App ya Usiku wa Mahaba leo imeamua kukupa Mbinu za Kujikwamua Kutoka Kwenye Umasikini ili uweze kufurahi maisha mazuri wewe na Mpenzi wako Soma Hapa chini
Matajiri wengi wenye utajiri unaoendelea na kudumu vizazi hata vizazi wana sifa hizi zifuatavyo.
1. Wanafanya kazi kwa bidii zote – Sio wavivu.
2. Hujali wakati (Mda) zaidi ya fedha – Sio wazembe
3. Wanadhamiria kufanya kitu 100% (focused) – Hawaruki huku na kule.
4. Wanafikiria kwa undani sana kabla ya kutenda jambo. – Hawaogopi kufanya vitu.
5. Ni watoaji wa fedha- Sio mabahili wa fedha.
6. Hujishusha ili kujifunza mambo mapya – husikiliza watu wengine.
Jiulize Kama Una Tabia Hizo. Ukijifunza Tabia Hizo Lazima Utakuwa Tajiri.
No comments:
Write comments