Mimi ni mwanaume ambaye natambua kuwa sina Mashine kubwa lakini kilampenzi ninayekutana naye anashangaa kuona kuwa ninaweza kumtosheleza tofauti na alivyotarajia Mara nyingi ninapoongea na wanawake nimekuwa ninapata maelezo kuwa wangependa kupata mwanaume mwenye Mashine kubwa kuliko mwenye Mashine dogo ili kufaidi tendo la ndoa.
Naomba wana Usiku wa Mahaba, hasa wanawake mnielimishe, kwa nini wanawake wengi wanapenda wapenzi wenye Mashine kubwa kuliko wale wenye Mashine dogo?Na wale wanaume wenye Mashine dogo wanatakiwa wafanye nini ili kuwatosheleza vizuri wapenzi wao? Mimi naona wanawake wengi wanakosa wanaume wabunifu kunako sita kwa sita.
Sunday, May 26, 2019
Kwanini wanawake wanapenda Mashine mkubwa, Sababu iko hapa ni muhimu kujua
Posted by
NeverGoBack
on
3:49 AM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Write comments