Pages

Friday, May 31, 2019

Simulizi : Shemeji Ingiza Pole Pole sehemu ya 8

Chombezo : Shemeji Ingiza Pole Pole
Sehemu Ya Nane (8)
Nilifungua mlangu huo lakini sikutaka kumruhusu kuingia mpaka ndani na nikamuomba tuongere hapo hapo mlangoni.
Kumbe alivyokuja speed yote ile alikuwa kaota ndoto mbaya na kuona kitu kikimkimbiza ndotoni huku kingine kikimshitua ndotoni na ndipo alipokuja kuomba msaada huku nami alivyokuwa akinisimulia uoga ulinitawala mnoo.
Ilinipasa nimtulize kwani tukio hilo lililompata ndio mara ya kwanza kutokea kwenye nyumba hiyo. Nikihisi ni ndoto tu alioota ndio iliiomfanya aogope nami ilinibidi nimtulize na alipotulia kwa hofu aliokuwa nayo ilinibidi nimshike mkona huku tukiongozana mpaka kwenye mlango wake na nilipomfikisha anakolala nilimuacha nami kurudi chumbani mwangu kulala tena.
Nakulipokucha nami niliona siyo busara kutopita na kumjulia hali shem wangu nami nilijongea mpaka kwenye mlango wake ili.nipate kujua kalala vipi!
“hodi shem ”
“Karibu isabela ”
“asante vipi za toka jana kuhusu ndoto ile ilikupata tena shem ”
“Nashukuru sana kwa kunitia moyo jana haikuendelea shemu wangu niko vizuri ”
Nilimuaga pale alipokuwa kalala na kuanza kupiga hatua kadhaa ila nilipofikasha hatua chache sauti ya shem Erinest ikiniita nirudi mara moja tena.
Nilirudi kumsikiliza alichoniitia na nilipofika haraka haraka bila hata ya kungojea hata nifike tuongee shem Erinest alishuka kitandani kwa speed kali na kusogea karibu yangu na kunishika mkono hofu ilinitanda ha huku hisia zangu zikinijia kwa speed kali pindi aliponishika mkono ule na ikanibidi nivunje ukimya na kumwambia.
“Shem kulikoni au bado waogopa ndoto ”
“Hapana shem lakini nikitaka tu nikushike mkono ila shem weweeeeeee!”
“Nambie Erinest vipi tena ”
Alicheka kwa kicheko kikali sana nakuniambia tena.
“Shem bwana unamkono mzuri tena laini wenye kujua mapishi lakini daaah!”
“lakini nini tena shem ”
“Mkono wako isabela ”
“Umefanyeje tena shem mbona uko sawa ”
Shem Erinest alionekana kunielewa na kunipenda lakini alikuwa akizunguka sana lakini aliponishika mkono ulee mashallaah! Mwili haukuwa wangu tena maana hisia zangu aliziteka na ziliamka na kuwaza vingi mnooo!.
Baada ya kuona hayo yakinizidi nilichomoka
Nilichomoka na kuelekea jikoni ili niandae chai na niwahi kazini.
Nikifanya hivyo huku nikifanya haraka na upesi na wakati nimemaliza sikutaka kumuaga shem nilinyata nyata kuuwai mlango na ndipo shemu kuniona na kuniita tena nilishituka sana na kuwaza anachoniitia ni kipi.
“Shem shem shem isabela ”
“Nambie Erinest lakini mimi nawai kazini naomba tutaongea nikirudi sawa shem ”
“Mmmmmh! shem kweli ombi langu umelikataaaa naomba uje japo mara moja lakini sawa nikitaka kukuambia kitu shem wangu tena kizuri utafurahia mwenyewe ”
“Mimi shem nawahi naomba ridhaaa yako niende nikirudi tutaongea wala usiwe na wasi wasi hapa ni nyumbani hilo ondoa hofu litunze tu jioni ikifika nambie sawa shem ”
Niliondoka huku nafsi yangu ikitamani kurudi japo kusikia kile alichotaka kunambia lakini niniliogopa mnooo juu ya kitu alichotaka akitaka kuniambia huku hofu kubwa juuu ya kitu hicho kutendeka kati yangu na shem Erinest.
Mawazo yalikuwa mengi siku hiyo kwani hata kazi sikufanya ipasavyo juuu ya jambo hiloooo
Jioni ilipofika nikilejea nyumbani na nilimkuta shem akiwa jikoni akiandaaa chakula nami kuona hivyo nilipigwa na butwaaaa kubwaaaa kwa kile alichokuwa akikifanya jikoni.
“Sheeeeeeeeeeeeeem! Erinest kulikoni leo jikoni ”
“Isabela ndio umefika karibu tuungane na tusaidizani kufikisha gurudumu hili la upishi leo”
“Shem unajua kupika kweli kwani muonekano wako ni tofauti sana na uvifanyavyooo ”
“Haaaaaah! ujawahi kumuuliza dada yako Amina na kukuambia kuwa mimi ni fundi wa kila kitu”
“mmmmmh ajawahi kuniambia kitu kama hicho ndiyo mara ya kwanza hiiii kukuona lakini waonekana tuuuuu Hongera zako ”
“Basi na leo utakula chakula nacho kiandaaa mimi kwa mbwembwe zote”
“Sawa nakisubilia kwa hamu yote chakula chako shem nione juhudi zako leo”
Niliingia chumbani kubadili nguo nilizokuwa nimevaa ili nirudi tena jikono kumsaidia shem kazi ndogo ndogo zilizopo.
“shem nimekuja japo nikusaidie japo kazi mbili tatu ”
“Etiiiiiheeee basi sawa njooo japo uniosheee hiki chombo nipate cha kuwekea hiii mboga ”
Nikishika chombo kile kama alivyoooniambia kukiosha.
Itaendelea….
Usikose Tembelea App Yetu Kila Siku KUpata Mwendelezo

No comments:
Write comments

Recommended Posts × +