Pages

Sunday, June 2, 2019

Simulizi : Shemeji Ingiza Pole Pole sehemu ya 11

Chombezo : Shemeji Ingiza Pole Pole
Sehemu Ya Kumi na Moja (11)
Ilipoishia
Nilikwisha kumwambia hayo na nilirudi chumbani mwangu na kujitupia tena kitandani huku nikiwaza ya kesho yake juuu ya ujio wa dada amina na ndipo nilipokuwa nikiwaza hayo usinguzi ulinipitia mzito nami sikuwa na budi na ilinibidi nilale hapo hapo mpaka kulipokucha na nilipo amka cha kwanza nilizungukia nyumba yote kujua kama dada amina kawasili nyumbani maana akusema mda na wakati wa kufika…..
Songa Nayo Hapa
Siku hiyo nilichelewa mno kuamka basi nilirudi ndani na kuingia jikoni kuandaa chakula huku hofu yangu ipo kwa dada amina atakapo kuja na kukuta hali iliyopo kati yangu na shem Erinest ilinibidi nijipe matumaini ya kutofahamu wala kujua chochote kati yetu mimi pamoja na Erinest basi niliendelea kufanya kazi jikoni huku nikiwa na mawazo hayoo. Nilimaliza kuanda chakula na cha dada amina ilinipasa kukitenga pembeni na pindi tu atakapofika akikute kikiwa na umoto wa hali ya kawaida na chetu nilipeleka mezani na kila mtu alipakua na kula hapo huku tukiendelea kupiga story za mwisho mwisho kati yetu.
Mlango uligongwa huku sote tukishituka na kujua tu ni dada amina kawasili basi nilinyanguka na.kuelekea mlangoni kuufungua na nilipofungua mlango huo nilikutana na dada amina huku akiwa kabadilika kiasi chake na kufikilia alipokuwa mazingira yalimpenda.
Nilimkalibisha ndani nae aliingia na alipofika sebureni alimkuta shem Erinest na ndipo alipo mkimbilia huku nyuso yake ikiwa na furaha kwa kiasi chake kweli nilivyo muona dada amina alimpenda sana Erinest nakuwaza atakapojua itakuwaje nilitupa macho yangu tena mahari walipo na kuona wakikumbatiana kwa pamoja na ndipo shem Erinest alimsogezea kiti na Amina nae aliketi pia pembeni ya Erinest basi mimi nilibaki kushanga na ndipo nilipo kwenda jikoni tena kuchukua chakula nilichokuwa nimemwandalia na kumuhifadhia kwa umakini sana kwani alikuwa hapendelei vitu vilivyo vya baridi kwake sijui ilikuwaje. Nilifanya haraka nikatenga pia mezani ili tuendelee kujumuika nae kwani alitukutia katikati na hatukuwa tumemaliza kula. Nilipofika tu shem Erinest aliomba kijiko ili yeye ndiye atakaye mpakulia chakula hicho na kudai kumuhudumia yeye mwenyewe huku mimi kusikia hayo ilinibidi nikubaliane nae kwani alikuwa akionesha mahaba ya kumkaribisha mkewe Amina. Alimpakulia chakula kiasi akiweka kwa mbwebwe na madoido pindi alipokuwa akimlisha chakula.
Nami kuona hayo ilinipasa niondoke pale ili nikaendeleee na shughuri jikoni kwani siku hiyo ilinibidi nisitishe tu kwenda kazini (saloon ) nilitoka sebureni na kuwaacha wakiendelea.
wakiendelea na ya kwao basi mimi nikiingia jikoni. Nikikuwa nikiendelea na kuosha vyombo jikoni vile vilivyokuwa vichafu tena vilikuwa vimetumika siku iliyopita basi nilishangaa kumuona shem Erinest akiwa ameshika vyombo vilivyokwisha kutumika na akivileta jikoni. Ndipo iliponibidi akifika tu nivipokee na nilipovipokea ilinibidi tena nimuulize “Vipi shem si ungeniita nikaja kutoa vyombo ”
“Acha isabela niliona nitakuchoshe tu mpenzi na ikanibidi nimuage dada yako amina nije kukuona kwa style hiyo wala usishituke”
“Shem Erinest mbona hivyo tena unataka kuniletea matatizo mapema yote hiii lakini sinilikuambia kuwa pindi tu dada amina kuzoeana kuishe japo mara moja moja sio mbaya na siyo kila mda tu sipendi kukosana na dada yangu amina please Erinest nakuomba kwani akija kujua tu kutakuwa na baraha hapa ndani ”
“Sawa nimekuelewa ngoja niwahi huko nilikokuwa nimemuacha dada yako asije kuchomoka na kunifuata huku na yote usemayo nimekuelewa isabela ”
Aliondoka na kurudi alipokuwa dada amina nami aliniacha nikiendelea na shughuri za hapa na pale jikoni. Zilipita dakika kazaa dada amina aliniita ili nimwandalie maji nae apate kuoga nilifanya kama alivyonuambia basi chapuchapu nilifanya na kumuita dada nae akaoge. Aliingia bafuni akimuacha Erinest sebureni akiwa ka keti mwenyewe nami kwa wivu nilionao nilisogea mpaka alipo shem Erinest nae alipo niona tu alininiita.
“Shem isabela vipi dada yako kaisha ingia bafuni kuoga”
“Ndio shem kaingia mda huuu tu mbona ”
“”Ok sawa nakuomba uje mara moja hapa nakitu nataka nikunongonezeeee isabela “”
“Shem shem lakini wanitakia baraha hapa mmmmmmh ”
“Mara moja tu na utarudi na kuendelea na shughuri zako”
Nilimkubalia hapo hapo nikijua tu dada amina hatoweza kutoka mda huo bafuni. Nilipomfikia shem Erinest alinikiss busu zito na kuniambia “Busu hili la kuimalisha penzi letu lisije kushikwa na amina sawa isabela” “Sawa shem nimekuelewa”
Nilitoa tabasamu langu kwa Erinest huku nikisahau tena kuwa dada amina yupo bafuni tena mda wowote anaweza kutoka na kunikuta. Nikigeuka na kuanza kupiga hatua kuelekea
Sikupiga hatua ndefu kutoka nilipokuwa na shem Erinest nilishituka mno nilipomuona dada amina akitoka bafuni na ndipo niliposhusha pumzi kwa speed kali mno na kuwaza mengi papo hapo huku nikijisemea moyoni “Angenikuta mimi nafanya vitu hivi na Erinest mumewe tena sebureni kwake daaaah! mungu kanificha leo”
Tulipishana mimi na dada amina kwenye korido huku akiwa kashikiria nguo mkononi na ndipo alipofika mbele kidogo aliniita na kunipatia nguo hizo na kuniambia.
“Naomba mdogo wangu hizi nguo ukaziweke kwenye nguo chafu siunapajua au!!!!?”
“Sawa dada nitaziweka kwani uliponielekeza napajua vizuri”
Alinipatia nguo hizo nami nilifanya kama alivyo niambia mahari pakuziweka huku nae akielekea chumbani mwake.
itaendelea…

No comments:
Write comments

Recommended Posts × +