Pages

Thursday, May 9, 2019

Jinsi ya kumtoa msichana bikira bila maumivu

msichana Bikra bila
maumivu, wengi
hawajui hili, Cheki
hapa. Habari zenu wapendwa,last
night nilikuwa nago through my
emails,nikakuta kuna email
kutoka kwa 1 of my female
fans,aliituma kama wiki moja
iliyopita,aliniambia kuwa yeye bado ni bikira lakini kuna mtu
ametokea kumpenda na
anataka kupeana nae Raha na
Utamu kwa mara ya kwanza
katika Maisha yake,kwa hiyo
akaniuliza maswali mawili,swali la kwanza alikuwa
anataka kujua jinsi ya
kumridhisha boyfriend
wake,alikuwa anataka kujua
mambo muhimu kwa sababu
hana experience. aliuliza Jinsi ya kupeana Raha
na Utamu bila Maumivu kwa
kuwa yeye bado bikira,so jibu
lake ndio hii Post yenyewe. Ingawa asilimia kubwa ya
wanawake au
wasichana,hupata maumivu
pale wanapokuwa wanatolewa
bikira zao,wapo ambao
hawapati maumivu kabisa na pia wapo ambao hupata
maumivu kidogo sana
kulingana na hizo bikira
wanatolewa na Mwanaume
gani na huyo Mwanaume
anajali(care) kiasi gani. Yapo Mambo ambayo
ukifanya,kuna uwezekano
mkubwa sana wa kutopata
Maumivu wakati unatolewa
bikira,na hata kama ukipata
Maumivu basi yanakuwa kidogo sana tofauti na marafiki
zako wa kike ambao kila siku
wanakuambia kuwa inauma
sana kitu ambacho sio kizuri
kisaikolojia
(psychologically),kwani wanakuwa wanazidisha uoga
Ndani ya akili na Nafsi yako,na
ukiruhusu Uoga ukutawale
then obviously lazima
utaexperience the same pain
kama wao(which you shouldnt coz tendo linaitwa Raha na
Utamu,na sio Raha na
Maumivu) Baadhi ya mambo inabidi
afanye Mwanamke na mengine
afanye Mwanaume,so
itapendeza kama hii post
msome wote,au soma peke
ako kisha utamwambia kitu gani anatakiwa
kufanya,mambo yenyewe ni
kama ifuatavyo, 1.JARIBU KUWA
COMFORTABLE NA ASHKI
ZAKO (TRY TO BE
COMFORTABLE WITH YOUR
OWN SEXUALITY) Wanawake/wasichana wengi
wenye bikira wanakuwa
hawana elimu ya kutosha
kuhusu miili yao. Na kitendo
cha kutojua kinajenga uoga na
mwisho wake huo uoga unaongeza maumivu wakati wa
kupeana Raha na Utamu kwa
mara ya kwanza.(kisaikolojia/
psychologically) Uoga ukizidi
sana,utasababisha kupunguza
na kumaliza kujiamini
kwako,kitu ambacho
kisaikolojia,kitasababisha
misuli ya uke wako izidi kukaza(clench),na uwezekano
wa kukabiliana na Maumivu
unakuwa mkubwa zaidi. Badala ya kuacha uoga
utawale mawazo
yako,unatakiwa utafute njia za
kurelax na ujifunze zaidi
kuhusu hamu,ashki,hisia
pamoja na mwili wako jinsi utakavyofanya kazi wakati wa
kupeana Raha na Utamu,ili
uweze kujiamini zaidi,na
kujiamini kwako kutapunguza
au kumaliza kabisa maumivu
wakati wa kupeana Raha na Utamu,Zifuatazo ni baadhi ya
mbinu ambazo unaweza
kuzitumia kwa ajili ya
kujifunza zaidi,
Soma zaidi,tafuta vitabu vya
kimapenzi na hata search kwenye internet ili uweze
kujua kitu gani kinaingia
wapi,kitu gani ni kawaida na
kitu gani unatakiwa kutarajia
(what you shuld expect).
Ukishajua itasaidia sana kupunguza na hata kumaliza
kabisa wasiwasi wako kuhusu
kupeana Raha na Utamu kwa
mara ya kwanza.
Elewa Mwili wako,unatakiwa
uelewe mwili wako especially kama Mwanaume/Mvulana
atakaekuwa anaitoa hiyo
bikira,na yeye hajawahi
kufanya au hana experience
yoyote kuhusu Mwili wa
Mwanamke,yaani namaanisha kama hajui wapi akutomase
(caress),wapi akulambe na
wapi akutekenye(tickle) etc.
Na Njia pekee ya kuufahamu
na kuujua Mwili wako kwa
uhakika na kwa urahisi zaidi,ni kupitia KUJICHUA
(MASTURBATION/WANKING) Tafuta Muda ambao utakuwa
peke ako,Vua nguo zako
zote,jilaze kitandani,anza
kujishikashika na kujitomasa
wewe mwenyewe kuanzia
kwenye matiti,mapaja mpaka kwenye uke. Wakati ukiwa
unajishikashika na kujitomasa
mwenyewe,utaona na
kugundua kuwa katika mwili
wako,sehemu zenye 'Hamu'
zinatofautiana kiwango cha kukupa Raha. Sasa zile
Sehemu ambazo ulienjoy
zaidi,unaweza ukamwambia
boyfriend wako azitumie
wakati anakutoa bikira ili
usipate maumivu kabisa au hata kama ukipata yawe
kidogo sana.
Approach Sex With A Positive
Attitude,Ili kuondoa kabisa
Uoga,basi hakikisha huo
uamuzi wa kuitoa bikira yako,uwe umetoka Ndani ya
Moyo kwa hiari yako
mwenyewe,Kama unajiona
unapata msongo wa mawazo
(stress) juu ya kufanya
uamuzi wa kuitoa bikira yako,basi ujue kuna
uwezekano mkubwa kuwa
Mwili na hata akili,vyote havipo
teyari. Ukilazimisha ndio hapo
unajikuta unapata maumivu. Ila
kama ni uamuzi wako mwenyewe,hakuna
aliyekulazimisha na unajiona
upo teyari kuitoa,sio kwa ajili
ya kumfurahisha Mpenzi wako
tu,lakini pia unatakiwa uone hii
step kama Daraja la kuvuka kwenye Maisha yako ya
kimapenzi linalokutoa sehemu
moja na kukupeleka sehemu
nyingine

No comments:
Write comments

Recommended Posts × +