Pages

Monday, May 20, 2019

Kijana: Ukipenda Jimama au Mwanamke Mwenye Pesa Uvumilie Vipigo/Kugombezwa Hadharani

Wale vijana wenzangu mnaopenda majimama (kulelewa) mkubali makofi, makonzi sometimes mitama hadharani, pia hata kufokewa hadharani.

Maana wengi wa hawa majimama wana stress za kutosha lakini usisahau ndo yanayowaweka baadhi ya vijana mjini kwa kila kitu, la muhimu ukishagombezwa we jidai kujichekesha tu ili mambo yaishe.

Pia nawasihi sana baadhi vijana tusiwapende hawa majimama tutafute maisha yetu, tusipende maisha ya bure kwani tunaweza kupata madhara mengi ikiwemo magonjwa UKIMWI na kukosa vijana wa kujenga taifa.

Nawasilisha.

No comments:
Write comments

Recommended Posts × +