Pages

Tuesday, May 21, 2019

Siwezi kutongoza Nifanye nini ?..

habarin,
Pamoja na kuwa na wapenzi mbalimbali kwa muda mrefu nimegundua siwezi kutongoza kwani hata hao niliokuwa nao niliwapata kwa sifa za class akili hasa uwezo wangu wa hesabu na physics sasa na uongozi nilikuwa headboy hivyo walikuwa wanajileta tu nilipofika chuo hali ikabadilika ghafla nikitongoza nakataliwa kwa miaka mitatu nilimpata demu 1 tu kati ya 6 kitu kinachofanya nijihisi vibaya hasa ukizingatia nahtaji mchumba kwa sasa nashindwa kujua nifanyaje alie experience hii anisaidie kabla sijaenda kuombewa nilifikiria kurud kwa ma ex lakin wengine wameolewa mmoja kazalishwa na sitak kuoa mtu mwenye mtoto.

No comments:
Write comments

Recommended Posts × +