Habari zenu wapenzi wasomaji wa makala zangu hasa zinazohusiana na mahusiano katika jamii yetu kifamilia, urafiki, mapenzi na ndoa. Nimepata maswali mengi sana katika mada iliyopita ya`` ujue utamu wa matiti`` hata hivyo niwaahidi kuwa nitairudia tena na kujibu maswali yote hapa kwa manufaa ya wote
Leo niongelee sehemu nyeti sana nayo ni kisimi au kwa lugha nyingine wanakiita kinembe.hii ni sehemu ya nje ya uke wa mwanamke ambayo ina mishipa(neva) nyingi za fahamu hivyo ikitumiwa kwa ustadi na weledi wa hali ya juu itakuwa silaha tosha kulinda penzi lako.
Kwanza kabisa baada ya kumaliza kuchezea na matiti(ujue utamu wa matiti) nenda taratibu ukisogeza kidole ,uwe umekilowesha kidogo na mate au ute ute kama upo tayari ukeni. Anza kwa kupapasa juu juu tu ya kisimi taratibu kimahaba kwa kidole cha kati laini chenye utelezi kidogo ulichokiandaa kama vile unatengeneza duara, endelea kupapasa taratibu kimahaba hadi kisimi kitakapo simama (kitakuwa kigumu kimtindo) huku ukiongeza kasi ya uvutaji wako wa pumzi ili kumfanya ajione huru zaidi na hapo utaona anapanua miguu vizuri na kukusogezea karibu uke wake.wewe endelea usidate na mbwembwe zake.
Pili Kisimi kikisimama taratibu badilisha staili na uanze kukisugua kimahaba kutoka chini kwenda juu .fanya hivyo kwa takribani dakika nne huku ukibadilisha mwendo,anza na wa taratibu huku ukiongeza speed kulingana na pumnzi zake.utaona anahangaika hadi anainua miguu juu kwa utamu wa kinembe. Usijali endelea na kazi yak. Hapa kelele, miguno na maneno machafu ya kimahaba yatamtoka kinywani mwake. Hapo sasa ujue unakaribia kitonga.
Tatu ukifanya hivyo kwa muda utagundua pia kwenye kinembe hicho hicho kuna kasehemu kagumu zaidi yani kama kakipele au kachunusi hivi. Sasa concentrate au hamia hapo ukasugue kwenda juu huku ukikabinya binya taratibu kimahaba haitachukua sekunde kadha demu au mpenzi wako atakutoa mkono au kubana miguu akisema inatosha .Hapo atakuwa ameshapiizi au atakimbilia kukushika uume wako ili ajiingize au atakuvuta wewe mwenyewe ili uingie ndani….kataa kuingiza ili kuendelea kumpa shauku ya kutaka na wewe endelea na hatua nyingine hivyo umejichulia ubingwa kabla ya kuingia uwanjani kucheza. Je uwanjani utachezaje..au kuna maandalizi mengine ndani ya uwanja…..usikose awamu ijayo
Mwisho Usiache kuniachia koment yako….iwe ushauri,swali au maoni
Friday, May 24, 2019
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Write comments