Friday, May 24, 2019
Ukifanya Mapenzi na Mkeo au Mpenzi wako halafu hujasikia kuwa ' Amejamba ' hata mara moja jua Wewe siyo Mwanaume wa kweli
11
Mwanaume ambaye anashindilia kweli kweli na anatekeleza vyema Tendo zima la Ngono na anamfikisha Kileleni kabisa Mwenza wake basi ni lazima tu iwe 1isiwe kuna muda ' Atajamba ' tu japo huo ' Ushuzi ' utakuwa hauna madhara kwa Pua yako ( namaanisha haunuki kabisa )
Kinyume na hapo kama Wewe ni Mwanaume halafu kila ukifanya Mapenzi na Mwanamke ' hajambi ' kabisa na wala hata haonyeshi dalili zote za kwamba atakuja ' Kukujambia ' mbele ya safari wakati ' mnafanyana ' hapo Kitandani basi jua kuwa Wewe siyo Rijali na ni Mwanaume ' Goi Goi ' kabisa.
Uume ( Mkuyenge ) ukiingia vizuri mahala pake ' automatically ' tu ni lazima kuna ' Pipes ' zingine kama siyo ' Valves ' katika Maumbile ya Mwanamke zitaanza Kulegea na Kujiachia ili ' Upepo ' upungue kusudi zoezi zima lizidi kuwa na ' Ufanisi ' wake na ukiona hiki Kitendo hakifanyiki au hujawahi Kukishuhudia kwa Wanawake zako wote uliowahi Kulala nao basi kuanzia leo hii acha Kujitapa na Kujiita Mwanaume.
Nawasilisha.
By GENTAMYCINE
Posted by
NeverGoBack
on
3:18 PM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Write comments