Pages

Tuesday, May 21, 2019

INGIZA DUDU YOTE NDANI BABY SEHEMU YA 13

ILIPOTOKEAAAA
Nilifika nyumbani kimya hakuna niliyemuona sijui ni kutokana na mimi kuwahi kurudi muda huo, niliingia chumbani kwangu kubadili nguo, dakika mbili zilitosha kabisa nikabadili na kutoka kwa ajili ya kula hali ilikuwa vivyo hivyo sikuona mtu.
Nilijipakulia na kuanza kubugia upesi upesi ili nikatembeee nilikuwa tayari na kududumia maji ya baridi kisha safari ya kwenda kuzurura ikaanza.
Nilitoka mpaka nje, nikapanga kwenda kusabahi marafiki mana ni kitambo hatujaonana njiani nilitembea huku nikiimba nyimbo zozote zinijiazo kichwani.
"Gao yule pale ngoja nikuitie sawa."nilisikia sauti kwa mbali ikinitaja ndio nikageuka kuangalia nikamuona ni mkali yule rafiki yangu akiwa na msichana aliejazia maungo hasa nyuma........
TIRIRIKA NAYOOOOOO.......
Sauti ile iligonga ndani ya ngoma za masikio yangu nilipo waangalia wao hawakuniona kutokana na kuangalia mara moja tu na kutizama pembeni, sikupenda kuwafata hivyo hata mkali alipo thubutu kuniita sikushawishika hata kumuangalia kabisa niliendelea na safari yangu nikitokea nyumbani,nilizunguka mitaa kadhaa nikiwa sina hata sababu iliyonipelekea kutembea ila kwa lugha nyengine naweza kusema ni hali ya kunyoosha miguu tu ndio kikichofanya nipoteze muda kuzunguka.
Kutokana na muda mrefu kutokutembea hiyo nikutokana na kutoka shule muda mmbaya hivyo sehemu nyingi nilikuwa sijatembea nilichukua muda huo kuzunguka zunguka hadi kufikia maskani kwa jamaa zangu, nilijumuika nao.
"Aaaa gao vip niaje mwamba upo."alinichangamkia mmoja wapo.
"niko poa tu nambie."
"Safi dogo mishe"
"safi kaka"tuliendelea na kusalimia, kisha story nyengine zikaendeleaa kijiwe kilinoga na story za hapa na pale.
"Mnamjua yule dogo flani hivi mnene kidogo aliejazia hips na bonge sambwanda mnajua,?"aliuliza jamaa mmoja katika kijiwe pale.
"Nampata yule anaekaa kwa yule mzee anaependa sana kusoma magazeti"
"Ndio huyo huyo bhana."ni maongezi yalioendelea kijiweni pale hapo mimi nikiwa msikilizaji mana sikuwa na cha kuchangia.
"Mwanangu yule demu achaa."aliongea kwa kuhamaki jamaa mmoja.
"Ana nini yule demu, mana nasikia ni moto."aliitikia mwengine,
"Yule demu achana naye juzi jamaa wamempiga mtungo wa mchangio."
"Aaah wapi huko jamaa,"waliendeleaa kuongea huku kila mmoja akionesha kushangaa sana.
"Aaah acha mwana mchopanga si unampata sasa yule nawenzake kama watano hivi yani mpaka demu kakimbia kaacha chupi palepale."
"teh,teh,teh,teh,teh,teh,aaah kakomeshwa . hahahaha"waliongea kwa kucheka.muda huo giza ndio lilianza kumea hivyo sikuendelea kukaa pale nilitumia muda huo kuaga kisha nikaondoka.
Nikiwa njiani nilitembea hima hima kuwahi giza lisije nikuta njiani nilitembea mwendo wa kijeshi jeshi, mpaka kufika nyumbani tayari nikaingia ndani na kufunga mlango, hapo shangazi na wanae nikawakuta wamekaa sebuleni nilisalimiana na shangazi kisha nikaingia ndani kwangu kuweka vitu vya shule sawa, vile naingia ndani nilikumbuka kitu.
"Aaaah, namba ya yule dada duuuh nilimsahau"nilikumbuka namba ya dada alietaka kunigonga na gari yake, ambayo haikuwa mbali niliiweka juu ya meza ndogo iliyopo chumbani kwangu. Baada ya kuichukua sasa nilifikilia pa kupata simu ya kumpigia sikupata jibu nilifikiria simu ya shangazi nimwibie ila sikuona kama ni sawa, tangia hapo sikupata jibu la wapi nitapata simu ya kuongea nae nilifikiria majibu hakuna nikairejesha mahala pake nilipoitoa ili kumbu kumbu isitoke mwishowe nikaipoteza kabisa.
Baada ya muda nilipomaliza kazi iliyoniingiza chumbani nikatoka na kukaa sebuleni na wakina doreen na careen, watoto waliofana karibia kila kitu cha mwilini kasoro sauti tu.
"Shangazi kaenda wapi."niliuliza hapo moja moja akanijibu doreen. "Mama kaenda kuoga,"
"ahaa, sawa"nilimwitika, kisha nikakaa kimya kuendelea na utazamaji wa runinga.
"Kaka gao, hivi una miaka mingapi"aliuliz careen swali ambalo sikujua anauliza kwanini. KIukweli walipenda kuniita kaka ila maumbile yao na yangu yana shadadiana hasa kimo changu ni kama chao sikuwazidi ila walipenda kuwa wadogo kwangu.
Swali lile lilinishinda kidogo kujibu, hapo sikuwa nasababu nikauliza tu na mimi mana kuna namna tatu za kujibu swali ya kwanza swali kwa swali ya pili swali kwa maelezo ya tatu ndio swali kwa mkato yani unajibu kwwa mkato mimi sikutaka kujibu kwa mkato au kwa maelezo nilijibu swali kwa swali.
"Kwanini unaniuliza .?"
nilimpachika na yeye swali lake.
"Amna nimependa kukuuliz tu nijue."alinijibu ki aibu aibu hapo hata majibu yake hayajajitosheleza hivyo nilipata mashaka siku mjibu nikamjibu vyengine kabisa.
"bas usijari nitakuambia siku moja."nilisema huku nikiendelea na kuangalia runinga.
"We naye careen maswali gani hayo unamuuliza kaka"alijibu, doreen. Hapo careen akanyamaza kimya kika tawala zilipita dakika kama tano hivi kwa kukadilia ndipo mlango ukafunguliwa neema akaingia huku mgongoni na begi lake.
Alitusalimia kisha akanikonyeza pasina wakina careen kuona hapo sikumjari niliendelea na kuangalia runinga yeye akapita hapo ndion macho hayana pazia niliacha kuangalia runga macho yote nikiangusha kwake kutokana na kuvaa skin iliyompaka kiasi kwamba hata vazi la ndani kucholeka.
Macho kwa umbea hayakukubali kupitwa hata na Hatua aliyokuwa akinyanyua kutembea, macho yangu yalidumu katika maungo yake ya nyuma nikimtizama tu nae sijui alijua kama ananipagawisha mana alizidisha mwendo ule, kiasi kwamba ikafika mpaka wakati akili za kijinga zanituma nimfate alipo kule.
Niliendelea kumtazama nikimsindikiza mpaka akaingia kona ya chumbani hapo ndio nikarudisha macho, wakina careen na doreen hawakuniona kutokana na mimi kukaa nyuma pale ndio ilifanya wasinione ninachiangalia.
Tuliendelea kukaa pale mpaka muda wa chakula ulipo fika ndio wote tukajumuika mezani kupata diner.
Kila mtu alijisevia mwenyewe kisha ulaji ukaendelea na story kuanza.
Wakati hayo yote yanaendeleaa nilianza kuhisi naguswa guswa na miguu chini huku sikuweza tambua ni nani kutokana na watu waliokuepo pale hivyo nilianza kula timing nikisubilia kuangalia juu. Nikivizia mtu anaechezesha miguu kwa juu akitingishika, nilikaa kwa muda kisha ndipo nikambaini anae nigusa ni careen, sikuongea nae nilimpotezea sikumjali na yeye hakujua kama nimemgundua.
Sikumuelewa anataka nini tokea hapo hadi kufikia kugusa gusa miguu yangu chini nilipotezea tu.
Masaa yaliendelea kukatika hadi wote tukamaliza kula na kila mmoja akaendelea na jambo lake kuna walio ingia kulala na wengine kuangalia runinga na wengine kuosha vyombo,muda ulikuwa umeenda sana.
Mimi nilielekea chumbani kwangu kujipumzisha, nilingia ndani hata mwili ulisadifu nilichokuwa nazamilia kufanya mana tayari uhitaji wa kulala nilikuwa nao mwili ulikuwa umechoka kiasi kwamba hata macho yalikuwa mazito kuamka hivyo nikajitupa kitandani na usingizi kunikuta.
Kilipita kimya kifupi hapo sasa usingizi ulianz kupotezwa na joto lililoanza kuujaza mwili wangu jasho lililonitapakaa kama maji nikishindwa kuvumilia nikajikuta naamka.
Niliamka na kuvua nguo zile nilizo lala nazo kisha nikavaa taulo nikiwa na lengo la kwenda kuoga, nilifanikiwa kutoka nje hapo nikaanza kuutafuta mlango wa bafuni lililokuwa ndani, kutokana na kutoka usingizini na haraka nilizokuwa nazo, sikukumbuka hata kuangalia kama kuna mtu au laa nilichifanya ni kuusukuma mlango uliokuwa wazi na kuingia na ndani ya bafu.
"Haaaah wewe gao umefata nini kunichungulia huku.?"alishangaa sana kuniona mimi pale, hata mimi pia nilishangaa alikuwa ni careen.
Muda huo hata usingizi uliniruka tayari mana careen alikuwa hana nguo muda huo ananaliz kuoga, nilijihisi hadi aibu nikitamani ardhi ifunuke angalau nijifiche humo.
"yani mimi naoga umekuja kunichungulia ili unione sio sasa nasema kwa mama."
"jamani sijajua kam upo nisamehe ngoja niondoke usimwite mama tafadhali."maneno yalinitoka lakini careen hakukubali alichotaka ni kumuita mama yake, muda huo kashavaa khanga yake.
"Mimi sikubali umeniona hivi hivi bora niseme tu labda..."hakuendelea kusema.
"Jaman samahani ngoja nitoke nisamee bure."
"Nikusamehe wapi vua na wewe nikuone ndio uondoke"alisema hapo hata mdomo wangu ulishindwa kufunga kwa maneno yake nikijikuta najawa na aibu iliyonizinga usoni, kusema ukweli kitendo cha mimi kuvua nguo pale yangetokea mengine.
Nilijitahidi kumkwepa ila sikuweza.
"Jamani mimi siwezi kuvua wewe si ni mdogo wangu mtoto wa shangazi"
"Unasemaje inamana ulivyoniona mimi umeridhika kama hutavua nipige kelele unanibaka, maaa."
"wee usiite tafadhali navuaaa."alitaka kuita hapi nilimuwahi na kumziba mdomo asiite kumbe ndio nilikosea kabisa nitendo cha kumziba mdomo miili yetu iligusana kabisa na mimi nilikuwa kifua wazi, hapo udhaifu wangu juu ya wanawake, ulidhihirika hata careen akatumia udhaifu huo pale kunishikilia na kubaki kifuani mwake........
Itaendeleaaaaa
mwamba c

No comments:
Write comments

Recommended Posts × +