Pages

Monday, June 3, 2019

Utajuaje Kuwa Wewe Mdada ni Malaya/Changudoa?? Soma Hapa Kwa Wadada

Wewe kama hujaolewa halafu unapanua miguu kwa jamaa ambae sio mume wako, yani boyfriend au mchumba kwa minajili ya kujipatia hela, ujue wewe ni changudoa. Huna tofauti na wale wanaosimama usiku kujiuza.
Japokuwa wewe husimami usiku lakini jijue kuwa na wewe ni changudoa kwasababu wote mnapewa pesa baada ya tendo.
Hata kama hupewi mara tu baada ya tendo kama wanavyofanya changudoa wanaosimama barabarani, lakini unapewa pesa za matumizi na mtu ambaye si mume wako kisha ukampanulia miguu, jua wewe ni changudoa au tunaweza kukuita changudoa mwenye kiwango.
Kwa wale dada zangu ambao bado hawajaingia katika hii biashara nawashauri kufunga miguu yenu msije kujiingiza katika hii bihashara. Kwasababu mbali na kumchukiza Mungu unakuwa unajishusha thamani wewe mwenyewe. Halafu uzuri wake ukifanya hivi huwezi ukaja kukosa wa kukuoa dada.

No comments:
Write comments

Recommended Posts × +