Wednesday, May 22, 2019
Mbinu 4 za kuomba utamu bila mahusiano – Friends with benefit
Ingekuwa mzuka sana kama ungeweza kumuona msichana mrembo mtaani, au pengine College au eneo la kazi na kumfuata na kuondoka nae mpaka nyumbani kwako kwa ajili ya kumtafunisha muwa. Lakini sio rahisi hivyo, moja kati ya vitu challenging katika maisha ya mwanaume ni jinsi ya kuomba mchezo.Ikiwa umemuona msichana ambaye amekuvutia na unahitaji sana kufanya nae sex, hizi ni mbinu tano unazoweza kutumia kuhakikisha “unamvusha”.# 1 Usilete kiswahili mingi:Wanaume mara nyingi wana tabia ya kujifikirisha sana linapokuja suala la kuomba mzigo. Wakati mwingine unakuta msichana na yeye anasubiri kuambiwa twende, hivyo ni vema ukajitosa uwanjani huwezi jua unaweza kujikuta umengóa mtoto bila hata ku-sweat.Mwambie moja kwa moja nia yako, mara nyingi wasichana hupenda watu wakweli. Cha msingi tafuta nafasi ya kumwambia unaweza uka-flirt naye kwanza umsome anapendelea vitu gani, kisha anzisha mazungumzo na umuoneshe kwamba unamheshimu. Kisha, tafuta upenyo katika mazungumzo yenu umwambie nia yako.Unaweza ukatia kizungu kidogo ili kulainisha moment, Mfano “I really want to be alone with you, would you like to come with me to my house” hapa mtoto mwenye kuelewa atakuwa ameshakusoma na hata mkienda nyumbani anajua nini mnaenda kufanya. Zipo line nyingi unaweza kutumia kufanya msichana ajue unahitaji kufanya nae mapenzi.Kumbuka, msichana mara nyingi huwa na plan ya kufanya mapenzi. So kama mmefika nyumbani na unaona anakataa sio ulazimishe mpaka muanze kukwaruana, kuchaniana nguo kwa sababu tu demu amefika ndani. Huo ni ubakaji na hata akikubali kwa nguvu hivyo ana haki ya kukushtaki au kukunyima mchezo maisha yako yote. Be a Gentleman, usilazimishe mambo huwezi jua unaweza kuharibu kwa kiasi gani.#2 Usiwe muwazi kupitilizaNimeshasema ni vizuri kuwa muwazi, lakini uwazi una mipaka na inategemea uwazi huo ni kuhusu nini? Mfano unaweza kuona demu mkali na hakuna jinsi ya wewe kupata “friends with benefit offer”, usianze kutumia mbinu za kumdanganya sijui unampenda sijui mara unamtoa out mpaka msichana anajua “jamaa anataka relationship”kumbe chief unasubiri akikupa tu unachapa na kupotea. Kuwa muwazi na kile unachotaka akikunyima hautakufa tafuta sehemu nyingine.Lakini pia, usiweke mambo yako wazi sana mpaka ukajipotezea nafasi. Mfano demu amekouna uko vizuri na akaamua kukutoa dinner au kwenye kinywaji… basi hiyo ndio inakuwa sehemu yako ya kuelezea shida zako. Utaskia “nimeachana na demu wangu muda sio mrefu so sitafuti mahusiano, ila uko vizuri sioni shida ya kufanya mapenzi na wewe” Kama niko pembeni yako Club nikakuskia unatamka maneno haya nakupiga chupa ya kichwa akupeleke ukashonwe nyuzi kadhaa… na mkitoka Hosii hakupi kitu.#3 Msifie na mfanye acheke kwanzaKabla hujaanza kuweka shida zako mezani, wekeza… mpe good time. Wasichana ni watu delicate na mara nyingi hupenda kuambiwa jinsi walivyopendeza na sifa nyingine kibao. Usichanganye kusifia ukaanza kusifia vitu vya ajabu, wanawake wanaweza kujua kama unamsifie uongo au ukweli. Mtazame kwa makini utajua vitu gani ni muhimu kwake na vitu gani special kwake… hasa kwenye tabia na jinsi anavyofikiria.Mara nyingi wanaume wanaweza kumwaga sifa ambazo ni too obvious hata konda ambaye haja pay attention anaweza kuziona. Kuwa makini kwenye mazungumzo uliza maswali mengi na usiongee sana muache ajieleze mpaka aone kwamba uko interested na yeye. Mfanye akuamini, mchekeshe na ukifanikiwa kufanya acheke hata kwa jokes za kijinga… tafuta kaupenyo tu uwasilishe ombi huenda kuna Opening.Baada ya hapo tumia tu mbinu namba moa hapo juu…. tumia maneno mazuri kumwambia kuwa sasa ni wakati mzuri mkachekee wote chumbani.#4 Lipia huduma.Hii ni mbinu ambayo inatumika zaidi na watu wasiopenda kuzungushana wala hustle za kumuweka mtu line. Tukubali tusikubali maisha ni magumu na ni magumu zaidi kwa akina dada. Ukiona msichana amependeza na anaonekana kisasa ujue either anatengeneza mkwanja mzuri au kuna jamaa anahudumia sehemu sehemu… So kama unahitaji kupata raha gharamia na mtoto atakuja kitandani.Mwambie akusindikize shopping ukanunue vinywaji, au kwenye duka la dawa. Mlainishe kwa zawadi laini, maua, chocolate, Ice cream, hata ukimnunulia gauni katika pitapita hizo utakuwa umejenga mazingira mazuri zaidi maana sometime msichana anaweza kukubali kuja nyumbani kwako lakini kama hujamuandaa anaweza kuchange mawazo.Cha msingi pia hapa ujue kwamba sex ni tendo la watu wawili, hivyo hata kama unalipia vitu vyote wakati mwingine ni vizuri kuhakikisha unatumia maneno matamu wakati wa kuweka ofa yako mezani, isiwe kwa namna ambayo itamdhalilisha mrembo. Pia hakikisha una cash pesa ya taxi Uber wakati wa kuondoka na sio mbaya ukaweka tip.Friends with benefit mara zote huwa tricky, so unapoamua kuanzisha aina hii ya mahusiano ni vizuri ukaweka wazi kwa mwenzako jinsi ambavyo mpango mzima utafanya kazi… lazima kuwe na masharti na vile vile ni muhimu kutumia kinga. Pia ni rahisi mtu kuwa attached katika mahusiano haya, so ni lazima muweke mipaka na pia namna ambayo mtaweza kusimamisha zoezi bila kuathiri urafiki wenu.
Posted by
NeverGoBack
on
1:18 PM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Write comments