SMS ya kimahaba ya kumtumia mpenzi wako kumwambia unavyomtamani
macho yang hutaman kukuona,mdomo wang hutaman
kukubusu,mikono hutaman kukutomasa,uko mbali nami ila
mwili wangu upo kwa ajili yako dear
🔥♥♥♥
T.gif Ujumbe wa kuasa kuhusu upendo wa kweli
Rafiki wa kweli hudhaminiwa kama familia
Pendo la kweli humaanisha, kupenda kweli
Kumlinda, kumjali, kuvumilia na kusameana
🔥♥♥♥
T.gif SMS ya kumtumia mpenzi wako kumshukuru kwa salamu
Salamu yako ni nusu ya uhai wangu, kuikosa nisawa na kuidhulumu nafsi yangu, kuipata nisawa na ua ridi machoni mwangu, nakila ninapoipata huwa najisikia faraja moyoni mwangu, Nakupenda sana Muhibu wangu.
🔥♥♥♥
T.gif Ujumbe wa kumtumia mpenzi wako kumwambia ajihadhari na maadui wa penzi lenu
Mpenzi unawafahamu maadui wa mapenzi yetu ? Ni wale rafiki zako wanaokuletea maneno ya uongo, ndugu zako wanaotugombanisha na wachawi wanotuotea mabaya, tujihadhari tusiwape ushindi. Mapenzi yetu yadumu daima.
🔥♥♥♥
T.gif Ujumbe kwa mpenzi kumwambia mlitunze pendo lenu
Utakuwa wangu wa maisha daima na penzi le2 litakuwa km
mfuko wa hazina,2talitunza km zaidi ya mboni la jicho.
🔥♥♥♥
T.gif SMS nzuri ya mapenzi ya kimahaba ya kutuma kwa mpenzi wako umpendaye
Fikra hutawala mtima wangu, Kwa madhila yalojaa duniani, Kwa muhali wa yanayojiri, Kwa machweo na mawio, Kwa totoro ama nuruni, Nao moyo hukosa ukamilifu, Kwa utashi wa zake hisia, Zinipazo sababu kuu, Ya upendo juu yako, Ya kukufanya daima uwe, Mawazoni mwangu. Mawazoni ama ndotoni, Daima wewe hutawala, Kila asubuhi niamkapo, Nao usiku nilalapo, U chakula changu akilini, Nalo tulizo langu moyoni, Daima huuwaza upekee, Wewe uliojaaliwa, Na hivyo naihisi furaha, Daima wewe uwapo, Mawazoni mwangu.
🔥♥♥♥
T.gif Meseji ya kimahaba ya kumuuliza mpenzi wako kama anakupenda
Je unakubali au unakataa kwa mujibu wa sheria ya mahakama
ya mapenzi kifungu cha mahaba unahukumiwa kuwa na mimi
milele,unaweza kukata rufaa kama hujatendewa haki.sawa?
🔥♥♥♥
T.gif Ujumbe wa mahaba wa kumtumia umpendaye kumwambia anahisia gani kuhusu mapenzi
mapenzi ni hisia zilizopo moyoni mwetu,hujidhihirishe pale
unapopata umpendaye,utamu wake ni zaidi ya sukari uchungu
wake ni zaidi ya shubiri je kwako yapo je?
🔥♥♥♥
T.gif Ujumbe kwa umpendaye kumwambia unavyotamani kuwa na yeye
Ningependa siku moja utamani sana kuwa na mimi, na
uhangaike sana kunitafuta, ili ujue ni kwa kiasi
ninavyotamani kuwa nawe sasa.
🔥♥♥♥
T.gif Meseji ya kumkaribisha mpenzi wako
Njoo pendo langu nikutembeze
katika milango ya furaha
Nikuwakilishe mbele ya majamaa zangu
Nikuonjeshe asali ya pendo langu
🔥♥♥♥
T.gif Ujumbe wa siku ya kuzaliwa wa kutakia birthday njema kwa mpenzi wako
Leo ni siku ya furaha kwangu na kwa wakwe zangu,
unajua ni kwa nini? Ni siku waliyokuleta kwenye hii dunia,
happy birthday mpenzi!
🔥♥♥♥
T.gif SMS ya mshale wa mapenzi kwa umpendaye
»-——»>
Mshale huu unamtafuta mtu muhimu sana ktk
maisha yangu na kama umekutana nao
usiukwepe uache
uchome Moyo wako gharama
za matibabu juu yangu.
🔥♥♥♥
T.gif SMS ya kumwambia mpenzi wako kuwa haumpendi kwa uzuri wake tuu
Napenda ufahamu kuwa wewe ndiye nikupendae tu
Uzuri wako sio sababu ya mimi kukupenda
Ila nakupenda kwa matendo yako na jinsi ulivyoumbika.
🔥♥♥♥
T.gif Meseji ya kumwambia mpenzi wako asiwaze hata siku moja kuwa unawea kumuacha
Asali wa moyo wangu, fahamu kuwa unaweza kuamini kwamba
mwanga wa nyota unaweza kuunguza nyumba, jua linaweza
kusimama, lakini usiwaze hata siku moja kuwa naweza
kukuacha.
🔥♥♥♥
T.gif Ujumbe wa kumtumia mpenzi wako kumuomba kukutana na wewe
Nakupenda sana P tafadhari usinikasirikie, nimekukumbuka nahitaji kukuona unipoze moyo wangu, njooo mwandani wangu nakusubiri daktari wangu.
🔥♥♥♥
T.gif SMS ya kumsihi mpenzi wako asiende kwa mwingine
Nakupenda sana mwandani wangu ndiyo maana moyo wangu
hupatwa kidonda ninaokuona na mwingine hasa anapokuwa hana
sifa, nahisi kama anakutumia wewe kama mdori wake wa
kumfurahisha. Uwe makini ua la moyo wangu.
🔥♥♥♥
T.gif SMS ya kumwambia mpenzi wako unavyompenda na hautarajii kumsaliti
nimeulizwa nmependa nin kwake huyo ninaye mtumia ujumbe
huu nami nikajb saf roho yake nzur tabia yake ,majvuno
hayapo kwake,
nkaulzwa je unampenda kwa dhati ?nami nikajibu ndiyo nacpo
tayar kumsaliti na lbd aanze yeye
🔥♥♥♥
T.gif SMS ya kumwambia mpenzi wako asijute kukupenda kwani unampenda
Kipepeo kipeperushe kunipenda maamuz yako kamwe usijute
nakupenda mpz moyoni mwako unitulize.
Nakupenda mpz
🔥♥♥♥
T.gif SMS ya shukrani kwa mpenzi kumshukuru kwa kukupenda
moyo wangu saafi kama upole wa tausi wingi wa baridi kama maji ya mtungi ,yote ni kutokana na mapenzi unayonipatia. ASANTE KWA KUNIPENDA MPENZI
🔥♥♥♥
T.gif SMS nzuri ya usiku mwema kwa sweet wako
Usiku wa leo uwe ni wenye faraja kwako, utawaliwe na usingizi wa mahaba kwenye kope zako, naomba ujenge taswira yangu katika mawazo yako, Usisahau kuniota sweet wangu. USIKU MWEMA
🔥♥♥♥
SMS ya kumwambia mpenzi wako kuwa bado unampenda na hujabadilika
"Japokuwa"
"Kuku" "Haogi" "Yai" "Lake" "Litabaki" "Kuwa" "Jeupe" "Tu" "Namaanisha"
"Kuwa"
"Hata" "Kama" "Ukiona"
"Nipo" ""KIMYA"" Muda"
"Mrefu" ""UPENDO"" "Wangu" "Kwako"
"""Bado"""
"Uko" Pale pale!!!!!
Usijali
"Tupo Pamoja" "Kwa" "Asilimia 100%".
🔥♥♥♥
T.gif SMS ya shukrani kwa mpenzi kumshukuru kwa kukupenda
moyo wangu saafi kama upole wa tausi wingi wa baridi kama maji ya mtungi ,yote ni kutokana na mapenzi unayonipatia. ASANTE KWA KUNIPENDA MPENZI
🔥♥♥♥
T.gif Meseji spesho kuhusu mama
Alikosa raha ulipougua! alipigana na kutukanwa ulipoonewa, alikaa na njaa ili ww ushibe na kufurahi. Aliakikisha halali mpaka ww ulale, na kikubwa zaid mimi na wewe tusingejuana wala kupendana bila yeye, Je unamjua huyu? Si mwingine ni MAMA. KUMBUKA PEPO ZETU ZIKO CHINI YA NYAYO ZA MAMA ZETU. (MPENDE SAANA MAMA)
AKIWA HAI MLIWAZE NA KM AMEFARIKI USIACHE KUMUOMBEA DUA.
🔥♥♥♥
T.gif SMS ya kimahaba ya kumwambia mpenzi wako kuwa penzi lako ni la daima na milele, utampenda milele
Penzi langu kwako ni la milele, nitakuhifadhi moyoni
mwangu siku zote za maisha yangu, uwe wangu nami niwe wako
daima, nakupenda dear…
🔥♥♥♥
T.gif Ujumbe mzuri wa SMS wa kumfariji mpenzi wako maisha yake yanapokuwa magumu
Furaha yangu kubwa ni kuliona tabasamu lako, kujua uko na
furaha, na kuhisi upendo wako. Najua kuwa maisha mara
nyingine huwa ni makatili, na hiyo ni sababu niko hapa
kukuonyesha kuwa maisha yanaweza kuwa mazuri kama kuna mtu
anayekujali.
🔥♥♥♥
T.gif SMS ya kumuomba umpendaye akukubalie
pindi nikukumbukapo chozi langu huwa linatoka bila
sababu,kasi Ya mapigo ya moyo Huongezea Pasipo
Sababu,nimegundua Nakuhtaji Naomba Unikubalie.
🔥♥♥♥
T.gif SMS nzuri ya Sikukuu ya kuzaliwa au Birthday
Happy birthday mpenzi, nakuombea kwa mwenyezi
akupe maisha marefu na kukuepusha na maradhi,
pongezi kwa wako wazazi kwa kukuzaa mpenzi,
nakupenda la azizi.
🔥♥♥♥
T.gif Ujumbe wa meseji wa kumsihi mpenzi wako mdumishe mapenzi yenu
Ni vigumu kumpata mwenye mapenzi ya kweli na zaidi yule
atakayekuwa tayari kukupenda zaidi, hivyo nafasi
inapopatika si busara kuichezea tudumishe penzi letu
laazizi wangu.
🔥♥♥♥
T.gif SMS yakumtumia mtu unayempenda lakini hamko kwenye mahusiano
macho huona na moyo hurdhia,ila co kila kitu jicho lionalo moyo hurdhia.lakn pind moyo urdhiapo upendo moyon huingia.moyo huwa kpofu japo wng wa hisia.upendo ndan ya moyo haupimwi kwa mizani kwa unayemzimikia. moyo wangu umepata hisia Kwa flan licha bdo cjamjua.
🔥♥♥♥
T.gif SMS nzuri ya salamu kwa mpenzi wako
Furaha ni kawaida yangu, kununa si busara kwangu, kuishi
nawewe vizuri ni sehemu ya Maisha yangu,
kukusalimia ni hulka ya Moyo wangu, Uhali gani mpenzi
🔥♥♥♥
T.gif Ujumbe mzuri wa mapenzi kwa umpendaye akupende zaidi
Moyo wng mtiifu,2li ume2a kwako,kwang huna upungufu yote nimekupa hekoo,utunze na ulee pia uujali kama mama yako alivyofanya kwako.
🔥♥♥♥
T.gif Ujumbe wa kumtumia rafiki yako anayeolewa
Nakutakia kila la kheri katika maisha yako ya ndoa,wengi
watakuambia maneno kila kukicha,lakini nakuambia wapo
ambao kwa hakika watakaokuwa wamelenga kutia doa ndoa yako
,rafiki yangu kipenzi kwani wengi waitamani ndoa lakini
hawajapata wa kuwaowa
🔥♥♥♥
T.gif Ujumbe mzuri wa salamu kwa mpenzi wako
Pokea sms yangu iliyojaa utamu, nimeipamba kwa maneno laini yenye ladha adimu, utamu wake ni kama apple haufanani na ndimu, nimeituma kwako sms hii ikuletee salamu "UHALI GANI MPENZI?"
🔥♥♥♥
T.gif Ujumbe mzuri kwa mpenzi wako kumuonyesha upendo
yapitayo mdomoni yametokea moyoni ,uyaonayo hadharani
nimeagizwa na manani yakuridhishayo nafsini ni utamu wa
yakini.
🔥♥♥♥
Monday, May 20, 2019
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Write comments