Pages

Wednesday, May 15, 2019

SIMULIZI YA *SIN* SEHEMU YA 18........ ONLY 18+

ILIPOISHIA
Tomas akaanza kuifwata barabara hiyo ya lami huku akikisia kwamba anapo elekea itakuwa ni jijini Dar es Salaam. Akasikia mlio wa gari unao kuja nyuma yake. Akageuka na kupunga mkono na gari hilo likaanza kupungumza mwendo na kadri jinsi linavyo zidi kumsogelea ndivyo jinsi aliyo fahamu kwani namba za usajili za gari hilo ni mali ya Mrs Sanga, mwana mama aliye muharibia maisha yake matamu ya uhuru na kumfanya sasa aanze kuishi kwenye maisha mabaya ya kupoteza uhuru ndani ya nchi yake. Huku onyo na agizo la kuondoka nchini Tanzania kabla ya kukamatwa na polisi likijirudia kichwani mwake.

ENDELEA
Gari hilo likasimama mbele yake kidogo na kumfanya Tomas kusimama huku akiwa na mashaka kiasi moyoni mwake, kwani hisia za kumuona nabii Sanga akiwa na mke wake zime mtawala kichwani mwake. Mlango wa gari hilo ukafunguliwa, Tomas hakuamini alipo muona Mrs Sanga akaishuka kwenye gari hilo. Hakujali mvua inayo nyesha ila Mrs Sanga akamkimbilia Tomas na kumkumbatia kwa nguvu huku akimpiga mabusu mfululizo ya usoni mwake.
“Jamani pole mpenzi wangu, mbona ume chafuka hivi?”
Mrs Sanga alizungumza huku akiwa ameshau kwamba hadi hapo alipo, yupo kwenye kikaangio cha mume wake na ameahidiwa na mume wake akianzisha tena mahusiano na Tomas basi video yake ya ngono ina kwenda kuwekwa mtandaoni.
“Upo na nani kwenye gari?”
“Peke yangu hembu tuondoke eneo hili mume wangu”
“Una taka twende wapi?”
“Nikupeleke sehemu yoyote ambayo uta ihitaji”
“Nahitaji kuondoka nchini Tanzania usiku huu huu. Nataka kwenda Aftika kusini kwa mke wangu”
Tomas alizungumza kwa msisitizo huku akimtazama Mrs Sanga usoni mwake.
“Afrika kusini kwa mke wako.Tomas mbona hukuwahi kuniambia kwamba una mke Afrika kusini”
“Vitu vingine sio muhimu kwa wewe kuweza kufahamu. Ila kumbuka kwamba nina omdoka kwa ajili ya wewe. Nimepewa nafasi moja ya kuishi hapa duniani ni kuondoka. Sitaki tena mahusiano na wewe. Kama utaweza kunisaidia basi nisaidie ila kama huto weza kunisaidia sawa usinisaidie, ila nitajua nini cha kufanya”
Tomas alizungumza kwa msisitizo na kumfanya Mrs Sanga kukaa kimya huku akiitafakari hali hiyo ya Tomas.
“Sawa ingia kwenye gari”
Mrs Sanga alizungumza na Tomas akafungua mlango wa siti za nyuma na kuingia.
“Kaa huku mbele”
“Mama sihitaji mapenzi na wewe. Nina mtoto mdogo na mke wangu wana nitegemea. Siwezi kufa kwa ajili yako. Kama una weza nisaidie kuondoka nchini ila kama huwezi, usinisaidie”
“Ila Tomas kukuambia kwamba ukae mbele si kwamba nina lengo baya”
“Lengo liwe zuri au baya ila nakuomba tafadhali tuondoke. Nipelekea nyumbani kwangu, nikachukue vilivyo muhimu niondoke”
“Sawa”
Mrs Sanga akwasha gari na kuianza safari ya kwenda nyumbani kwa Tomas. Ukimya wa dakika kadhaa ukatawala ndani ya gari huku Tomas maombi yake yote kwa Mungu ni kufanikiwa kuondoka Tnazania kabla ya kukamatwa tena na polisi.
“Tomas”
“Naam”
“Kwa hiyo ndio mimi na wewe basi?”
“Tena sio basi ya herufi ndogo ni BASI ya herufi kubwa mama. Sihitaji kabisa kufa. Leo bado nusu nife na keshi keshi nilizo pitia…..Ahahh hapana kwa kweli, siwezi kuwa mjinga tena”
“Ila Tomas hiyo uliyo pitia ni mikwara tu”
“Nyooo acha using** wewe mama. Nimepigwa shoti za umeme, nimewekewa bastola kichwani mwangu mara kadhaa. Nimeshuhudia rafiki zangu wakiuwawa kwa kupigwa risasi tena kikatili, sasa hivi una niambia mikwara. Acha ujinga bwana”
Tomas alizungumza kwa hasira huku machozi yakimlenga lenga usoni mwake. Mrs Sanga akakosa cha kuzungumza zaidi ya kuendelea kuvumilia maumivu ya kuachwa na mwanaume anaye mpenda. Wakafika nyumbani kwa Tomas.
“Baki hapa”
Tomas alizungumza huku akifungua mlango wa gari hilo.
“Kwa nini jamani. Au uniruhusu kuingia ndani?”
“Kama vipi wewe ondoka”
“Tomas, acha kuwa na hasira. Kumbuka kwamba haya tuliyo yafanya yote ni kutokana na upendo wetu”
“Nisikilize wewe mwanamke mpnede mume wako. Nakama hujui, mumeo ana video ya ngono niliyo kuwa nina kufir** mule ofisini kwake. Sasa wewe shangaa shangaa macho tu. Atakuua na wewe. Kwanza washa gari lako usepe una niwekea kiwingu”
Tomas akashuka na kuubamiza mlango wa gari la Mrs Sanga. Mrs Sanga hakuridhila kuachwa kwa namna hiyo na Tomas, akaingia kwenye geti la nyuma anayo ishi Tomas na kuanza kumuita. Tomas akatoa fungua kwenye maua yaliyo katika chungu maalumu, kilichopo hapo mlangoni mwake. Akafungua mlango wake huku akiwa hamsikilizi chochote mrs Sanga.
“Tomas kumbuka kwamba nina kupenda. Kumbuka kwamba nina kuhitaji sana kwneye maisha yangu. Sihitaji kukuacha, wewe ndio kila kitu kwenye maisha yangu. Una nikuna kila sehemu ya mwili wangu, una nikata kiu yangu ya mapenzi. Kwanini nikuache’
Mrs Sanga alizungumza huku akiwa ana angua kilio kizito sana.
“Hivi wewe mwanamke ume rogwa ehee?”
“Ndio Tomas, umeniroga na penzi lako. Umeniroga baba, sisikii wala sisemi chochote. Ume niroga baba”
Mrs Sanga alizungumza huku akiishika miguu ya Tomas aliye simama huku akimtazama kwa macho ya hasira. Tomas ana tamani hata achukue kiti kizito na kumponda mwanamke huyo kichwani mwake.
“Tomas, nipe, nipe vya mwisho mwisho. Nitakupa chochote utakacho taka. Tafadhali Tomas”
Tomas akashusha pumzi nzito, kwani hakuwahi kutegemea kwamba ipo siku mwana mama huyo ata kuwa ni king’ang’anizi namna hiyo.
***
“Baby ni lini uta kuja tena?”
Magreth alimuuliza nabii Sanga kwa sauti ya upole huku akimtazama usoni mwake. Nabii Sanga hakujibu chochote zaidi ya kuendelea kuminya minya simu yake.
“Sanga si nimekuuliza jamani”
“Mage sijui lini nitakuja. Kichwa changu hakipo sawa. Tafadhali nina kuomba uniache kwa muda”
“Nikuache kwa muda, au kwa sababu una kwenda kukutana na mke wako si ndio. Umeniacha na nyege kitandani kisa mke wako si ndio. Nini maana ya upendo wako ulio kuwa una niahidi au ulitaka kunivunja tu usichana wangu ili unichezee si ndio?”
Magreth alizungumza kwa hasira iliyo chananyikana na wivu.
“Usifike huko Magreth tambua kwamba nakupenda ndio maana nimefanya kila kitu kwa ajili yako”
“Kila kitu kwa ajili yangu. Okay rudi kitandani uendelee kuni tomb**”
“Mage kuna maswala yametoke ya kifamilia nina takiwa kuyaweka sawa. Ninakuomba unielewe basi mke wangu”
“Ahaa….una hofia mke wako kukutolea siri za kumfir** sijui huyo kijana wa kinigeria?”
Nabii Sanga moyo ukamstuka sana. Hakuamini kama Magreth ana weza kugundua swala hilo. Kabla nabii Sanga hajazungumza kitu chochote, simu yake ikaita, akaitazama na kukuta ni dereva wake. Akaipokea na kuiweka sikioni mwake.
“Ndio”
“Nimefika hapa nje”
Nabii Sanga akakata simu na kuuzungusha mkono wake mmoja akiunoni mwa Magreth.
“Nisikilize Mage. Haya aaliyo yazungumza huyu mwanamke hayana ukweli wowote ndani yake. Usimsikilize kwa maana ame changanyikiwa”
“Kwa hiyo una niachaje mimi?”
“Kivipi?”
“Mimi nina nyeg** bado”
“Mage nakuahidi kesho asubuhi nitakuja kabla hata sijafanya jambo lolote”
“Una nidanyanya”
“Kweli nina kuja”
“Poa”
Magreth alijibu kishingo upande, taratibu nabii Sanga akambusu Magreth mdomoni kisha akatoka ndani humo. Akatoka kabisa getini na kuingia kwenye gari la kanisa.
“Shikamo mzee”
“Marahaba. Ngoja kwanza”
Nabii Sanga alizungumza huku akiendelea kuitafuta simu ya mke wake kwa kutumia GPRS. Haikuchukua muda mrefu sana akafanikiwa kuiona ni sehemu gani simu ya mke wake inapo patikana. Jambo lililo mstusha sana ni kwamba eneo hilo alipo mke wake kwa sasa ndio maeneo ya mtaa anao ishi Tomas. Nabii Sanga hakuhitaji kupoteza muda zaidi ya kumueleza dereva wake waelekee nyumbani kwa Tomas.
Magreth mara baada ya kumshuhudia nabii Sanga akiondoka, akaingia bafuni na kuoga kwa haraka huku saa yake ya ukutani ikionyesha majira hayo ni saa sita usiku.
‘Wata kubali tu’
Magreth alizungumza huku akimalizia kuoga. Akarudi chumbani kwake na kuvaa nguo aliyo iona ina mpendeza. Akampigia Sheby simu na kumuomba aweze kufika nyumbani kwake hapo haraka iwezekanavyo.
‘Pesa itasaidia kufanikisha ninalo kwenda kulifanya’
Magreth alizungumza huku akichukua kiasi cha pesa na kuingiza kwenye wallet yake ya kike. Sheby akafika nyumbani hapo na Magreth akaingia kwenye gari na kuondoka eneo hilo.
“Usiku huu kweli pale Mwanyamala wana weza kuturuhusu kuingia?”
“Ndio”
“Kwani kuna madokta ambao una fahamiana naye?”
“Hapana ila twende”
Baada ya nusu saa sakafika katika hospitali ya Mwanayamala. Kitu alicho kifanya Magreth ni kutoa kiasi cha pesa kila sehemu ambayo walipewa kizuizi cha kuingia.
“Sheby nisubiri hapa ndani ya gari.”
“Sawa”
Magreth akashuka ndani ya gari hilo na moja kwa moja akaelekea katika chumba alicho lazwa Evans Shika. Kwabahati nzuri akamkuta akiwa bado hajalala.
“Mage mbona usiku sana vipi?”
“Nimekuja kukuona, nimeshindwa kulala Evans”
Magreth alizungumza huku akiufunga mlango wa chumba hicho kwa ndani. Kwa jinsi nyeg** zilivyo utawala mwili wake, Magreth alishindwa kabisa kujizuia. Akamsogelea Evans kitandani alipo lala.
“Evans nina kupenda. Nimeshindwa kuvumilia, nimeshindwa kabisa kulala kwa ajili yako. Nakupenda sana”
Magreth alizungumza huku akivua gauni lake hilo alilo livaa. Akabakiwa na chupi pekee huku kifuani mwake, maziwa yake yaliyo kaa vizuri yakimtamanisha Evans ambaye kwenye kipindi chote cha maisha yake hakuwahi kukutana na mwanamke kimwili. Magreth akauingiza mkono wake wa kulia katika suruali hiyo ya Evans ambayo amekabidhiwa na madaktari kwa maana haimbani mwili wake. Akamtoa jogoo wa Evans ambaye ana urefu wa inch nane huku akiwa na unene uliyo jitosheleza. Magreth macho ya uchu wa ngono ukamjaa, akamshika vizuri joo huyo na kuanza kumnyonya taratibu pasipo kujali kama Evans ni mgojwa anaye karibia kupona haraka.
***
“Toms tafadhali mume wangu, naomba tafadhali”
Mrs Sanga alizungumza huku akimshika Tomas eneo la jogoo wake. Hisia kali alizo nazo Tomas kwa mrs Sanga, zikaifanya hasira yake kuanza kumyayuka tartaibu. Mrs Sanga akafungua zipu ya suruali ya Tomas na kumtoa jogoo wa Tomas aliye simama dede. Akaanza kumnyonya taratibu huku akisahau kabisa safari ya kuelekea nyumbani kwake.
“Ohoo…a.iiisii….iiiaa…..”
Tomas alitoa minguno ya kimapenzi huku akimshika mrs Sanga kichwani mwake. Akaanza kumsokomeza kwa nguvu jogoo wake huyo mdomoni mwa mrs Sanga hadi akamfanya mwana mama huyo kutoa sauti iliyo jaa mikwaruzo huku mate mengi yakimwagika mdomoni mwake.
“Ahaa…”
Mrs Sanga alitoa mguno wa furaha, huku akirudia zoezi hilo tena la kumsokomeza jogoo wa Tomas hadi akakaribia kuingia kooni mwake.
“Khaaa…..arghh……”
Mrs Sanga alilalama, taratibu akasimama na wakaanza kunyonyana midomo yao huku wakizama kwenye dimbwi kubwa la mapenzi. Tomas akamsukumia Mrs Sanga kwenye sofa huku akizivua nguo zake haraka haraka. Mwanga wa mbalamwezi unao ingia kupitia dirisha kubwa la hapo sebeleni, ukawawezesha Mrs Sanga na Tomas kuonana vizuri sana pasipo wao kuwasha taa chumbani humo.
Mrs Sanga akavua nguo zake huku Tomas akikamilisha kumvua Mrs Sanga chupi yake, akaipanua miguu ya mwana mama huyo na kuanza kumpa penzi zito mwana mama huyo kiasi cha kumfanya mwana mama huyo kushindwa kabisa kujizuia sauti yake na kuanza kutoa vilio vya burudani.
“Hembu simama hapa”
Nabii Sanga alimuambia dereva wake mara baada ya kuona gari la mke wake nje ya geti la nyumba ya Tomas. Hasira ikaanza kumtafuna nabii Sanga, huku mapigo ya moyo yakimuenda kasi sana.
“Usishuke kwenye gari na zima taa za gari”
“Sawa mzee”
Nabii Sanga akashuka kwenye gari huku akianza kutembea kwa hatua za tahadhari hadi sehemu lilipo gari la mke wake. Akachungulia katka kioo cha nyuma na hakuweza kumuona mtu yoyote. Akajaribu kufungua mlango wa dereva na akaukuta wazi. Akafungua na kutazama ndani na kukuta funguo ya gari ikiwa ina ning’inia eneo hilo. Nabii Sanga akaachia msunyo mzito huku akichomoa funguo hiyo, akafunga mlango wa gari hilo huku akiwa amejawa na wasiwasi mwingi sana.
Akalitazama geti dogo la nyumba ya Tomas, kisha akaanza kutembea kuelekea kwenye geti hilo. Akajaribu kulisukuma kwa ndani na kwa bahati nzuri likafanikiwa kufunguka. Akatazama nyumba hiyo na kukuta taa zote zikiwa zime zimwa. Akaanza kutembea kwa hatua za kunyata kuelekea katika mlango wa kuingilia ndani kabisa ya nyumba hiyo. Vilio na miguno ya kimahaba, vikamafanya nabii Sanga kujawa na hasira kwani ana vitambua vilio vya mke wake. Amlango wa kuingilia sebleni hapo, upo wazi kidogo, hivyo ikamuwia uraisi kwa nabii Sanga kuingia pasipo Tomas na mrs Sanga kuweza kujua chochote. Nabii Sanga akahisi moyo wake ukilipuka kwa mapigo ya moyo yatokanayo na hasira. Hakuamini kabisa kumuona mke wake akiwa amekunjwa vibaya kwenye sofa moja la sebleni hapo, huku Tomas akizungusha kiuno chake kwa kasi sana. Nabii Sanga akaupeleka mkono wake ukutani na kuminya swichi ya taa za sebleni hapo na zote zikawaka na kuwafanya Tomas na Mrs Sanga kustuka sana huku wakitazamana na nabii Sanga aliye simama mlangoni hapo huku akiwa amefura kwa hasira kiasi cha kushindwa hata ajue awafanye nini wasaliti wake hao.
ITAENDELEA
Haya sasa, nabii Sanga leo yeye mwenyewe amemshuhudia mke wake akiliwa utamu na Tomas huku Magreth akishindwa kujizuia kabisa kumpa penzi Evans ikiwa ni muda mchache tu ametoka kupewa penzi na nabii Sanga nini kitatokea ? Endelea kufwatilia kisa hichi cha kusisimua, usikose sehemu ya 19.

No comments:
Write comments

Recommended Posts × +