Pages

Wednesday, April 24, 2019

HAPA BUSARA INAHITAJIKA SIJUI KASHALIWA ??

Mwanamke kaazima ndoo ya mpangaji mwenzake chumba cha pili ambae ni kijana hajaoa. Alipomaliza kuoga

 akajifunga khanga yake moja akatoka bafuni akairudisha ndoo, alipofika ndani kwake akakumbuka amesahau

 chupi yake kwenye ile ndoo, akatoka harakaharaka vilevile na khanga moja na kugonga mlango.

Jamaa akamwambia aingie ndani aichukue, Anatoka tu mlangoni anakutana na mumewe anatoka kazini 

kamuona mkewe kavaa khanga moja na mkononi kashika chupi.

Je wewe ungekuwa ni mume au mchumba wake ungefanya maamuzi gani?

No comments:
Write comments

Recommended Posts × +