ILIPOISHIA
Simu ya nabii Sanga ikaanza kuita kisha ikapokelewa. Magreth hakuzungumza chochote kwani ana tambua fika kwamba nabii Sanga yupo nyumbani kwake.
“Nile baba ohoooo nile babaaaaa aiiisiiiii….”
Magreth akastushwa sana na miguo hiyo ya kimapenzi. Hasira itokanayo na wivu wa mapenzi vikaanza kumtawala.
“Ohoooo mkund** wako mtamu mke wangu. Ongeza kasi ya kuzungusha kiuno”
Sauti hiyo ya nabii Sanga, ikamfanya Magreth kuishia nguvu na kujikuta akiiachia simu na ikaangukia kwenye sofa. Mwili ukaanza kumtetemeka na machozi yakaanza kububujika usoni mwake taratibu na baada ya muda kidogo akazama kwenye dimbwi kubwa la kilio cha maumivu ya kutendwa katika mapenzi.
ENDELEA
Siku hiyo haikuwa nzuri kabisa kwa Magreth.
‘Kwa nini amenifanyia hivi’
Magreth aliziungumza huku akizidi kulia. Hadi kuna pambazuka Magreth hakuweza kupata usingizi kabisa. Simu yake ikaanza kuita, akaitazama na kuona ni namba ya nabii Sanga, kwa hasira aliyo nayo hakutamani hata kuipokea na alicho kifanya ni kuikata na kuzima kabisa kwani haitaji usumbufu kabisa na mzee huyo.
***
Nabii Sanga akazidi kuchanganyikiwa mara baada ya Magreth kukata simu yake. Hata chai aliyo andaliwa na mke wake asubuhi hiyo hakika haifurahii kabisa kwani kwa asilimia mia moja ana kumbuka kwamba jana usiku wakiwa katika uwanja wa nane kwa nane yeye na mke wake, Magreth alipiga simu na kwa bahatu mbaya mke wake hakuhitaji aipokee simu hiyo na katika kuminyana minyana siku hiyo ilijipokea pasipo wao kufahamu.
‘Amesikia kila kitu’
Nabii Sanga alizungumza huku akiitazama namba ya Magreth ambayo ameiandika kwa jina la Mtumishi, ili mke wake asiweze kufahamu jambo lolote kwani sasa hivi amani katika ndoa yake tayari imesha rudi kwenye mstari.
“Mume wangu mbona una onekana huna furaha?”
Mrs Sanga alizungumza huku akimtazama mume wake usoni.
“Kuna mambo kidogo naya fikiria yana nikosesha raha”
“Mambo gani?”
“Ngoja nikayafwatilie kisha nikirudi nita kuambia ni mambo gani”
“Sawa mume wangu”
Nabii Sanga akamaliza kunywa chai, akajiandaa na kuianza safari ya kuelekea nyumbani kwa Magreth. Njia nzima kila anapo jaribu kupiga namba ya Magreth, haipatikani hewani.
‘Ehee Mungu nimesha haribu’
Nabii Sanga alizungumza huku akikatiza katika daraja la Mwalimu Jk Nyerere. Akafika nyumbani kwa Magreth, akajaribu kupiga honi ili afunguliwe geti ila hakuweza kufunguliwa. Alipo ona kuna ukimya, akashuka kwenye gari na kuanza kuminya batani ya kengele iliyopo getini hapo.
Honi za gari la nabii Sanga, Magreth aliweza kuzisikia ila hakuhitaji kujisumbua kunyanyuka ili kuelekea getini. Ila mlio wa kengele, ukaanza kumkera na kujikuta akisimama na kutoka nje, akafungua geti pasipo kumsemesha chochote nabii Sanga na kaunza kutembea kuelekea ndani. Nabii Sanga akafungua geti kubwa, akaingiza gari lake kisha akalifunga. Akaingia ndani na kumkuta Magreth akiwa amekaa kwenye sofa la mtu mmoja huku akimtazama jinsi anavyo ingia sebleni hapo.
“Habari yako Mage”
”Kimekuleta nini nyumbani kwangu?”
“Mage nimekuja tuyazungumze. Nina imani kwamba uta kuwa ume kasirika”
“Hahahaaa….kukasirika. Hivi unahisi mimi sina moyo au?”
Magreth alizungumza kwa hasira iliyo changanyika na hasira.
“Nalifahamu hilo ila Mage nakuomba uni samehe mpenzi wangu”
“Yaani sijamini mtumishi wa Mungu una mfir** mke wako. So umenitoa bikra ya mbele unataka kunitoa na mimi bikra ya nyuma ehee?”
Maneno ya Magreth yakamstua sana nabii Sanga na kujikuta akikaa kimywa huku akishindwa kujua ni jambo gani ana paswa kumjibu Magreth.
“Huwa nikiwa na hasira nahitaji kukaa peke yangu hivyo nakuomba uweze kuondoka”
“Mage”
“Tafadhali una weza kuondoka. Kama ni pesa zako ulizo nipatia uka hisi ni kifungo changu, nina weza kukurudishia kila kitu na nikarudi kwenye maisha yagu ya kuuza maandazi kwani sikuzaliwa tajiri na nimezaliwa masikini mimi na nitapambana kwa jasho langu”
Magreth alizungumza huku machozi yakimbubujika usoni mwake.
“Hapana Magreth usifike huko. Kama ni pesa nilizo kupa sio kifungo. Kesho nina ondoka na kuelekea nchini Nigeria hivyo nitakuwa huko kwa mwenzi mmoja. Tafadhali nina kuomba uweze kunivumila kwa kipindi hicho chote na nina omba uweze kunisamehe”
“Poa safari njema”
“Hapana Mage usiwe hivyo, tambua kwamba nina kupenda mpenzi wangu”
“Mzee tafadhali nenda basi”
Magreth alizungumza kwa hasira huku akisimama na kumkazia macho nabii Sanga. Taratibu Nabii Sanga naye akasimama na kuanza kumsogelea Magreth.
“Usinisogeleee”
Nabii Sanga akaupitisha mkono wake kiunoni mwa Magreth na kumvutia karibu.
“Siwezi kuondoka bila kupata haki yangu”
“Haki yako umeipata kwa mke wako, mgawa mkund**”
Magreth alizungumza huku akijitahidi kujitoa mikononi mwa nabii Sanga ila akajikuta akishindwa. Nabii Sanga akamnuanyua kwa nguvu Magreth na kuingia naye chumbani. Akambwaga kitandani huku akianza kuvua nguo moja baada ya nyingine.
“Unataka kunitomb** ehee?”
“Nahitaji haki yangu”
“Poa usihangaike kutumia nguvu. Fanya umalize”
Magreth alizungumza huku akivua nguo zake kwa hasira. Magreth akaitanua miguu yake huku akimtazama nabii Sanga anaye hangaika katika kumnyonya maziwa yake. Mbwembwe zote za nabii Sanga hazikuweza kuhamsha hisia hata moja jambo lililo mfanya nabii Sanga kujawa na mshangao, kwani hakuwahi kumnyonya Magreth kitumbua na akakaa kimya pasipo kutoa mguno wa aina yoyote.
“Fanya umalize”
Magreth alizidi kumsisitiza nabii Sanga huku machozi yakiendelea kumwagika usoni mwake. Nabii Sanga akanza kutafuna kitumbua cha Magreth ila Magreth akawa kama mtu aliye shikwa na ganzi, kwani haisi chochote. Kadri nabii Sanga anavyo jitahidi kula kitumbua hicho huku jasho likimwagika ndivyo jinsi alivyo zidi kuujaza moyo wa Magreth chuki. Nabii Sanga akafika tamati huku akitoa miguno ya kuona raha, taratibu Magreth akashuka kitandani na kujifuta waarabu weupe wa nabii Sanga wanao tiririka mapajani mwake.
“Mage kwa nini ume kuwa hivyo mpenzi wangu?”
“Nimekuwaje, si nimekupa ulicho kihitaji au?”
“Hapana sizungumzii hivyo. Kwa nini hata hujatoa mguno mmoja?”
“So ulihitaji nilie kama mtoto mdogo au?”
“Hapana Mage, nimesha zoea huwa una vilio fulani hivi vya utamu utamu ila leo sijasikia hata chochote”
“Ngoja nikuambie ukweli. Huniridhishi na huna uwezo wa kuniridhisha hivyo juhudi zako zote hizo zimekuwa ni sifuri kwangu”
Maneno ya Magreth yakapenya moja kwa moja katika moyo wa nabii Sanga na kuumiza sana. Katika misha yake hayajawahi kutana na dharahu kama hiyo. Akatamani japo amtandike Magreth kofi ila akashindwa kwani kwa namna moja ama nyingine yeye ndio mwenye makosa.
“Usiombe siku nikapata mwanaume atakaye jua kunikuna vizuri. Haki ya Mungu hata maisha ya kwenda kunywa uji nitaishi naye kuliko kuishi kwenye jumba kubwa ila mwanaume hakuridhishi kabisa”
Maneno ya Magreth yakazidi kumchanganya nabii Sanga na kujikuta akipandwa na hasira.
“Kaa kimya Mage”
“Nina kuambia ukweli, huniridhishi. Muda wako umesha kwenda mzee”
Nabii Sanga akamtandika Magreth kofi lililo myumbisha na bado kidogo aanguke chini.
“Pumbavu wewe, sihitaji dharau za kipumbavu. Kumbuka ni wapi nimekutoa wewe na nina mamlaka juu yako na huna uwezo wa kunizungumzia maneno ya dharua mbele yangu”
Nabii Sanga alizungumza kwa hasira huku akimkazia macho Magreth aliye anza kuangua kilio cha woga, kwani hakutarajia kwamba maneno yake yana weza kumfanya mzee huyo kukasirika namna hiyo.
“Sasa nina funga kamera nyumba nzima na gari lako sasa ole wako humu ndani aingie kunguru uta nijua mimi ni mtu wa aina gani. Nikipenda nina penda na yule ni mke wangu wa ndoa, nina miaka naye zaidi ya ishirini na nane kwenye ndoa hivyo usije kuleta dharau juu yake kama ni kumtomb** na kumfir** nafanya kwa mke wangu muda wowote na wakati wowote ninao jisikia wewe ila si wewe kuniletea dharua na kukasirika kijinga jinga kwa ajili ya mke wangu. Umenielewa”
Nabii Sanga alifoka huku jasho likizidi kumwagika.
“Nimekuelewa”
Magreth alijibu kwa upole ulio changanyikana na woga mwingi sana.
“Sasa ole wako uni saliti, haki ya Mungu nita kuua kwa mikono yangu mimi mwenyewe na huyo kinyago ambaye uta nisaliti naye, nita mchinja”
Nabii Sanga alizidi kuzungumzz kwa hasira na kuzidi kumuogopesha Magreth ambaye maneno hayo aliyazungumza kwa ajili ya kujiridhisha moyo wake ila siku zote amekuwa akiridhishwa kimapenzi na mzee huyo. Nabii Sanga akachukua simu yake na kupiga katika shirika linalo toa huduma ya kufunga kamera za ulinzi majumbani.
“Sasa nyumba nzima ita fungwa kamera na nina kwenda Nigeria, sasa nirudi nikukute ukiwa na kiji mwanaume nitakuuaa Magreth”
Nabii Sanga alizungumza kwa hasira huku akimshika shingo Magreth na kumvuta karibu yake.
“Nimeelewa nimeelewa mume wangu”
Magreth alizungumza kwa woga huku mwili mzima ukimtetemeka.
“UMENIELEWA?”
“Nd..i…i…o”
“Pumbavu na siku nyingine urudie ujinga wa kuzungumza ujinga huo, nitakuonyesha mimi ni nani na nina roho ya aina gani”
Nabii Sanga akamsukumia Magreth kitandani na kumfanya aendelee kulia kwa woga.
***
RPC Karata hakuweza kukumbuka chochote kuhusiana na nyumbani kwake. Siku hiyo hakuweza kuondoka kabisa kituoni huku vijana wake wakiendelea kufanya kazi ambayo kadri muda unavyo zidi kwenda ndivyo jinsi matumaini ya kumpata Tomas, yanavyo potea. Mlango wa ofisi yake ukafunguliwa kwa nguvu na wakaingia wanaume sita walio valia suti zao huku wote wakiwa na miwani nyeusi. Mapigo ya moyo ya moyo ya RPC Karata yakaanza kumuenda mbio kwani watu hao ameweza kuwafahamu wame tumwa na raisi Chinas Mtenzi.
“Kuanzia hivi sasa upo chini ya ulinzi na nafasi yako ata kaimu mtu mwengine hadi pale raisi atakapo amua jambo jengine. Nyoosha mikono yako”
Mwanaume mmoja alizungumza huku akimtazama RPC Karata ambaye hakuleta ubishi wowote, akanyoosha mikono yake na akafungwa pingu na kuanza kutolewa ofisini kwake jambo lililo wafanya askari wake alipo kituoni hapo muda huo wa asubuhi kubaki wakiwa na mshangao mkubwa kumuona mkuu wao akiwa amekamatwa na mbaya zaidi hawana uwezo wa kufanya jambo lolote kwa walinzi hao wa raisi kwani majeshi yote yapo chini ya amri ya raisi Chinas Mtenzi.
RPC Karata akaingizwa kwenye moja ya Ranger Rover nyeusi, kisha gari hizo mbili zinazo fananana zikaanza kuondoka kituoni hapo kwa mwendo wa kasi sana. Wakafika ikulu na RPC Karata akaingizwa katika chumba cha maalumu cha mahojiano ambacho kina tumiwa kitengo cha walinzi hao wa raisi. Haukupita muda mrefu sana raisi Chinas Mtenzi akaingia katika chumba hicho.
“Muna weza kutuacha”
Raisi Mtenzi alizungumza na kuwafanya walinzi wake kutoka katika chumba hicho.
“Shikamoo muheshimiwa raisi”
“Shikamoo yako haina haja ya mimi kuipokea. Nilikupa masaa ishirini na nne ila hakuna hata chochote ulicho kifanya na hujanipa ripoti yoyote ikiwa nilikuambia uweze kunipatia ripoti kila baada ya masaa sita.
“Ni kweli muheshimiwa nina makosa, ila tafadhali nina kuomba unipatie muda niweze kuimaliza hii kazi niliyo ianza”
“Karata una nifahamu vizuri, nilikuwa mkuu wako wa chuo na una kumbuka taratibu zangu na sheria zangu kipindi nina endesha chuo cha askari?”
“Ndio nina kumbuka muheshimiwa raisi”
“Una nielewa?”
“Ndio nina kuelewa”
“Mimi ni mtu wa kusimamia kauli zangu. Sina haja ya kuendelea kuwa RPC wa mkoa huu wa Dar es Salaam. Nina imani kwamba muda wako wa kuingia gerezani ume wadia.”
Raisi Mtenzi alizungumza kwa msisitizo. Siku zote mzee huyo amekuwa ni mtu wa kuogopewa yote ni kutokana na misimamo yake anayo jiwekea na maamuzi magumu anayo yafanya hata kwa watu wake wa karibu wanao mfahamu, endapo mtu huyo akienenda kinyume basi hanaga msamaha.
“Mkuu nina kuomba unipe nafasi nyingine. Kumbuka ni mambo mangapi mazuri ambayo nimeyafanya katika nchi hii na jeshi la Polisi. Hili ni kosa la kwanza kufanya nina kuomba uni samehe”
“Karata funga kinywa chako. Kumbuka kipindi ukiwa askari wa kawaida, nilikupa oder ya kumuua mwanangu aliye kuwa akimiliki genge la majambazi kule Kagera au umesahau?”
Raisi Mtenzi alizungumza kwa ukali sana.
“Ninakumbuka mzee”
“Na ulitekeleza japo ilikuwa ni ngumu sana kwako kufanya hivyo. Nina misimamo na maneno yangu, kama niliweza kumuua mwanangu aliye kuwa jambazi nitashindwaje wewe kukusweka ndani. Au unachukulia kujuana kwetu ndio kukupe nafasi ya kusaliti kiapo ulicho kula hapa ikulu kuwa utakuwa ni RPC mwenye maadili?”
“Muheshimiwa ina kuomba kabisa uni samehe. Haikuwa nia yangu wala lengo langu kufanya hivi. Kumbuka nime kuwa mtumwa wako kwa kipindi chote hicho na sikuwahi kuenenda kinyume na amri zako.”
RPC Karata alizungumza huku machozi yakimwagika usoni mwake.
“Ume sema haikuwa nia yako kufanya ulicho kifanya? Ni nani aliyopo nyuma ya hili jambo?”
Swali la raisi Chinas Mtenzi likazidi kumfanya RPC Karata kuwa katika kipindi kigumu.
“Zungumza ili huyo aliye kushawishi wewe kufanya ulicho kifanya, abebe adhabu ambayo nilipanga kukupatia. Nitajie ni nani huyo”
RPC Karata akashusha pumzi huku akimfikiria nabii Sanga. Japo ni mzee anye muheshimu kwenye swala zima la kiimani, ila hana jinsi zaidi ya yeye kutetea kibarua chake.
“Ni nabii SANGA”
Raisi Chinas Mtenzi akatokawa na macho ya mshangao kwani naye siku zote amekuwa ni shabiki namba moja wa nabii huyo anaye ponya watu mbali mbali kwa maombi yake.
ITAENDELEA
Haya sasa RPC Karata ametoboa siri ya aliye sababisha Tomas kutoroka katika makao makuu ya polisi, ni nini raisi Chinas Mtenzi ata amua? Endelea kufwatilia kisa hichi cha kusisimua, usikose sehemu ya 26.
Wednesday, May 22, 2019
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Write comments