Pages

Saturday, June 1, 2019

MWANAUME:JINSI YA KUMWANDAA MPENZI WAKO KABLA YA KUFANYA NAE MAPENZI.

Leo napenda niwaambie wanaume wenzangu kuwa mwanamke sio ng'ombe kila saa umparamie bila taaarifa.
Napenda niwaambie kuwa mapenzi ni hisia na mapenzi ni maandalizi kabla ya tendo lenyewe la lamapenzi yaaani sexy. Hizi ni baadhi ya namna ya kumwaaandaa mpenzi wako.
=Kumbuka kuwa kumfanya mpenzi wako avutwe na hisia juu yako,kama uko mbali nae jaribu kumtumia sms nzuuri zenye maneno ya mahaba,majaribu kumtania kidogo kumdokezea kuwa leo ungependa kula chakula chake cha asili alichopewa na mwenyezi Mungu.
=Hebu jaribu kutafuta zawadi nzuuri unayoamini kuwa anaipenda mpenzi wako pindi unaporejea nyumbani kwako,uingiapo tu ndani mfanyie utani au kumsifia kwa uzuri wake alionao na kisha mwambie maneno haya huku ukimshika kiuno mwake "daaah wewe mpenzi wangu umeumbika vizuri unanifanya nisiishe hamu kwa kukutamani kimapenzi kila mara" mtizame atakavyokuangalia,mara nyingi sana atakutizama kwa macho ya aibu na haiba ya mahaba hapo hapo umchomekee utani mmoja na mwambie kuwa "chakula cha leo na hisi ni kitamu kuliko siku zote".
=Baada ya yote hayo usikubali kwenda kuoga mwenyewe nenda nae mkaoge wote jaribu kumuogesha kwa kumshika sehemu ambazo unaaamini kuwa zinampa hasama katika mapenzi,jaribu kumtomasa tomasa mwili wake huku ukiusifia,Amini nakwambia kama mtatoka bafuni salama basi nyie mnakitu.
=Usikubali ajifute maji peke yake jifuteni wote maji na kisha jaribuni kujipaka mafuta mazuri yenye kunukia kufanya haraufu nzuuri iwe kishawishi cha mahaba,usikubali kitandani ukae kimya na usikubali kitandani muongelee mambo mengine ongeleeni mambo ya mapenzi na mipango yenu jikumbusheni zamani.
=Umfanyie masage mpenzi wako kwa kuutomasa mwili wake kwa kutumia mafuta mapesi yenye kumpa hisia za mapenzi kumbuka mafuta mepesi hufanya mkono yako iwe laini ,baaada ya hapo kitakachofuata utakimaiza wewe mwenyewe.
Haya ni baadhi tu ya mambo mnayopaswa kuwafanyia wapenzi wenu sio mnawakurupua tu kama ng'ombe hapana,jueni kuwa mapenzi ni maandalizi.

No comments:
Write comments

Recommended Posts × +