Pages

Thursday, April 4, 2019

Sababu ya kuita malaya vicheche ni hii, Haya ndiyo Maajabu ya myama kicheche

Je wajua! Kicheche ndiye mnyama mdogo sana lakini ana maajabu makubwa. Ana uwezo wa kumdaka kuku wa aina yoyote kwa kutumia mkia wake lakini cha ajabu zaid hawez kuish bila kufanya mapenzi, ana uwezo wa kufanya mapenzi mara 26 kwa siku pia ni sawa na kukimbia umbali wa Km 360 kwa siku. Na ndio maana mwanamke malaya sana huitwa kicheche najua wajua ila nakujuza zaidi.

😂😂 😂 😂😂

No comments:
Write comments

Recommended Posts × +