Wengi wa wanaume ambao wanashindwa kutongoza wanawake huwa wote wanakuwa na tabia moja. Tabia yenyewe ni uoga wa kuzungumza.
Ukweli ni kuwa anaweza kumu-approach mwanamke hadi pale alipo. Anaweza kuwa na confidence ya kumfikia na kumsalimia. Lakini ikija katika maswala ya kuongea huwa anatatizika.
Ndio maana leo tumekuja na mwongozo wa kufuata wakati unapokuwa na mazungumzo na mwanamke.
#1 Muulize Maswali kumhusu, Ila si ya kuchukiza.
#2 Jenga uwiano wa maelezo.
#3 Jitambulishe ila HAPA ACHA SIFA ZA KIJINGA.
#4 Shukuru uwepo wake.
#5 Zungumza kuhusu sehemu mlipo.
#6 Msifie.
Saturday, May 25, 2019
Kama NDO Kwanza Unaanzisha Mazungumza Na Mwanamke, SEMA MANENO HAYA KABLA YA KUMUOMBA NGONO
Posted by
NeverGoBack
on
1:49 PM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Write comments