Pages

Tuesday, June 4, 2019

Ukifanya hivi ,hakika utafurahia tendo lako la ndoa milele

MNAFAHAMU KWAMBA ILI UFURAHIE TENDO LA NDOA ( SEXUAL INTERCOURSE) NI LAZIMA UPITIE HATUA NNE ZIFUATAZO KWA PANDE ZOTE MWANAUME NA MWANAMKE:-

-EXCITEMENT -PLATEAU -ORGASM -RESOLUTION EXCITEMENT
Maandalizi ya kuwekana sawa ili kila mmoja aweze kuwa na hamu ya kufanya mapenzi (foreplay). Kwa mwanamke inachukuwa muda mrefu kuamsha hamu ya kufanya mapenzi take your time on this men bila ya kusahau hatua hii haiwezekani kuharakisha hata kidogo, hatua hii kwa mwanaume uume usimama na korodani zinakuwa na hali ya pekee ya kuzunguka kwa ndani na kwenye njia ya uume kunatoka majimaji ya utelezi yasiyo na rangi na kwa mwaamke chuchu usimama yaani zinakuwa ngumu uke unatoa majimaji ya utelezi yanayosaidia kuingiliwa bila maumivu, vilevile misuli ya uke inajaa na kufanya lips za uke kuwa mnene na kiarage kinasimama na kuwa kigumu. Baada ya hapo mwanamke anakuwa tayari kufanya mapenzi.

PLATEAU -Hii ni hatua ya pili, ni kuingiliana na hapo ndio sehemu ya mtu kuonyesha ufundi wako. Bila ushirikiano hapa hauwezi kufurahia tendo hili wote mnajuwa hilo.

ORGASM - Hatua ya tatu ya kufika kileleni ni hiki ndio kipimo cha kazi ya mwanaume, kama mwanamke hatafikia hatua hii kazi yote uliyofanya ni bure kabisa. Kama mwanaume atakuwa na nguvu ya kudumu kwa muda mrefu na kutumia ufundi vizuri basi mwanamke anaweza kufikia kilele kingine na zaidi (multiple orgasm). Vilevile ufundi ukizidi mwanamke anaweza ku-ejaculate (female ejaculation) bao la kumwaga maji maji kiasi fulani. Mwanaume anapofika hatua hii anapendelea zaidi kuzamisha ndani zaidi uume wake kwa mwanamke na kutulia (kusikilizia) wakati wanamke anapenda kuendelea na motion kama kukatika na kukaza misuli na anaweza hata kukuparua na makucha.

RESOLUTION - Hatua ya mwisho ya mapumziko na viungo kurudi katika hali yake ya kawaida. Kwa mwanaume inachukuwa muda mfupi na muda mrefu tena ukitaka aendelee na mchezo. kwa mwanamke inachukua muda mrefu kurudi normal na kama ukitaka kuendelea bado anaweza sababu hamu bado ipo.

No comments:
Write comments

Recommended Posts × +