Pages

Monday, June 3, 2019

JE Kunyonyana ulimi au kula mate Kunasababisha kuambukiza VVU ? Soma Hapa Kujua

Swali: Je kunyonyana ulimi au kula mate kunaweza kuambukiza VVU ?
Jibu: Njia ya mdomo inaweza kuchangia mtu kupata VVU kama mtu atakutana na mtu mwenye. VVU mwenye vidonda au michubuko mdomoni nawe pia ukawa una michubuko au vidonda mdomoni, ili kuweza kupata VVU kwa njia ya mate inabidi kulamba mate lita 2 jambo ambalo ni gumu.

No comments:
Write comments

Recommended Posts × +