Huwa nalowa na wakati mwengine kuja kabisa wakati ninapokuwa namnyonyesha mtoto wangu mwenye miezi 7 ambaye ni wa kwanza kumzaa. Anaponyonya maziwa yangu... gosh! Nini kinaendelea kwangu? Je kuna wamama wengine ambao wanahisia kama za kwangu? Nini naweza kufanya kuifanya hali hii isiendelee?
#TAFADHALI USISAHAU KUSHARE KWA WENGINE ILI FAMILIA YETU IZIDI KUKUA NA TUZIDI KUWALETEA MAMBO MATAMU ZAIDI PIA WALE WANAOTAKA WACHUMBA SOON TUTAANZA KUTANGAZA WACHUMBA HAPA ,SHARTI SHARE HII APP ILI TUZIDI KUWA WENGI, ASANTEE
No comments:
Write comments