Pages

Tuesday, April 30, 2019

CHEKA ONGEZA SIKU ZA KUISHI HAPA

 Nilichokifanya kwa rafiki yangu

Nimekuja kwa Rafiki angu kumtembelea kaacha maji jikon yeye kaenda kununua unga. Huku mm nikaongeza maji pale jikon. Kumbe yy aliweka maji saiz ya unga wake peke yke… Sasa hiv TUNAKUNYWA UJI hata hatuongeleshani. Kimbelembele changu kimeniponza.. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Mambo makuu matatu waafrika tusiyoyajua

NIMEKAA NIKAWAZA πŸ™‡πŸΌ KUWA KUNA MAMBO KAMA MATATU HIVIπŸ‘ŒπŸ» WAAFRIKA HATUYAJUI πŸ™‰
KAMA TUNGEKUWA TUNAYAJUA HATA HAWA WAMAREKANI,πŸ‡ΊπŸ‡ΈWACHINAπŸ‡―πŸ‡΅ NA HATA WATU WA ULAYA TUNGEKUWAπŸ‡½πŸ‡ͺ TUNAWAPITA KIMAENDELEO
MAMBO YENYEWE,,
HATA MIMI SIYAJUI MAANA NA MIMI NI MWAFRIKA πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Hapa itakuaje?

NAJISIKIA NIMEBOEKA…SIJUI NIENDE KAMBI YOYOTE YA JESHI NITEREMSHE BENDERA ALAFU NITOKE MBIO…..

πŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸƒπŸΎπŸƒπŸΎπŸƒπŸΎπŸƒπŸΎπŸƒπŸΎπŸƒπŸΎ

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚
------------------------------------------------------------------------------------------------------

Cheki jamaa alivyofumwa akimuomba mavi shemeji yake

Jamaa anarud toka kazini ile kufika kwake kabla hajagonga mlango akamsikia mkewe akilalamika "shemeji mi nimechoka bwana yaani umenipiga bao la tatu mi cjapata hata moja 2ache kwanza 2taendelea baadae"

mara akasikia saut ya kiume ikisema "Vumilia 2malizie hili game la mwisho" Mara akasikia sauti ya kiume ikisema "SHEMEJI NAOMBA MAVI"Mshikaj akashindwa kuvumilia akaingia kwa nguvu na mlango puu! ndani akaona mkewe na mdogo wake wamekaa na wanacheza karata'

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚
------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Darasa lolote lile halikosi watu kama hawa

Darasa lolote lile (hasa vyuoni) lazima liwe na wanafunzi wafuatao:
1. Mrembo wa darasa.
2. Playboy/playgirl. Hawezi kutembea na msichana/mvulana mmoja mara mbili.
3. Group ya marafiki watatu. Kila mara wako pamoja.
4. Mtu mwenye maswali ya kuudhi/kukera.
5. Msongolist kimeo. Huyu huwa anasoma sana bt hana bahati ya kufanya vizuri. Yani msuli tembo, bt matokeo sisimizi.

6. Mlafi. Huyu huwa hakatai offer.
7. Mtoro wa kudumu. Haji darasani hata km hana sababu.
8. Mchelewaji wa kudumu. Anakuja kipindi kiko katikati au kinakaribia kuisha.
9. Miss/Mr.Misifa. kila mara ataeleza the way nyumbani kwao walivyo matajiri.
10. Less talkative bt kiwembe. Jamaa mkimya bt unakuta ametembea na karibu wasichana 15 hapo class.
11. Handsome boy ambaye hana mpango na wanawake.
12.Chips addicted. Hawa wanaweza kula chips asubuhi mchana na jioni. Jumatatu hadi jumatatu.
13. Back benchers. Hawa huwa watundu sana na ni watu wa jokes. Huwa hawajibu swali, but wanasubiri wakati wa kushangilia waongeze bezi.
14. Wambea. Hawapitwi na kitu darasani na washazoea kufeli.
15. Mchungaji/Mtumishi wa Mungu,
16. Waimbaji/Wasanii,
17.Walevi
18.Mabishoo.
19. Team popo. Hawa wewe na hela wasiwe na hela wanakesha club,
20.Mwenye aibu kusimama mbele za watu. Wakati wa Presentation anakimbilia kusimama nyuma ya wenzie,
21. Viherehere. Hawa mara nyingi hutokea kupendwa sana na waalimu.
22. Wanaosoma ili kushindana kwny GPA.
23. Kupe. Huyu boom likitoka atawaganda wenzie hadi ziishe, halafu yeye anaanza kula zake alone.
24. Wise man/woman. Huyu huwa ni mtu anayeaminika na kila mtu darasani. Hutumika sn kushauri pale mambo yanapoenda mrama. Mara nyingi huwa ni mtu mzima.
25.mpenda supu" yeye hata ya nyani atakunywa tu.
26.Fix man. Huyu atakuomba jero, akafuatilie dili la milioni kumi town, kumbe hana hela ya chai.
27. Photocopy machine. Huyu ukimuonesha majibu kwny mtihani anaweza kucopy hadi jina lako.
πŸ’₯Usposema wewe uko namba ngapi mwngine atakusemaπŸ˜œπŸ˜œπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚
-------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Cheki nilichomfanyia boss wangu

Bosi wangu karudi safari yake kutoka serengeti..! Si akanitumia picha, lakini ilikuwa network yenyewe tabu.. kwahio picha haikufunguka na kwa vile niliona itachelewa kufunguka na ataona sikumjibu basi nami..

Nikampelekea msg nikamuandikia umependeza saana bosi mashaallah…!!
sasa baada tu ya kumfika msg.. na huku picha ikafunguka kumbe picha ya Sokwe..!!
Basi Kaniambia kesho niende ofsini kwake kuna barua yangu..
Nahisi hyo barua ina pesa, hapa cjalala, nmekosa usingizi kabisa,nawaza ninunulie nn hyo pesa.Na kesho asubuhi sa 12 asubuhi atanikuta ofisini kwake naisubiri barua, sipendagi ujinga mimi.

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------

No comments:
Write comments

Recommended Posts × +