Kwa kweli kila mwanaume amekuwa akipenda kitu flani kutoka kwa mwanamke ampendae hivyo hupelekea kumuitaji kimapenzi. Wapo wanaume wanaopenda wanawake wembamba kama mimi, hapo kwa mwanamke mwembamba hunitoi kamwe nitamganda kama ruba... unajua kwanini nampenda mwanamke mwembamba... BASI pozi kidogo tutarejerea mada hii wakati mwingine leo acha tumjadiri mwanamke mwenye mahipu hopu makubwaaaaaaaaaaaaa...
Wadau wengi wanadai mwanamke mwenye mahipu hopu makubwa wamekuwa na joto murua ambalo linawafanya wahisi wanakohoa mapema kwenye bastora zao maeneo ya chumbani. Hata hivyo haijabainika dhahiri... LABDA sasa mimi na wewe tujaribu kufanya UTAFITI ILI tujibainishie hilo joto... KIUFUPI KILA MWANAMKE NI MTAMU KWA STAIRI YAKE KITANDANI
Saturday, May 25, 2019
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Write comments