Pages

Sunday, May 19, 2019

Natafuta mchumba wa kiume baadae awe mume wangu

Naitwa Judith, umri wangu ni miaka 23 kasoro, ni mwanafunzi wa chuo cha Usimamizi wa Fedha IFM Dar, nipo mwaka wa mwisho diploma. Natafuta rafiki/mchumba wa kiume ambaye kama Mungu akipenda baadae aje kuwa mume wangu na tuanzishe familia. Napenda zaidi mwanaume wa kutoka mikoa ya nyanda za juu kusini maana hata mimi natokea huko. Umri miaka 25-30. Kwa aliye tayari anitumie msg kwenye Email yangu baadae ntampa namba yangu ya simu

----------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

TANGAZO KWA WATUMIAJI WETU WA HII A[PPLICATION YAKO PENDWA YA UTUNDU

WA CHUMBANI , KUANZIA LEO NA KUENDELEA TUNAANZA KUTOA MATANGAZO YA

WALE WANAOTAFUTA WACHUMBA WA KUWAOA ,UWE MWANAMKE AU MWANAUME

NA UNATAKA MCHUMBA TAFADHALI TUTUMIE NAMBA ZAKO AU EMAIL NA PICHA

ZAKO KICHA TUTAKUPOST HAPA , MAWASILIANO YOTE YATUMWE APA >>

Songambele0003@gmail.com

No comments:
Write comments

Recommended Posts × +