewe subiri”
Hassani akaondoka na kuniacha kwenye kiti, nikamuita muhudumu aliye tuletea juisi, kisha nikanyanyuka na kuelekea kwenye gari. Hakupita muda Hassani akaja na wadada hao wawili walio valia vijisketi viwili. Wakaingia kwenye gari wote watatu, tukaondoka eneo hilo na kueleka hoteli moja inaitwa Mtendele.
Hassani akachukua chumba kimoja na kutangulia na wadada hao, baada ya Hassani kunitext kwenye simu, nikashuka kwenye gari na kuelekea gorofani kwenye chumba alicho nitajia namba yake. Nikafika mlangoni, nikasikia sauti ya Hassani akiniruhusu kuingia. Nikamkuta Hassani akivuliwa suruali na wadada hao walio shirikiana kwa pamoja. Nikaufunga mlango kwa ndani kisha mimi nikaka kwenye sofa na kuwatazama wadada hao jinsi wanavyo mchezea Hassani mwili mzima na wakiendelea kumvua nguo moja baada ya ngingine.
ITAENDELEA

No comments:
Write comments

Recommended Posts × +