Pages

Thursday, May 16, 2019

AISIIIII……….U KILL ME 23........ ONLY 18+

ILIPOISHIA
Raisi alizungumza kwa kubabaika sana, kitendo kilicho nishangaza hata mimi mwneywe.
“Hapana dhiara yoko iwe pale pele muheshimiwa, ila ninacho kuomba uweze kuondoka Dar es Salaamu kupitia botii usiku wa leo. Ondoka na walinzi wako unao waamini ukisha fika Tanga mimi ndio ninakaye kupokea katika ufukwe wa Mwambani”
“Sawa sawa kijana nitafanya hivyo na msafara wangu wa kesho je?”
“Awepo raisi feki ambaye anaweza hata kuvalishwa sura ya bandia”
“Basi nitafanya hivyo kijana asante sana na Mungu akubariki”
“Asante muheshimiwa”
Simu ikakatwa, Olvia Hitler akaachia tabasamu pana kisha akanyanyuka kitandani na kunisokela sehemu nilipo simama, akalifungua taulo langu na kunishika jogoo wangu na kumninya taratibu, kitu kilicho ufanya mwili wangu mzima kusisimka kupita hata nilivyo wahi kushikwa na mwanamke yoyote kwenye maisha yangu.

ENDELEA
“Unajisikiaje?”
Olvia Hitler aliniuliza kwa sauti laini huku akiendelea kumchua jogoo wangu.
“Ra…rahaaa”
“Ok baadae kafanye kazi kwanza”
Olvia Hitler akaniachia na kusogea pembeni yangu, tukatazamana kwa sekunde kadhaa kisha akaotoka mlangoni pasipo kuufungua, kitendo kilicho nishangaza sana. Nikabaki nikiwa nimesimama kwa sekunde kadhaa huku macho yakiwa yamenitoka nikikilifikia tukio la Olvia Hitler kutoka kwenye mlango huu. Mlio wa simu yangu ndio ukanistua na kujikuta nikiitazama ni nani anaye piga. Nikakuta ni K2, nikashusha pumzi nyingi kisha nikaipokea simu.
“Dany za asubuhi mpenzi wangu?”
“Salama za kwako?”
“Safi vipi kuna taarifa yoyote ambayo imetokea?”
Nikataka kumuambia ndio, ila nikasita kidogo na kufikiria, kitu ambacho nimekizungumza na raisi.
“Dany”
“Eheee”
“Vipi mbona kimya?”
“Ahaa hakuna kitu, kidogo usingizi ndio unanipitia pitia hapa”
Ilinibidi kuongopea japo usiku mzima sikuweza kulala, ila uchovu wangu wote umweweza kuniondoka kutokana na maajabu niliyo weza kuyaona kwa mara yangu ya kwanza kwenye maisha yangu.
“Ahaa ina maana bado umelala mpenzi wangu?”
“Yaa baby, nimechoka sana. Ila hakuna kitu kilicho jitokeza”
“Ok sawa ngoja nikuache upumzike kipenzi changu mwaya”
“Asante sana baby”
“I love you Dany”
“I love you too baby”
K2 akakata simu na kujikuta taratibu nikikaa kitandani huku kichwa changu kikiandamwa na mawazo ni kitu gani ninaweza kukifanya kuingia katika ofisi ya Meya na kuichukua Nyaraka ambazo ni mali ya mama. Sikuona kama ninaweza kuendelea kukaa hotelini hapa, nikaingia bafuni na kuchukua tisheti yangu ambayo bando ni mbichi. Nikaivaa hivyo hivyo japo nina tambua ina madhara kwenye kidonda changu mgongoni, nikaivaa suruali yangu, pamoja na viatu. Nikachukua kila kilicho changu ndani ya chumba hichi na kutoka. Nikaeleka sehemu nilipo liacha gari la mama, nikafungua na kuingia. Nikaondoka hotelini hapa taratibu na kuanza kueleka katika ofisi za Meya zilipo. Uzuri wa jiji la Tanga, hakuna magari mengi kiasi cha kufanya kuwa na foleni kama Dar es Salaam. Sikuchukua muda mwingi kuweza kufika katika ofisi za meya huyo. Nikaisimamisha gari yangu mbali kidogo na ofisi hiyo kwa mana gari hili ni la mama na nina hisi kwamba ni watu wengi wanalifahamu, japo yapo mengi hapa mjini ila mtu anaweza kufahamu namba za usajili wa gari. Kabla sijashuka simu yangu ikaita na kukuta ni mama, nikaipokea na kuiweka sikioni huku nikiacha gari likiwa bado linawaka.
“Shikamoo mama”
“Marahaba, umefikia wapi?”
“Sasa kuna kazi nina ifanya nitakufahamisha”
“Sawa, ila nataka kwenda ofisini leo kuna kikao cha maandalizi ya mwisho ya kumpokea raisi”
“Mmmm, huoni kama inaweza kuwa ni hatari kwako?”
“Hapana haiwezi kuwa na hatari, kwa maana nitatumia gari la baba yako mkubwa hapa”
“Sawa mama kuwa makini, na usiache kunitaarifu kwa chochote kitakacho endelea na nyaraka zako by saa nne nitakuwa nazo”
“Nitakushukuru sana mwangu, kwa maana hapa ninakwenda ofisini ila sina hata amani”
“Usijali mama kila kitu kitakuwa salama”
“Sawa, ila kuwa maniki Dany, usije na wewe ukaingia kwenye matatizo”
“Usijali hilo mama yangu”
“Ok asubuhi nje”
“Nawe pia mama”
Nikakata simu, nikazima gari na kuchomoa funguo. Nikashuka kwenye gari na kuanza kutembea kwa miguu kuelekea kwenye ofisi hizo za Meya, kwa bahati nzuri nikamkuta msichana ambaye amevalia mavazi ya sectretary akifungua ofisi hiyo.
“Habari yako dada”
“Salama, kaka habari ya wewe”
“Safi tu, naonao ndio unafungua ofisi?”
“Yaa ndio mida yetu ya kufungua ofisi”
“Ahaa sawa sawa. Meya huwa anafika saa ngapi?”
“Saa mbili na nusu huwa ndio muda wake”
Nikatazama saa ya kwenye simu yangu na kukuta ni saa moja na dakika ishirini. Dada huyo akaingia ndani ya ofisi hizo na mimi nikamfwata kwa nyuma. Akaniomba nikae kwenye moja ya vii vilivyo pangwa vizuri kwenye sehemu ya mapokezi. Akaanza kufanya usafi huku muda mwingi nikiwa ninamtazama jinsi anavyo fanya usafi huo. Sio mzuri sana wa sura, ila amebarikiwa kalio kubwa, na mguu mzuri. Kijisketi chake cheusi alicho kivaa kinacho ishia juu ya magati kwa mara kadhaa kinanifanya nizidi kumtazama pale anapo inama. Jogoo wangu akaanza tabia yake ya kuleta fujo ya kunyanyuka nyanyuka ndani ya suruali.
“Ngoja nikamwage hizi taka huko nyuma.”
“Sawa”
Dada huyo akatoka na kindoo kidogo cha kumwagia taka kitu kilicho nipa mimi nafasi ya kunyanyuka kwa haraka na kuchukua funguo alizo ziweka juu ya meza yake, nikajaribu kufungua kwenye mlango wa ofisi ya meya. Kwa bahati nzuri nikafanikiwa kuufungua mlango huo na kuingia ndani. Moja kwa moja nikaelekea katika sehemu ambayo Olvia Hitler alinielekeza. Nikaanza kuchambua mafaili hayo na kweli nikazikuta nyaraka zinazo onyesha ujenzi wa bandari mpya hapa jijini Tanga. Nikazichukua kwenye faili lake na kuzikunja vizuri na kuzichomeka kwenye suruali yangu upande wa paja la kulia kisha nikatoka na kufunga mlango na funguo kuzirudisha sehemu nilipo zitoa na kukaa kwenye kiti nilicho kaa, haikupita hata dakika moja, msichana huyo akaingia akiwa na kindoo hicho kilicho kitupu.
“Samahani mwaye kwa kukuweka”
“Hakuna tabu, sijui naweza kupata namba yako, nataka kutoka mara moja. Mida ya saa mbili nitakupigia kuweza kujua kama meya ameweza kufika?”
“Ndio hakuna tabu”
Nikampa dada huyo simu yangu, akaandika namba zake na kunirudishia.
“Jina nani?”
“Husna”
“Ok shukrani sana husuna”
“Usijali”
Nikatoka ofisini hapo na kurudi sehemu ilipo gari yangu, nikaingia ndani. Kabla sijaondoka nikaona gari la Meya likipita pembeni na sehemu nilipo simamisha gari langu na kuelekea katika ofisi yake. Kwa haraka nikaliwasha gari langu na kuondoka. Moja kwa moja nikaeleka nyumbani ambapo nikakuta utepe wa njano wa polisi huku kukiwa na vibango vidogo vilivyo andikwa haruhusiwi mtu kuweza kuingia ndani ya nyumba hiyo, uchunguzi wa kipolisi unafanyika.
“Sahani huruhusiwi kuingia ndani humu”
Askari mmoja wa kike niliye mkuta baada ya kufungua geti alizungumza huku akinitazama usoni. Sikutaka kuzungumza sana wala kubishana naye, nikata waleti yangu na kumuonyesha kitambulisho changu cha kazi alicho kisoma kwa sekunde kadhaa kisha akanirudishia.
“Samahani kwa usumbufu”
“Hakuna shida dada yangu”
Nikaaelekea moja kwa moja ndani, ambapo nikakuta baadhi ya askari wapatano sita wakifanya upelekezi, walipo niona mmoja wao akanizuia. Ila mmoja wao aliniona jana usiku na kumuambia askari huyo aniruhusu kuingia ndani.
“Mumefanikiwa kupata kitu gani hadi muda huu?”
Niliwauliza askari hao huku nikiwatazama kwa umakini.
“Hadi sasa hivi hatujafanikiwa kupata kitu chochote”
“Sawa”
Nikaingia chumbani kwangu, nikalitoa faili hilo na kulikunjua, nikaanza kutazama nyaraka moja hadi nyingine. Nyaraka hizi zinaonyesha mradi mzima wa bandari kujengwa katika eneo la Mwambani. Kiwango cha pesa zaidi ya Bilioni mia moja ambazo ni dola za kimarekani, zilizo fadhiliwa na benki kuu ya dunia, zimewekezwa katika mradi huu. Kitu ambacho kinasubiriwa ni raisi kuweza kutia saiini katika mradi huo ili uanze kufanya kazi kwa haraka.
Ila katika faili hili kuna nyaraka nyingine ambazo kwa kuzitazama unaona hizi zimewekwa na meya huyu alio shawishi baraza lake la madiwani kuweza kukataa ujengwaji wa bandari hiyo katika eneo hilo na iamishiwe katika eneo jingine, jambo ambalo sikujua ni kwa nini wamefanya hivi.
Bajeti iliyopo katika nyaraka hizi za Meya inapata zaidi ya dola bilioni tisini za kimarekani huku dola kumi za kimarekani zikiwa zimepigiwa pigiwa mahesabu ambayo kwa kuangalia zinaingia kwenye mifuko ya watendaji.
“Imekula kwako”
Nyaraka hizo nikaziweka kwenye begi langu, nikaufunga mlango wa chumbani kwangu kwa ndani kisha nikavua nguo zangu, nikaingia bafuni, na kuoga kwa mara nyingine. Nikatoka bafuni na kumpigia mama.
“Vipi”
“Nimezipata mama”
“Kweli?”
“Ndio na nimepata na feki zake”
“Ohoo asante Yesu, kwa hiyo kwa sasa upo wapi?”
“Nipo nyumbani”
“Hapo si kuna upelelezi unaendelea?”
“Ndio ila nimekuja kubadilisha nguo. Vipi umesha kwenda ofisini?”
“Ndio na hapa ninajiandaa kuingia kwenye kikao”
“Ok hakikisha kwamba ukitoka hapo, moja kwa moja unarudi kwa baba mkubwa”
“Sawa”
Nikakata simu na kuanza kutoa nguo moja baada ya nyingine kwenye kabati langu la nguo. Nikavaa nguo nyingine kisha nikatoa nyaraka hizo kwenye begi na kuziweka kwenye kabegi kidogo cha mgongoni, ambacho nilikuwa nikikitumia kipindi ninasima sekondari. Uzuri mama yangu anapenda kunitunzia vitu vyangu vya tangu nilipo kuwa kijana mdogo sana. Nilipo hakikisha kila kitu kipo vizuri, nikachukua pesa zote alizo kuwa amenipatia K2 na nikatoka chumbani kwangu. Nikawakuta askari wawili sebleni, sikutaka kuwauliza zaidi ya kutoka nje, ila nikakuta askari wengine wakiwa wamesimama na Meya akiwapa maelekezo.
Moyo ukanistuka sana, nikamtazama Meya ambaye naye akanitazama huku akiwa amenikazia jicho. Maelekezo hayo, meya akwa anayatoa kwa sauti ya chini tangu alipo weza kuniona mimi. Nikaanzz kutembea kueleka getini na kuwapita, kabla sijapiga hatua nyingi, nikasikia sauti ya meya huyo akiniita.
“Kijana hembu subiri mara moja”
Nikageuka na kumtazama. Meya huyo akaanza kutembea kwa hatua za umakini huku akinitazama kwa macho ya kunichunguza.
“Wewe ni muhusika katika hii kesi?”
“Kesi gani?”
“Juu ya mauaji yaliyo weza kutokea katika nyumba hii?”
Askari wa kike ambaye nilikutana naye getini, akanikonyeza huku akitingisha kichwa pasipo mtu yoyote kuweza kuona tukio hilo.
“Hapana sihusiki?”
“Na ulifwata nini humu ndani?”
“Hilo sio swala la msingi la wewe kufahamu, kwa mana wewe sio mpelelezi wala askari wa kuweza kunihoji mimi ni nini nilicho weza kukifwata humu ndani”
“Unanijibu dharau kijana”
Meya alizungumza huku akipandisha sauti yake juu, labda alihisi kwamba ninaweza kutetereka kumbe kwa bahati mbaya ninamesha mjua A hadi Z.
“Kuna dharau gani hapo mzee?”
“Unajua mimi ni nani wewe?”
“Hilo sio swala la msingi kuweza kujua kwamba wewe ni nani, kwa mana mtu ninaye mfahamu mimi ni bosi wangu tu na si wewe na kila kitu ninacho kifanya ninafanya kwa kufwata amri ya bosi wangu”
“Pumbavu…..”
Meya akataka kurusha kofi nikamuwahi kumdaka mkono wake. Nikaurudisha chini ulipo toka kwa nguvu hadi akapepesuka kidogo.
“Kamateni huyuuuuu”
Polisi wote wakabakiw amesimama huku wamebaki wakinitolea macho, hakuna polisi aliye weza kuisikiliza amri ya mzee huyo ambaye ni Meya.
“Hivi una mamlaka gani ya kuamrisha jeshi kama unavyo taka wewe?”
“Mimi ni meya wewe”
“Ahaahahaa Meya, meya ndio uamerishe jeshi? Mwenye nguvu ya kufanya hivyo ni raisi tu na si wewe pumbavu”
Nikapiga hatua mbili mbele, kisha nikarudi hadi sehemu alipo simama meya nikamsogelea karibu na sikio lake.
“Tambua upo kwenye kitanzi, huto fungwa ila utakufa. Kenge wewe”
Nilipo maliza kuzungumza maneno hayo kwa sauti ya chini chini, nikaondoka huku nikiwa nimeachia tabasamu la kumkejeli meya aliye nitumbulia macho ya hasira. Nikafungua geti na kutoka. Nikauta gari lake huku kukiwa na mtu ambaye Joseph alinitumia picha yake na nyaraka zake. Mtu huyo mwenye asili ya kisomali, ila si rahisi kumgundua kwa haraka, akanitazama kwa macho makali. Sikumsalimia zaidi ya kuingia kwenye gari langu na kuondoka huku kichwani mwangu nikiamini dawa yao hawa inachemka.
Nikaanza kueleka hospitalini ambapo ndipo alipo Yudia, njia nzima kichwa changu kikawa na kazi ya kufikiria ni kutu gani ninaweza kukifanya na hawa wapuuzi kuweza kuwaangusha chini. Sikupata jibu na kujikuta nikiwa nimesha fika hospitalini. Kitu kilicho nishangaza ni mikusanyiko ya watu walio kaa nje ya hospitali hiyo katika vikundi vikundi wakionekana kujadiliana maswala fulani. Nikasimamisha gari langu pembeni huku nikiwa na wasiwasi mwingi. Nikamfwata kijana mmoja ambaye amesimama peke yake na kumuliza ni kitu gani kinacho endelea eneo hili la hospitalini.
“Aahaa kaka hapa kuna mauaji yametokea yaani wee acha tu”
“Mauaji!!?”
“Ndio mida ya saa mbili hivi tulisikia milii ya risasi, watu wote tulitawanyika tuliokuwa karibu na eneo hili. Ndio hivi tumerudi rudi kutazama ni kitu gani kimetokea na kukuta watu wamuawa humo ndani”
Kusikia hivyo sikutaka kuendelea kumuuliza kijana huyo maswali zaidi ya kuingia hospitalini hapo. Huku akili yangu ikiwa inamfikiria Yudia pekee. KKweli damu nyingi nikazikuta kwente kirdo ya kuingia kwenye hospitali. Nikakimbilia hadi kwenye chumba alipokuwa Yudia, nikakuta nesi ambaye nilimkuta wakitomban** na daktari akiwa ameuwawa kwa kupigwa risasi za kifua. Daktari na Yudia sikuweza kuwaona kitu kilicho zidi kuniumiza kichwa na kunichanganya.
ITAENDELEA

No comments:
Write comments

Recommended Posts × +