SWALI:
Jesca mambo vipi? nazani upopoa unatuelimisha sana t2 nimesoma page nying sana kuusu mapenzi kweli unaelimisha naomba nikuulize swali nini hasa upunguza nguvu zakiume? miambavyo navijua ni punyeto,sigara kwelikuangalia move za ngono minaona inachangia kwakiasi fulani.je pombe inahamsha isia? kweli minaona vijana weng wana kunywa viroba vya konyag na ginesi wanasema wakiingia uwanjani wanapiga ata raundi 5 kama ajanywa kitu pili kwashida je kunaukweli apo jingine unakuta umeo upona mke wako faragha ukizungusha raundi 1 basi inasinyaa kabisa ataiweje aisimami tena minakuwa vijiweni tunapiga stor nying sana na kuna dokta mmoja nirafiki angu sana anasema yeye vijana weng kila wakija wanakuja naswala ilo sijui chakula kinachangia je kama nichakula kinachangia tule chakula gani ili matatizo haya yasitokee wanawake ambao wako na familia zao wanavumilia ving mbaya na mwewe akibahatika kumkwapua ole wako wewe mwanaume utateseka utadharauliwa mpaka utaletewa haramu iviivi bila kujua mkewako kama humtoshelezi akikutana namwanaume wa nje tu akipapaswa kidogo anahema kama mbwa mwenye kiu anashindwa kujizuia dada jesca saidia hawa vijana nijibu kwenye fb alafu uta wapostia hewani ili kilamtu asome
JIBU:
Kwanza naomba nikwambie mimi sio dokta wa mambo haya ila naandika kile ambacho kipo kwenye upeo wangu na jinsi ambavyo mimi nafikiri Nikirudi kwenye swali lako:Kunywa pombe nyingi pia huchangia kwa kiasi kikubwa kupungua kwa nguvu za kiume unapokunywa viroba vingi ili upige game kwa muda mrefu huna tofauti na yule anayekunywa dawa mbalimbali au anayechoma sindano ili apige game kwa muda mrefu wote mpo sawa na madhara yake yote sawa ni pamoja na kuishiwa nguvu za kiume, Utakapokunywa viroba vingi sawa utaweza kupiga game kwa muda mrefu ila kuna mishipa ambayo ipo kwenye uume wako unakuwa unailegeza taratibu bila kujua mfano ni kama nguo inayovutika inaweza kumtosha mtu mwembamba na mnene pia ila ikivaliwa sana na mtu mnene yule mwembamba hawezi kuja kuivaa tena inakuwa imashalegea vivyo hivyo na uume. Unakuwa unaichosha ile mishipa na inalegea matokeo yake siku hujanywa viroba utapiga game kwa dakika 2 tu na hutaweza tena kuendelea.
Njia nzuri ya kuwa na nguvu za kiume za kutosha ni
1.Kula vizuri: Haswa vyakula vya wanga huongeza nguvu za kiume especially products za mihogo(Cassava)
2.Kunywa maji mengi
3: Pata muda wa kupumzika: mwili wako unahitaji kupumzika sababu ukiwa na uchovu hata performance yako itapungua
4.Fanya mazoezi ya viungo: Mazoezi husaidia sana kufanya mwili kuwa na nguvu na pumzi ya kutosha
NOTE: Tafadhali usimnywee demu wako viroba humkomoi yeye unajikomoa mwenyewe,ukiendelea hivyo iko siku utashindwa kusimamisha kabisaaaa mwisho wa siku utaanza kwenda kwa waganga kutafuta dawa.
Hao wanawake za watu unaowasemea tatizo kubwa la waume zao wengi ni
1. Uchovu: wengi wanakuwa na majukumu hata muda wa kufanya mapenzi na wake zao wanakosa kwasababu kazi zimemzidi kila akirudi home kachoka hoi hajiwezi
2. Kisukari: Huu ugonjwa unasumbua wengi sana mtu mwenye kisukari kuridhisha mwanamke ni kazi sana japo kuna wengine wanajitahidi kwa hilo
3.Nyumba ndogo: Nina uhakika asilimia kubwa wana wanawake nje na ndiyo inapelekea kushindwa kumtimizia mkewe ndani, kama ujuavyo nyumba ndogo shughuli yake nzito sasa jamaa akitoka huko kakwanguliwa kila kitu hata miguu inamtetemeka unadhani atawezaje kupiga game?
4. Maelewano mabovu pia huchangia, kama ndani ya nyumba kuna maugomvi kila siku sidhani pia kama hawa watu watakuwa wanaridhishana
Kutokana na hizo sababu chache wanawake wengi sana ndani ya ndoa zao hukosa haki zao za msingi za mapenzi
Mwenye ujuzi na haya mambo au daktari yoyote unaweza pia kutusaidia na hili swala au kama kuna sehemu tunakosea tueleze.
Friday, April 26, 2019
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Write comments