Pages

Monday, May 20, 2019

SMS KALI NA TAMU ZA MAPENZI KWA MPENZI WAKO , MPK AKUTUNUKU PENZI

Meseji ya kumtumia mpenzi wako kumwambia akupende kama unavyompenda
Nakupenda mpenzi wangu, sifikirii kitu chochote zaidi yako
na kwa kuwa nakupenda sipendi kuwa na urafiki hata na
mwingine kwani atakuwa anabana nafasi niliyokuwekea wewe.
Noamba unipende nami nakupenda kila sikunde inayopita
maishani mwangu. Mwaaaaaaaaa

🔥♥♥♥
T.gif Ujumbe wa kuasa kuhusu upendo
UPENDO ni ubeti wa maneno yaliyo tamkwa mpaka sasa hajulikan nani alietunga!
PENZI ni hadithi iliyocmuliwa lakin mpaka sasa hafahamik nan muhucka, ndio maana kila mwenye KUPENDA au KUPENDWA hana uhakika muda wote huhis anasalitiwa.
PENZI Ni kama jengo lilokosa nguzo muda wowote unahic litadondoka… Ucnielewe vibaya ckukatazi KUPENDA au KUPENDWA, ila tazama wap UMEPENDA au UMEPENDWA!je eti nikweli kumpenda asie kupenda ni sawa na kusubiri boti airport

🔥♥♥♥
T.gif Ujumbe mzuri wa SMS wa kumfariji mpenzi wako maisha yake yanapokuwa magumu
Furaha yangu kubwa ni kuliona tabasamu lako, kujua uko na
furaha, na kuhisi upendo wako. Najua kuwa maisha mara
nyingine huwa ni makatili, na hiyo ni sababu niko hapa
kukuonyesha kuwa maisha yanaweza kuwa mazuri kama kuna mtu
anayekujali.

🔥♥♥♥
T.gif Ujumbe wa mapenzi wa kumwambia mpenzi wako jinsi unavyompenda na unavyomuwaza kila siku
Kila niamkapo mawazo yangu huwa kwako na upepo uvumapo
huhitaji uwepo wako na hasa nikumbukapo kumbato lako,
nakupenda mpenzi.

🔥♥♥♥
T.gif SMS nzuri ya kumsihi mpenzi wako asikuchoke na asichoke kukupenda kwani unampenda sana
Thamani ya Mapenzi yako nikubwa kwangu, haifanani nachochote kwenye huu ulimwengu, sina budi kumshukuru mungu, kwa kunijaalia mpenzi mwema unaejali hisia zangu, USICHOKE KUNIPENDA MPENZI

🔥♥♥♥

SMS ya kumwambia mpenzi wako hutomuacha na kumuonyesha umuhimu wake
Kama safari tumeianza,kama chakula sinto kusanza,kama
nyumba wewe kibaraza na kama ukingo wewe kiambaza.

🔥♥♥♥
T.gif Ujumbe kwa mpenzi wa kimahaba
yapitayo mdomon yametokea moyon,uyaonayo hadharani
nimeagizwa na manani yakuridhishayo nafsini ni utamu wa
yakini.

🔥♥♥♥
T.gif SMS nzuri ya kumwambia mpenzi wako jisni anavyokuchanganya kwa unavyompenda
Watu waliniambia ninaweza kufanya chochote kama tu
nitaweka mawazo yangu juu ya hicho kitu. Lakini kila
nikijitahidi unaipoteza akili yangu

🔥♥♥♥
T.gif SMS ya mchana mwema kumwambia mpenzi wako aendelee kufurahia mapenzi yako
Mpenzi kila tunapokuwa chumbani huwa napenda kuwa mbunifu,
huwa najitahidi kuepuka udhaifu, ili
mapenzi yangu yasikukifu, ENDELEA KUFURAHIA MAPENZI YANGU.
Mchana mwema

🔥♥♥♥
T.gif SMS nzuri ya kumsihi mpenzi wako asikuchoke na asichoke kukupenda kwani unampenda sana
Thamani ya Mapenzi yako nikubwa kwangu, haifanani nachochote kwenye huu ulimwengu, sina budi kumshukuru mungu, kwa kunijaalia mpenzi mwema unaejali hisia zangu, USICHOKE KUNIPENDA MPENZI

🔥♥♥♥
T.gif SMS ya kujivunia mpenzi wako
tunda langu laangaliwa hawajui nilipoli chuma,
utamu wake maridhawa,hakika utalipenda.si mpi tunda langu mwingine na lila mwenyewe.

🔥♥♥♥
T.gif SMS nzuri ya kumsifia mpenzi wako
Uzuri wako hung'ara kuendana na matendo yako,
Ushupavu, upole, ujasiri na uchambuzi wa kweli,
kwa yote yajayo mbeleni mwako.

🔥♥♥♥
T.gif SMS ya kimahaba ya kumtumia mpenzi wako kumwambia unavyomtamani
macho yang hutaman kukuona,mdomo wang hutaman
kukubusu,mikono hutaman kukutomasa,uko mbali nami ila
mwili wangu upo kwa ajili yako dear

🔥♥♥♥
T.gif Ujumbe wa mahaba wa kumwambia mpenzi wako penzi lake ni tamu sana
utamu wa penzi hunogeshwa na pendo la dhati pia utamu wa
penzi ni uwepo wangu na wako,ladha yake ni zaidi ya nazi
kwenye wali au royco kwenye mchuzi au pilipili kwenye
kachumbari, utamu wake ni zaidi ya asali au jam kwenye
mkate ,blueband kwenye uji.penzi tamu halina kifani

🔥♥♥♥
T.gif Meseji ya kumshauri mtu kuhusu kupenda
Usimpende mtu tuu kwa sababu uko mpweke
Au kwa sababu ana pesa, kwa sababu upendo
Sio pesa wala siluhisho la matakwa yako.

🔥♥♥♥
T.gif Ujumbe wa kimahaba wa kumwambia mpenzi wako anavyokukosha na kumuomba asiende kwa mwingine
Hakika nimepata tabibu, maradhi yangu wajua kujyatibu,
napenda jinsi unavyonitibu, huna papara yaani ni taratibu,
mpenzi usijemuonyesha mwingine hizo zako zabibu, maswahibu
yakatayonisibu hakuna atakayeweza kuyatibu, nakupenda

🔥♥♥♥
T.gif SMS kali sana yenye ujumbe wa kimahaba kwa mpenzi wako
Natamani ningekuwa chozi jichoni mwako ambapo ningetelemka
na kuishia midomoni mwako, lakini kamwe sitamani uwe chozi
jichoni mwangu nitakupoteza kila muda niliapo.

🔥♥♥♥
T.gif SMS ya kutuma kwa mpenzi wako asubuhi
Ewe mwanga angaza mboni ya penzi letu
Ndilo sababu ya nguvu yangu
Tangulia pembeni mwa macho yake
Asubuhi hii hadi usiku ujao

🔥♥♥♥
T.gif Ujumbe wa kimapenzi wa kumwambia mpenzi wako kuwa haupo tayari kumpenda mwingine kwani unampenda yeye tuu
sipo tayari kuukabidhi moyo wangu kwa mwingine zaidi
yako,wewe ni wa pekee maishani mwangu mwenye kujua hisia
moyoni mwangu
mpenzi nipende daima pendo lako nitalienzi, nakupenda

🔥♥♥♥
T.gif SMS ya kimahaba kumwambia mpenzi wako kuwa yeye ni ndoto yako
Nilikuwa nikifiria kwamba ndoto haziwezi kuwa kweli,
lakini nilibadili mawazo yangu pale tu nilipokuona wewe.

🔥♥♥♥
T.gif SMS nzuri ya kumwambia mpenzi wako kuwa anayo moyo wako
Naweza kukuazima mabega yangu upande, masikio yangu
usikilizie mikono yangu ushikie, miguu yangu, utembelee,
lakini si moyo wangu kwani tayari unao wewe.

🔥♥♥♥
T.gif Ujumbe wa kimapenzi wa kumuahidi kumpa mahaba mpenzi wako
Hakika wewe ndiye wangu mahabuba unayejua kunipa huba,
napenda unavyoniganda mithili ya ruba, nahahidi kukupa
mahaba yanayozidi shaba. Nakupenda.

🔥♥♥♥
T.gif Meseji ya kumsifia mpenzi wako kuwa ni mzuri
Swt ulivyoumbika wengi wanateseka juu yako ,najua
wanakusumbua ni vema usiwakubalie, ukweli umebarikiwa
uzuri umeshushiwa na dhati ya penzi umetunukiwa nakupenda

🔥♥♥♥
T.gif Ujumbe wa meseji wa kumsihi mpenzi wako mdumishe mapenzi yenu
Ni vigumu kumpata mwenye mapenzi ya kweli na zaidi yule
atakayekuwa tayari kukupenda zaidi, hivyo nafasi
inapopatika si busara kuichezea tudumishe penzi letu
laazizi wangu.

🔥♥♥♥
T.gif SMS ya kuasa na kutakia kila la heri katika mapenzi
Mapenzi ni kitu kisichotabirika, ndio maana kila mwenye KUPENDA au KUPENDWA hana uhakika na PENZI lake kwa yule AMPENDAE, Muda wote huhisi anasalitiwa. PENZI Ni kama JENGO lililokosa NGUZO muda wowote unahisi litadondoka… Usinielewe vibaya sikukatazi KUPENDA au KUPENDWA, ila tazama wapi UMEPENDA au UMEPENDWA.kilalakher kwa umpendae

🔥♥♥♥
T.gif SMS nzuri kuhusu maana ya mapenzi
mapenzi si pombe lkn yanalewesha, wala si kidonda lakini
yanatonesha,wala si maradhi lakini yanaumiza, wala si
njaa lakini yanakondesha ,mapenzi ni uvumilivu kwa
unaempenda

🔥♥♥♥
T.gif Ujumbe wa kumhasa mpenzi wako akupende kama unavyompenda
yakumbuke haya sana katika maisha yako wahurumie wenye
kukupenda hasa mwenye pendo la dhati kama langu,wapende
wanaokupenda japo kwa chembe ya upendo,thamini pendo la
akupendae kwa kila mara japo sekunde moja.

🔥♥♥♥
T.gif Ujumbe wa kimahaba wa kumtumia mpenzi wako
Ikiwa penzi langu kwako litakufa halitazikwa,ikiwa moyo
wangu ni mwandiko hautafutika na kama dhati yangu ni
machozi daima hayatokauka na wewe kwangu ni damu ngozini
haitochuruzika ila mishipani… .

🔥♥♥♥
T.gif Meseji nzuri ya kumuonyesha mpenzi wako jinsi gani umejitolea kwake
Kama ungekuwa kidonda kwenye moyo wangu, ningekiacha na maumivu yake ndani yangu.

🔥♥♥♥
T.gif SMS ya kumsihi mpenzi wako akupende kabla hajachelewa
ITAKUA" Kama "NDOTO" Pale "MOYO" Wangu Utakapozima Kama "MSHUMAA" Uliopulizwa Kwa Upepo. Utatamani Niamke Angalau Usikie "SAUTI" Yangu Lakini Utakuwa umesha chelewa, ''KILIO' 'HUZUNI' SIMANZI'' na "MAJONZI zitakuwa zimetanda ktk KUTA za MOYO wako MACHOZI Yatakutoka kila utakapo kumbuka ucheshi WANGU kwako na MOYO Utakuwa Mpweke kila utakapoiona namba YANGU Kwenye simu YAKO Utatamani uifute ila ROHO Itakuuma kwa KUWA Umenizoea Hivyo Jaribu Kufurahia Uwepo WANGU Kabla Sijatoweka Dunian Ata Chura Ujua Umuhim Wa Maji Pindi Yanapo Kauka Tuishi Kwa Aman Na Upendo Maish Ya Dunian Ni Mafupi

🔥♥♥♥
T.gif SMS ya kumkumbusha mpenzi wako yeye ni nani kwako
Kumbuka kuwa wewe ni wangu
Kitulizo cha moyo wangu
Kwenye shida na raha
Wewe ni sehemu ya maisha yangu milele

🔥♥♥♥

No comments:
Write comments

Recommended Posts × +