Pages

Tuesday, May 21, 2019

INGIZA DUDU YOTE NDANI BABY SEHEMU YA 13

ILIPOISHIAAA... "oooh gao i mis you upo
wewe."aliniambia mkono mmoja akiwa kauweka shavuni
kwangu,nilikosa cha kumjibu nikiomba aondoke tu
pale ila haikuwa hivyo alizidi kuongea maneno ya
ajabu.
"gao leo usiku nataka uje kwangu si utakuja
eeh,nikuandalie nini."aliongea,
mara ghafla sir lusinde akatokea eneo lile madam
alipomuona akazuga......JIACHIE MWENYEWE......
"ooooh gao adhabu kakupa nani muda wa vipindi
huu."alizuga madam na hakusubir sir afike pale
hivyo akaondoka haraka, kuniachia mimi msala, sir
nae akawa kashafika pale tayari.
"kazi yangu umemaliza"ndio swali aliloanza
nalo,pale na mimi nikajiuma uma.
"aaa bado sir."nilijibu kwa wasi wasi."
"hujamaliza?, ulikuwa unaongea nini na madam
hapa."
"hatukuongea kitu zaidi ya kuniuliza adhabu kanipa
mwalim nani muda wa vipindi."nilidanganya bila
kujua kumbe katuona kuanzia mbali.
"ndio amekushika mpaka shavu sio,!"
"hapana sir nilimwambia najisikia vibaya kichwa
kinasumbua ndio akaniangalia joto."niliongea kwa
wasiwasi.
"umeona ulivyo muongo sana,umeniambia
hukuongea nae kitu zaidi ya kukuuliza umepewa
adhabu nanani,mbona asaivi unageuza kuwa
ulimwambia unaumwa alafu kichwa kinaangaliwa
joto kwenye mashavu,"alisema,maneno
mfurulizo,hapo sikupata ujasiri wa kuongea
ikanibidi ninyamaze tu kama sio mimi.
"wewe,njia ya muongo fupi sana na nitajua tu huo
mchezo unaojaribu kuufanya na nikiugundua
utanitajia jina langu la utoto,"alizidi kunitisha sir.
"haya maliza kazi yangu naenda nikirudi nisikukute
umekaa hapo"alisema, na kuondoka. na mimi
sikuendelea kukaa pale, niliamka kuendelea na kazi
iliyonichosha tayari.
Nikiwa na vest tu nyeupe na suruali niliyoikunja
usawa wa magoti.Kazi ilikuwa ngumu kwangu
pengine sijawahi ifanya kabla, hata jasho tayari
lilianza kunitiririka kutokana na jua kuanza kuwa
kali huku masaa yakikimbia hima hima.
Mpaka imafika saa saba juu ya alama, jua
likikimbizana na masaa hadi kupelekea kwa kali
zaidi, tangia hapo nilibakisha nusu ya mkokoteni yani ndoo kubwa nane kwa makadilio yasio rasmi, kutokana na mkokoteni kuwa na ujazo wa ndoo kubwa zipatazo kumi na tano mpaka kumi nasita kulingana na ukubwa wa mkokoteni,nilivaa sura ya kazi kuuhakikisha uanaume wangu na kuifanya kazi kwa juhudi huku vipindi vikinipita niliishis kusikia kengere za pale vinapo anza na kuisha.
Watu baadhi hawakuacha kupita eneo lile hukuwakinitazama tu.
Nilifanikiwa kufanya kazi kubwa na kubakisha ndogo nilioivalia njuga kuimaliza.
Hatimae nilifanikiwa kujaza kifusi chote na kumaliza, hapo kutokana na udongo kunikaa miguuni hivyo sikuwa na sababu ya kutokwenda bombani kunawa,nilibeba na vifaa nilivyotumia na kwenda kusafisha,nilijisafisha ipasavyo hadi kuhakikisha nimetakata ndio nikaanza kusafisha vifaa ambavyo muda mchache tu vikawa safi.
Nikavibeba na kuelekea navyo store kuvikadhibisha nilipanda hadi juu chumba maalum cha vifaa na
kumpa store keeper, tayari na kuelekea ilipo ofisi
ya sir lusinde kumkabidhi kazi yake, nilifikahadi
pale na kuanza kugonga.
"hodii. hodii sir, sir,."iliita ila wapi hakuna alieitika
hali ya kwamba hakuna mtu hivyo sikuwana budi
ya kuendelea kukaa pale na kuita niliamua
kuondoka kuelekea darasani, nilitembea mpaka
kufika nje mlango wa darasa ninalo somea nako
nikakuta kuna mwalimu sikupenda nisimame zaidi
hivyo nikaomba kuingia.
"please sir may I get in."niliomba kwa lugha ya
kimombo ambayo ndio lugha maalum kwa shule
za sekondari kutokana na kuwa lugha ya
kufundindia masomo yote isipokuwa kiswahili tu
ndio hakifundishwi kwa kingereza.
Baada ya kuomba kuingia sir nae kwa jina ka sir
john hakuwa na sababu ya kuni gomea hivyo
akaniruhusu niingie na mimi sikufanya makosa
nikaingia angali kwamba kipindi kiliisha somo la
history.
"ulikuwa wapi gao,mpaka kipindi
kimeisha."aliuliza.
"sir nilikuwa kwenye adhabu."
"pole sana kwa adhabu,ila utaomba daftali kwa
wenzio usipo elewa nitafute sawa
nikuelekeze"aliniambia mwalimu sanjari na kubeba
vitu vyake kuondoka aliwaaga wanafunzi nao wakaitika hapo na mimi
nilifata ilipo sehemu yangu bila kuongea na mtu,
nilikuta pamekaliwa tayari na mtu kuziba nafasi
zilizokuwa wazi mbele hivyo mimi nikatafuta
sehemu nyuma isiyo na mtu nikakaa.
na kuangalia mbele kana kwamba natizama unao
kumbe laahasha sipo huko nilikuwa katika dimbwi
la mawazo yote ni juu ya Grace kusema ukweli
nilimpenda pasipo kifani yani nilikuwa tayari kumpa
kila kitu atakacho kutoka kwangu hata angetaka
uhai wangu ningempatia ili mradi afurahi na
kunibakisha moyoni mwake, ila tayari nilichelewa
kumpenda alisha wahiwa hilo ndio liliniumiza moyo
wangu na kuupiga piga katika kichaka cha miba
hivyo kutoboka toboka kama chujio la nazi,
niliumia hata nikimuona.
mawazo yalinipeleka mbali sana juu ya Grace.
Meza ya tano kutokea pale upande mwingine ndio
grace alikuwa amekaa tena vile nikitizama mbele
aliniangalia kwa jicho la wizi wizi akionekana kama
anataka kunifata,kitendo kile sikukipenda hata
kidogo hivyo nikaamka pale nilipokaa na kuhama
upande mwengine kabisa yote kukimbia grace
asinione sikupenda nimuone kabisa tayari moyo
wangu ulijenga chuki juu yake mana alikuwa
mwanamke wa ndoto zangu.
Nikiwa nimehama upande mwengine huku mawazo
yakiendelea kama picha ndio linaanza, mara ghafla
asha akaja pale na mwendo wake wa kujishaua.
"mambo gao."alinisalimia,ila sikupenda kumjibu
hivyo nilichuna tu.
"gao mambo jamani nakusalimia, kwanza
samahani juzi umeniita sikuja nisamehe kwa hilo
nilitingwa na kazi za nyumbani."alisema mimi
kimya, aliendeleakuongea kitendo kilicho
nikasirisha zaidi.
"bhaaaaanaaaaa sitakiiiii ondokaaaaa
aaaah."niliongea kwa sauti kubwa ya kupaza hadi
darasa zima wakasikia na kuangalia kule.
"heee heeeee halooooooooo, si uondoke
hatakii."walisema wambea huku wakicheka vicheko
vya kimbea mbea hapo asha kwa aibu na haya
akaondoka akiwa kanyongonyea na mimi nikajilaza juu ya meza, mpaka kengere ikagongwa ndipo
nikaamka kufatana na wenzangu kwenda paredi
muda wa nyumbani umefika, nikiwa nimefika
mlangoni tayari kwa kuelekea paredi.
"gao njoo hapa."ni sauti ya sir lusinde alieniita kwa
sauti ya juu,mpaka nikastuka na kumfata.
"naaam sir"
"kazi yangu umemkabidhi nani mpaka ukaingia
darasani.?"alinitandika swali.
"aaa nilikuja kukuita ofisini kwako sijakupata ndio
nikaenda darasani kuendelea na vipindi."niliongea
kwa wasi wasi.
"kwanini usinitafute, umejiamulia wewe mwenyewe
sio?"
"hapana sir sijakuona"
"hujaniona na hapa nipo wapi"
"sir nilikuangalia ofisini haupo"nikaleta ubishi
ikawa kama nimejiroga mwenyewe bila ya kwenda
kwa mganga.
"yani unabishana, sasa kwa kosa hilo nakupiga
wiki"alisema huku akinielekezea mkono chini
inamana nilale anitandike.
"sir nisamehe"
"sinaga msamaha nikitoa maamuzi"aling'aka,na
kuniforce nilale chini.
"dah sir, sir,"nililalamika ila hakuna alichonisikiliza tena ndio alizidi kunitishiaa.
"ngoja nikupe vya jioni njema ukawa hadithie
wazazi wako sawa."aliniambia, kisha nikiwa chini
viboko vilirindima mwilini mwangu hata sikupata
nafasi ya kuvihesabu, baada ya kulidhika na
kuniachia maumivu katika makalio yangu kwa
fimbo nilishindwa kwenda paredi hivyo nilijizonga
zonga mpaka wakaruhusiwa nikasubiri waondoke
ndipo na mimi nikawafatia nyuma sikupenda
kuongozana nao mana watoto wa kidato
chakwanza wanashida njiani wakianza michezo yao
ya kukimbizana njiana mara wasimame
marawashikane mikono ndio mana nasubiri wapite
mana bado hawajakua kiakili bado wana akili za
shule ya msingi kucheza mdako na komborela.
Nilitembea mdogo mdogo huku nikiugulia fimbo
zilizokuwa zikiuma sana, yani kwa hali ile ya
maumivu sidhani kama ningefika nyumba
ningethubutu kukaa kwenye mbao au mezani au
kitu kigumu nisingeweza.
Kwa mwendo wangu wa pole pole ndio
ulosababisha njia nzima nibaki mwenyewe watu
wote walitembea upesi kukimbizana na wingu
lililotanda juu, mimi sikulijali nilitembea mwendo
mdogo mdogo nikiwa njiani nakaribia nyumba
moja iliyoko mbele iliyojitenga na nyengine. hapo
mvua ikashuka kwa sifa ilishuka mvua kubwa
kanakwamba tone lake moja unaloa sehemu kubwa
nilikimbia na kuingia katika ile nyumba bila hata ya
hodi,kitendo cha kuingia nakutana na loveness
mdada niliekutana nae kipindi kile machakani
akiwa anajisaidia na mimi nikafanya kweli kisha
kujuta baada ya kumaliza.
Nilijishangaa nimekutana nae vipi.
"oooh gao karibu pole na mvua hapa ndio kwetu
wazazi wangu wametoka karibu ndani."aliniambia
hapo sikutarajia kukutana nae alivyo waajabu eti
akafunga mlango kabisa na funguo.
"wataka kufanya nini.?" niliuliza hakuwa na muda
wa kunijibu aliongea mengine kabisa.
"jamani gao nimekutafuta muda mrefu kila siku
nikingoja njia ya shule nikuone sikuoni jana
nimekaa kwanzia saa nane nakusubiri wewe
hujatokea tu leo kama bahati umekuja mwenyewe
mungu kasikia kilio changu."Alisema hapo
sikufikiria hata hicho anachotaka kufanya.
"mimi sitaki niache niondoke tafadhali bora
nikanyeshewe na mvua kuliko kufanya
sitaki."nilisema, japo ni uamuzi mgumu ila sina
jinsi, sidhani kama chui anaweza kumsusa swala
hata kama kashiba,nilijipa ujasiri kukataa ila tamaa
ya mwili ilinishinda pale alipovua nguo na kubaki
kama alivyokuja katika uso huu wa dunia yani
(uchi).........
ITAENDELEAAAAAAA.

No comments:
Write comments

Recommended Posts × +