Pages

Tuesday, May 21, 2019

SIMULIZI YA *SIN* SEHEMU YA 23........ ONLY 18+

ILIPOISHIA
“Samahani nesi, huyu mgonjwa wa hichi chumba ame kwenda wapi?”
“Huyo kaka?”
“Ndio”
“Yupo ICU ana fanyiwa upasuaji, kwani kidonda chake kwa ndani kime pata itilafu inavyo onyesha aliweza kufanya kazi iliyo sababisha kumpa maumivu ya ndani na hatujajua ni kazi gani hivyo iliyo mfanya kuwa katika wakati huo.”
Kauli ya nesi huyo ikamstua sana Magreth na moja kwa moja aka tambua kwamba. Kitendo cha wao kufanya mapenzi jana usiku ili hali Evans yupo katika hali ya kuumwa ndio ime pelekea kidonda alicho chomwa kisu kupata matatizo.

ENDELEA
“Ohoo Mungu wangu”
Magreth alihamaki huku nguvu za mwili akihisi zina kwenda kumuishia.
“Msubirie ata tolewa muda si mrefu kwa maana aliingizwa muda mrefu kidogo”
Nesi alizungumza huku akimtazama Magreth usoni mwake. Habari hizo zikamfanya Magreth atafute benchi na kukaa huku akianza kumuomba Mungu atende japo muujiza katika maisha ya Evans.
Madaktari wakafianikiwa kukisafisha kidonda cha Evans ambacho kwa nama moja ama nyingine wamegundua kilikuwa na matatizo ya kufumuka kwa nyuzi walizo kuwa wamemshona hapo awali. Baada ya matibabu hayo wakamtoa Evans katika chumba cha upasuaji huku akiwa katika hali ya uzingizi utokanao na kuchomwa kwa sindano ya usingizi. Magreth akanyanyuka kwenye bechi hilo na kuanza kufwata kitanda alicho lazwa Evans, huku kikisukumwa na manesi wane.
“Dada tunaomba uweze kusubiri nje”
Nesi mmoja alizungumza huku akimzuia Magreth kuingia katika chumba hicho.
“Hali yake vipi lakini dokta?”
“Tuta kuambia akiwa sawa”
Magreth akamshuhudia Evans akiingizwa kwenye chumba hicho huku mlango ukifungwa taratibu.
***
Levina na Tomas wakafika nyumbani na moja kwa moja wakapitiliza hadi sebleni. Levina akaingia chumbani kwake na alipo rudi akarudi akiwa na laptop yake anayo itumia kwa hapo nyumbani.
“Una fanya nini?”
“Nataka kufuta mazungumzo yote ambayo mimi na wewe tumewasiliana. Itasaidia askari wasiweze kutrack kitu chochote”
“Aahaha kwa hiyo una taka kuniambia kwamba hata kwa kutupa laini polisi wana weza kufahamu kwamba mimi na wewe tulizungumza?”
“Ndio, kwa maana mazungumzo si yanabaki kwa wanao miliki mtandao wa simu”
Uwezo wake mkubwa katika mambo ya teknolojia, haikumpa shida Levina kuingia katika database za kampuni waliyo tumia kuwasiliana. Akatafuta mazungumzo yao waliyo zugumza dakika kumi na tano zilizo pita na kufanikiwa kuyapata. Akafuta kila kitu na hata kama polisi wata jaribu kumtafuta basi hawato kuta kitu chochote.
“Kazi namba moja sasa ime kwisha. Kazi namba mbili ni kutengeneza hati ya kusafiria ya bandia pamoja na kukutengenezea sura ya bandia”
“Sura ya bandia uta nitengenezea vipi?”
“Subiri mtoto wa kiume, ulihisi kwamba nilikwenda Urusi kusoma miaka sita kimchezo mchecho nini”
Levina alizungumza huku akimtazama Tomas usoni mwake.
“Mbona hukuniambia kwamba ulikwenda kusoma Urusi?”
“Sasa nikuambie ikiwa mtu mwenyewe akili zako ni za kidalali. Ninakufanyia haya yote kwa kukusaidia endapo uta nitangaza kwamba nina fanya kazi hizi. Haki ya Mungu Tomas nitakufanya kitu ambacho hoto tarajia kwamba nina weza kukufanya”
“Nitakuwa mjinga endapo nita kutangaza”
“Wewe sema hivyo. Ila nitakapo kufanyia kitu kibaya usije kusema kwamba hooo hukuniambia”
“Nimekuelewa”
“Simama hapo ukutani”
Levina alizungumza huku akiiweka laptop yake juu ya meza. Akasimama na Tomas akasimama kwenye ukutu wa sebleni hapo ambao una rangi ya blue nzuri kwa nyuma. Kwakutimia simu yake Levina akampiga picha Tomas, kisha akarudi kwenye sofa.
“Hapa nina tengeneza red passport, sasa wewe ukaitumie vibaya huko uendapo”
Levina alizungumza huku vidole vyake vikiwa na kazi ya kuminya kwa kasi batani za laptop hiyo. Kwakutumia usb waya akaingiza picha hiyo kutoka kwenye simu yake na kuingia kwenye laptop. Akaanza kuunda sura ya bandia kutokana na jinsi uso wa Tomas ulivyo kaa. Kazi hiyo haikumchukua muda mrefu akafanikiwa kuimaliza kazi hiyo.
“Ona hivi ndivyo utakavyo kuwa una onekana”
“Waoo hapo mtu si hato nijua kabisa?”
“Ndio hato kujua kabisa. Yaani hapo hata ukikutana na huyo nabii Sanga wala hato weza kukufahamu”
“Kazi nzuri sana Levina, ndio maana nina kupenda”
“Ungekuwa una nipenda ungeniacha. Tena usizungumze mambo yako ya ajabu”
Ikambidi Tomas kukaa kimya kwani ni kweli alimuacha msichana huyo na yote ni kutokana na kukolea kwa penzi lake na mrs Sanga ambaye kwa sasa ndio amemsababishia matatizo yote hayo. Levina baada ya kumaliza kazi hiyo wakaingia katika chumba cha kulala cha Levina.
Levina akatoa picha yake kubwa iliyopo ukutani na hapo ndipo Tomas akaona batani nyingi.
“Kumbe hapa kuna batani?”
“Siku zote si ulikuwa una kuja na ujacho jua ni kutomb** tu ila mambo mengine wala huna haja ya kuchunguza”
“Ila hiyo picha hapo ukutani haionyeshi kabisa kama kuna batani nyuma yake”
“Waswahili kani muna akili basi. Yaani hampendi kujiongeza kabisa”
Levina alizungumza huku akiminya batani hizo na mlango wa siri ulipo sakafuni pembeni ya kititanda chake ukafunguka.
“Kuna mlango hapo!!?”
“Wewe una ona nini”
Levina alizungumza huku wakianza kushuka chini kwa kutumia ngazi kadhaa zilizopo katika mlango huo ambao kwa juu ukiutazama una ona ni tailizi zinazo fanana na tailizi zilizo jengewa sakafuni hapo. Wakaingia katika ukumbi mkubwa ulipo chini ya ardhi katika chumba hicho. Mitambo mbali mbali iliyomo chini hapo ikamshangaza sana Tomas.
“Hapa kila aina ya kazi haramu ambayo nina hitaji kuifanya inayo husiana na kuhgushi vitu basi ipo hapa chini”
“Kwa hiyo unataka kuniambia huwa una fanya kazi haramu ama?”
“Ndio, unahisi kuna mafanikio yoyote yanayo kuja pasipo kufanya kazi haramu. Hakuna tajiri hata mmoja duniani ambaye amepata mafaniko yake kwa uhalali. Wote wamepata kwa njia haramu”
“Hapana bwana kuna watu wanao pata utajiri wao wa kumuomba Mungu?”
“Hakuna kitu kama hicho. Hapa Tanzania nina listi ya matajiri wengi sana wana tumia njia ambazo si halali kujipatia kipato kikubwa zaidi. Wapo hata wengine ambao wapo tayari kwa kutumia karatasi kuhakikisha wana iba sehemu ili tu akaunti zao zisome”
“Ahaa hapo nimekuelewa”
“Ndio”
Levina akafunua tambara moja kwabwa katika moja ya mashine.
“Hiyo kazi yake ni nini?”
“Kutengenezea sura bandia”
“Duu”
“Ndio”
Levina akaanza kuifanya kazi ya kutengeneza sura hiyo bandia, huku kila hatua anayo ifanya ana muelekeza Tomsa. Lisaa moja likamfanikisha kumaliza kutengeneza sura hiyo ya bandia.
“Lala hapo”
Levina alizungumza huku akimuonyesha Tomas kitanda cha kulala. Levina akavaa gloves mikononi mwake na akachukua gundi ngumu sana ambayo sio rahisi kuachanisha na sura hiyo ya bandia pale inapo bandikwa kwenye gozi halisi. Akaanza kuifanya kazi hiyo ya kuiweka sura hiyo bandia katika uso wa Tomas. Alipo hakikisha kwamba kazi hiyo ime kamilika, akamfukizia Tomas joto kali usoni mwake kwa kutumia kifaa maalumu ili kuhakikisha ngozi hiyo bandia ina fanana kabisa na ngozi za kawaida na hata akishikwa na mtu asiweze kutambua kwamba hiyo ni ngozi ya bandia.
“Unataka kwend nchi gani?”
“Afrika kusini”
“Ngoja nikutengenezee vitambulisho viwili”
“Vya wapi na wapi?”
“Afrika kusini na hapa Tanzania.”
“Sasa hii sura nita dumu nayo hadi kufa au?”
“Una weza kuichomoa muda wowote ila maumivu yake ni zaidi ya maumivu ya tombo la mwanamke anapo kuwa kwneye hedhi”
“Mmmm!!”
“Ndio maana yake, jiangalie kwenye kioo”
Levina alizungumza huku akimkabishi Tomas kioo. Tomas akajikuta akitabasamu kwani amebadilika kwa kiasi kikubwa. Tomas akashuka kitandani kwa furaha, akamkumbatia Levina kwa kazi hiyo aliyo ifanya.
“Hembu acha mambo ya mapenzi bwana. Tambua umenitoa ofisini na siku bado haijaisha hii”
Levina alizungumza huku akiukwepesha mdomo wake usipigwe busu na Tomas. Levina akaendelea na kazi ya kutengeneza hati ya kusafiria pamoja na vitambulisho vya mataifa hayo mawili. Afika kusini na Tanzania na vina sura halisi ya Tomas.
“Simama hapo kwenye tambaa la blue”
Levina aliuzungumza Tomas akasimam. Levina akampiga Tomas nusu picha(passport size) kisha akaendelea na kazi hiyo. Uzuri katika ofisi yake hiyo ya siri ana kila kifaa ambacho kina tengenezea vitambulisho na hati za kusafiria.
“Unapenda kutumia jina gani?”
“Mmmm Brina”
“Brian nani?”
“Sanga”
Levina akamtazama Tomas aliye taja jina la Sanga.
“Una mpenda sana huyo mzee ehee?”
“Nimefanya hivyo kwa ajili ya kuhakikisha simsahau kwa kile alicho nifanyia”
“Haya”
Levina akaingiza taarifa zote za Brian Sanga katika taasisi husika pasipo taasisi hizo kufahamu. Baada ya vitambulisho na hati ya kusafiria kukamilika Levina akamkabidhi Tomas ili aweze kuvikagua.
“Aisee wewe ni noma Levina”
“Kazi hiyo huwa nina ifanya kwa dola laki moja na nusu. Wewe una kiasi gani uni patie”
“Heee kumbe ulikuwa una nifayia kwa pesa?”
“Kukusaidia sio kwamba ni buru. Wewe nipe kiasi chochote ambacho una hisi kitanifaa la sivyo naua detail zako hata ukienda pale Airport passport yako itaonyesha kwamba haupo”
“Daaa!! Ila Levina si unajua mwenzako nipo kwenye matatizo makubwa. Hembu nakuomba uweze kunisaidia katika hili”
Tomas alizungumza kwa upole huku machozi yakimlenga lenga. Levina akamsogelea Tomas na kumshika jogoo wake na kuanza kumminya.
“Nilipe kwa kunitomb** hadi nipagawe kama unavyo nipagawisha siku zote”
Levina alizungumza huku akianza kumnyonya Tomas denda kwa fujo na kumfanya Tomas naye aendeleze fujo hizo huku moyoni mwake furaha ikiwa mmemtawala kwani sasa ana uhakika wa asilimia mia moja ya kuondoka Tanzania pasipo kukamatwa tena ata pitia uwanja wa ndege ulio wekwa vizuizi vya kusakwa wake.
***
RPC Karata kwa haraka akaituma namba aliyo pewa na nabii Sanga kwa wataalamu wake wanao shuhulika na mambo ya IT. Kazi ya kuitafuta namba hiyo ikaanza mara moja huku kila mmoja akiwa makini sana katika kuhakikisha kwamba wana tambua namba hiyo kwa sasa ipo wapi. Kadri jinsi wanavyo zidi kutafuta ndivyo jinsi wanavyo kutana na ugumu kwani haionyeshi namba hiyo ina patikana wapi.
“Mkuu hatuipati hewani”
“Hembu wasilianeni na mtando wa simu walio tumia”
RPC alizungumza huku akiitafuta namba ya nabii Sanga na kumpigia. Simu ya nabii Sanga ikaaita hadi ikakata.
“Mseng** huyu mbona hapokei simu”
RPC Karata alitukana kwa hasira hadi vijana wake aliomo kwenye hicho chumba wakashangaa kwani wamemzoea kumuona boss wao ni mtu wa dini sana. Akapiga tena simu hiyo, ikaita na baada ya muda ikapokelewa.
“Wewe mjinga una acha acha nini kupokewa. Ehee mulizungumza na huyo mualifu?”
“Ndio mke wangu alizungumza naye”
“Mpe simu”
“Haloo”
“Wewe mpuuzi, ulipo zungumza na Tomas alikuambia nini?”
“Ahaa…aliniambia kwamba hataki kuzungumza na mimi”
“Mkuu tumewasiliana na meneja wa mawasiliano ila ana sema kwamba namba hiyo haipo na haionyeshi mmiliki ni nani”
Kijana mmoja alizungumza na kumfanya RPC Karata kutokwa na macho ya mshangao. Hakika katika kipindi chote cha kulitumikia jeshi la polisi leo ndio ana kutana na wakati mgumu kupita nyakati zote alizo wahi kulitumikia jeshi hilo.
“Ina wezekajane ikawa haipo?”
“Nini?”
Mrs Sanga aliuliza.
“Siongei na wewe na funga bakuli loko. Mbwa koko wewe”
RPC Karata alizidi kuwaporomoshea matusi nabii Sanga na mke wake.
“Kwa nini wana sema haipo. Hembu niunganishe na meneja wao.”
“Sawa mkuu”
Kijana huyo akafanya kazi aliyo agizwa na RPC Karata.
“Simu ipo hewani mkuu”
Kijana huyo alizungumza na kumfanya RPC Karata kuchukua mkonga wa simu hiyo ya mezani na kuiweka sikioni mwake.
“Inawezekanaje namba ambayo ilikuwa ina tumia wakati mfupi, sasa hivi museme kwamba haipo?”
“Hata sisi hatufahamu kwa nini haipo, vijana wangu ana jaribu kila liwezekanalo kuitafuta ila hadi sasa hakuna matumaini ya aina yoyote”
“Hakikisheni muna endelea kutafuta”
“Sawa”
RPC Karata akarudisha mkonga huo wa simu sehemu alipo utoa. Uso wake wote umejaa mikunjo itokanayo na hasira kali. Hofu na mashaka ya kufukuzwa kazi na kustakiwa kijeshi, ikazidi kumtawala kwani kwenye maisha yake yote amekuwa ni muaminifu katika jeshi hilo la polisi ndio maana katika umri mdogo tu wa miaka thelathini na tano amejikuta akikabiwa cheo kikubwa sana cha RPC katika mkoa wa Dar es Salaam. Gafla RPC Karata mapigo yake ya moyo yakamstuka sana na kuzidi kumuenda kasi, hazikuisha hata sekunde tano simu yake kubwa ya mkononi ikaanza kuita. Akaitoa mfukoni huko akiwa amejawa na wasiwasi mwingi sana. RPC Karata akajikuta akikaa kwenye kiti cha pembeni huku miguu ikimuishia nguvu kwani simu hiyo ina toka kwa muheshimiwa raisi ambaye asubuhi ya leo tu ametoka kumchimba biti juu ya makosa aliyo yafanya ya kumtorosha Tomas maabusu.
ITAENDELEA
Haya sasa, RPC KARATA bado yupo kwenye wakati mgumu na raisi ana mpigia ni nini raisi ana hitaji kuzungumza naye ikiwa mtu wanaye mtafuta tayari amesha ibadilisha sura yake? Endelea kufwatilia kisa hichi cha kusisimua, usikose sehemu ya 24.

No comments:
Write comments

Recommended Posts × +