Pages

Friday, May 17, 2019

JAMANI SHEMEJI TARARATIBU.. Sehemu:1

Jina langu naitwa Marian naishi na Dada yangu maeneo ya bagamoyo, Dada ameolewa na amebahatika kupata mtoto mmoja. Dada yangu ni mwalimu wa shule moja ya msingi huku kwetu.. Siku moja Dada aliondoka akaenda kumsalimu mama kwani mama yetu anaishi mkoani arusha na nyumbani akatuacha Mimi na shemeji yangu nyumbani na aliahidi kurudi baada ya wiki mbili. Nilimsindikiza Dada mpaka stendi ya ubungo na akapanda gari kuelekea nyumbani kwa mama... Akiwa garini alinambia "Miriam mtunze vizuri shemeji yako mpaka nirudi" nilipo fika nyumbani nilimalizia kufanya usafi na nikamuandalia shemeji maji ya kuoga ili aende kazini.. Baada ya kuoga alikunywa chai na kwenda kazini..
****
Jioni Shem alirudi baada ya kula chakula cha usiku tuliagana nikaingia chumbani na kujitupa kitandani.. Nikajilaza ...
Massa yalipita na taratibu nilipotelea usingizini kabla yakushtuliwa na sauti ya mlango wangu kuashiria kunamtu alikuwa anaingia ... Nilipaparika kutaka kuwasha taa kabla ya taa kuwaka nilihisi mkono ukinishika mapajani na sauti ikasikika usiogope miriam ni Mimi .......
Je ni Nani huyu? Na anataka nin kwangu?????

No comments:
Write comments

Recommended Posts × +