Naitwa Maria ni mzalia wa Mwanza
Naomba ushauri na msaada wenu ndugu na marafiki zangu.
Nnamo mwaka jana mwezi wa sita Dada yangu alipiga simu nyumbani akiniitaji nije Dar es salaam kusoma pia niwe nikimsaidia kazi ndogo ndogo za nyumbani kwake .
Japo alikua na watoto wa kike tuliolingana nao kiumri lakini aliahidi pia kunisomesha.
Pia siyo dada yangu wa kuzaliwa naye kabisa.
Ni mtoto wa Ma mkubwa wangu.
Hatimaye Dar nilifika na kupokelewa vizuri, lakini cha ajabu kadri siku zilivyokua sikizidi kwenda nilikua sioni dalili yoyote ya kwenda sule wala kufanya chocho.
Kila nikiuliza naambiwa nisubiri fomu zinakuja zina kuja.
Nilivyoona mda unazidi kwenda niliamua kuongea na Dada ili anieleze mstakabazi wa masomo kama upo au wamenichukua na kuja kunifanyosha kazi.
Dada alinigombeza na kuniambia nikamwambie shemeji yangu kwani yeye ndiye aliokuwa na fomu zangu.
Sikufa moyo sababu sule nililua nikihitaji nilisubiri wiki mbili shemeji akawa amerejea kuketoka safari .
Nilimpokea na kumkaribisha, kisha nilimuekea maji ya kuoga .
Ilikua ni usiku hivyo siku mwambia kitu.
Kesho yake asubuhi na mapema nilimwambia, na aliniambia niondoe shaka madam yeye karudi shule naenda.
Dada alivyo sikia nikiahidia vile alikasirika na kumipiga sana.
Lakini nilivumilia.
Maana dada alidai nina kitu nakifanya na mume wake, aiwezekani anikubalie kirahisi hivyo kunipeleka shule.
Kweli baada ya wiki mbili nilipelekwa chuo cha ufundi.
Mambo ya libadilika kwa shemeji na dada pia .
Dada akawa ndiyo mtu mwema na shemeji akawa ndiyo mwiba kwangu.
Kila nilipo muomba pesa za nauli na maitaji ya shule alikua akinipa na masimango sana.
Kila nilipo mwambia dada alinishauri nivumilie kwani ninacho kitafuta ni kwa faida yangu.
Siku ya siku Dada alisafiri na mimi nyumbani nilibaki ndiyo mkubwa pamoja na shemeji.
Ikiwa watoto wake wawili walikua shule za boading mikoa tofauti.
Usiku wa siku ya tatu tokea Dada asafiri kwenda nyumbani Mwanza.
Shemeji aliniingilia chumbani kwangu huku akiwa na taulo tu huku mimi nikiwa na chu** peke yake nimelala kwa kujiamini maana nilikua nikilala peke yangu na hakukuwa na mtu mwenye mazoea ya kuingia chumbani kwangu, zaidi ya dada.
Shemeji aliniziba mdomo akinitaka kuwa kimya, maana alinistua usingizini.
Alinitaka kimapenzi lakini nilimkatalia.
Aliniahidi vitu vingi sana lakini kwa heshima ya dada nilikataa.
Japo alinipa samsung not4 mpya ikiwa ndani ya box lake, huku mkononi akiwa na pesa pia.
Na akiniahidi pesa nyingi tu endapo penzi nitampatia.
Sikua tayai aliondoka na vitu vyake baada ya kumkatalia japo alinibembeleza sana.
Kesho yake katika chakula cha usiku .
Tulikula kwa pamoja maana alikuwa amewahi kurejea kurejea nyumbani kuliko siku zote anazotokaga kama ajaenda kazini.
Nikiwa nimesha pakua chakula cha kila mtu.
Shemeji alinituma jikoni kumleta kahawa, japo mezani kulikuwa na jagi la juisi kulikua na juisi.
Niliporudi nilikua kila mmoja ameshawekewa juisi yake yake ktk glasi yake, nilishangaa kahawa ni ya nini.
Nilipo muuliza alisema basi , na mimi nilikaa ili nile.
Baada ya chakula kuisha nilijisikia kulewa lewa hivi mwishoni nililala katika meza.
Baada ya muda nilistuka nikiwa chumbani kwangu tena nikiwa mtupu kama nilivyo zaliwa na shemeji amelala pambembi yangu.
Naye akiwa mtupu nilijihisi kuchanganyikiwa maana niliamini aliniwekea kitu ndani ya juisi ili atomize azma yake.
Nilitambua amesha niingilia kimwili, sikuwa na jinsi tena zaidi nilimuuliza ametumia kinga .
Alinijibu hapana huku akinitaka radhi akidai alikua amelewa.
nililia sana maana nilikua katika siku za hatari, na nilitambua nikipata mimba nitamueleza nini Dada.
Na kweli sasa ni mjamzito na ujauzito huu ni washemeji yangu.
Kumwambia dada ukweli ashindwa.
Na shemeji ila kukicha ananipa zawadi na pesa ili nisiseme na hataki nitoe.
Na mimi nampenda dada yangu na akijua mimi nitaificha wapi sura yangu.
Japo mimi sikutaka lakini hato nielewa maana sikumwambia siku zote.
hapa nilipo nipo njia panda Sijui nifanye nini.
Natamani kuitoa lakin shemeji ataki.
Dada naye anamtaka mwenye kunipa mimba hii.
Yani nakosa raha.
Sijui nifanye nini
Nitoe kuilinda heshima yangu na familia yangu.
Au nibaki nayo kumrizisha shrmeji.
Na je mtoto akizaliwa nitamwambia baba yake ni nani?
Nipo njia panda mwenzenu naomba msaada wenu nifanye nini mimi.
Niitoe au nibaki nayo.
Naimani hapa nitapata jibu zuri kutoka kwa wasichana wenzangu.
Na kina kaka pia.
Nitashukuru sana maana nilichobakiza sasa ni mimi kunywa sumu nife ili niepuke na hii aibu jamani.
NAOMBA USHAURI WAKO EWE MWANAMKE MWENZANGU
EWE KAKA nisaidie mimi nini nifanye.
Nimekwama mwenzenu.
Maria
Miaka 19
Naishi mikocheni Dar es salaam
Natumaini mumemuelwa msichana huyu mdogo akiitaji ushauri wenu.
Share na wezako ili aweze kupata msaada mzuri utakao mfaa maishani mwake
Wednesday, April 10, 2019
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Write comments