Pages

Saturday, April 6, 2019

VICHEKESHO HIVI KIBOKO! SOMA KWA UANGALIFU USIVUNJE MBAVU ZAKO!

KAMA UNAITWA DAUDI
Kama unaitwa Daudi na una demu wako amekuandikia ‘sms’ kuwa anaumwa yupo hospital anaomba umtumie hela, usimtumie maana kuna demu niko nae hapa kwenye daladala ndo kaandika hivyo na anacheka ni mzima kabisa.
MAANA YA UJINGA
Ujinga ni nini? Ujinga ni kulala Giza wakati bibi yako ni mwanga 😁😁
USIMWAMINI YEYOTE!
Haya Maisha Duniani hupaswi kumwamini mtu yeyote.... Hivi unajua kuwa hata TANESCO wana Generator ofisini kwao....
#UaminifuUshaisha
SITASAHAU
Sitasahau siku nilipotoka nyumbani saa kumi na moja jioni nikiwaacha wanapeta mchele😁😁😁😁  lakini niliporudi saa mbili nilikuta ugali mezani😰😰😰😰.
NilihuzunikaπŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜” sana na sito sahau.
GAME LA NYOKA
muda huu vijana walio single wamelala wameweka mikono yao  ndani ya boksa wanacheza game la nyoka.
 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

SEHEMU ZA SIRI           
Sehemu za siri walikua nazo wazee Wa zamani, sisi tuna sehemu za utalii, kwa sababu wameona zaidi ya watu 77πŸ˜‚πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nakuona unahesabu wameona wangapi haha haha na si kuona tu hadi kushika....                     
JUST NUMBER, JUST ROOM
Mike: I really love her.
Dave: She is 13 and you're 24.
Mike : Age is just a number.
Dave: Yeah and jail is just a room!!
MECHI YA MARUDIO                 
Nipo hapa naaangalia mech ya marudio kati ya Liverpool na arsenal Bado Arsenal wanarudia makosa yaleyale 😑😑😑😑                     
USIPOPAMBANA UKIWA KIJANA
Yani usipopambana ukiwa KIJANA... ukija kufa Historia ya marehemu itakua fupi tu…
"Marehemu alizaliwa, akazurura, Akafa.                     
TUONYESHANE
Nioneshe msichana mzuri mjini  unae mjua ambae ana mwanamume mmoja na mimi nitakuonyesha sidiria na sing'lendi yenye mikono mirefu πŸ˜‚πŸ˜‚

DAWA YA MKE MKOROFI
Unapogombezana na mke wako mkiwa kwenye umati wa watu, ukiona amekaribia kukushinda Mvue wigi lake.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚                     
KITUKO CHA BONGO MOVIE
Leo nimekaa zangu home nikasema ngoja niangalie movie za kibongo ( bongo movie )… mara paaap! katokea  JINI makaburini amevaa jezi ya LIVERPOOL…  tena mgongoni imeandikwa BALOTELI🀣🀣🀣… nimezima TV yenyewe saa hz niko zangu mtaani naangalia matarumbeta🀣🀣🀣                     
SWALI GUMU LA MROMBO
Mrombo mmoja alinunua nyama 1kg ili achomewe. Ilipoiva akasema ipimwe tena na ikawa 3/4. Akauliza 1/4 imeenda wapi, akajibiwa imeenda na moto.
Akauliza, kwa hivyo nikipima 1/4 ikichomwa sitapata kitu? Hadi saai hawajamjibu... Ameenda tafutwa Meneja. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚                     

MGANGA NA BANGO LAKE

Kuna sehemu nimepita Ilala nikakuta mganga kaweka bango NAWEZA KUMRUDISHA JK MADARAKANI watu wamejaa huwezi aminiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

No comments:
Write comments

Recommended Posts × +