Pages

Wednesday, April 24, 2019

USIPO CHEKA NENDA KAPIME UTAKUWA MGONJWA HAHAHAHA


 Ndege ya KENYA

Kuna maprofesa 40 walipanda AIR KENYA ili wasafari. Kabla ndege haijaanza kuondoka, Lilipita tangazo kama ifuatavyo:
Ndugu wasafiri wote, ndege unayotarajia kusafiri nayo imetengenezwa na wanafunzi wa KIKENYA.
Baada ya tangazo maprofesa wote waliteremka isipokuwa mmoja alibaki kwenye kiti chake
Walipomuuliza ni kwanini hakuondoka akajibu kwa haraka na furaha kuwa:
Kama ndege hii imetengenezwa na WAKENYA, hata kuwaka haitawaka!

πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Cheki hawa washikaji wanachokifanya baada ya kuvuta bangi, Bangi si mchezo

Kuna washikaji walikuwa wakivuta bangi… kiberiti kikawaishia… wakamtuma mwenzao akatafute kingine… bangi lilikuwa limemkolea… akazungukazunguka hatimaye akarudi palepale kijiweni…

MSHIKAJI: oyaaa wanangu eeeh… niazimeni kiberiti mwanangu mwenyewe …..

WENZAKE: baharia ee subiria kimtindo kuna mwana tumemtuma akatafute kiberiti.

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚
----------------------------------------------------------------------------------------------------------------
 Walevi wana Mambo! Angalia wanachokisema

WALEVI WAWILI KATIKA MAZUNGUMZO YAO

MLEVI 1 hivi rafiki yangu china ni mbali kweli

MLEVI 2 sidhani mbona pale kazin kuna mchina anakuja na baiskeli

πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------

  Sifa mbaya: Cheki kilichompata huyu mwanaume mpenda sifa


SIFA MBAYA…
Jamaa alikuwa ndani ya daladala Mara simu ikaita alikuwa ni mkewe kwa sifa jamaa akaweka loud speaker ili watu wasikie wanavyopendana.
JAMAA;wife Mara hii umenimiss jaman
WIFE; kwa nini umekunywa uji wa mtoto?!!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚
-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Maajabu ya wananchi wa Tanzania, Je, wajua hili?

JE WAJUA TANZANIA NI NCHI PEKEE AMBAYO WATU WANAPOANZA KUCHAT huanza kwa kiingereza 'morning' na hupiga stor zote kwa kiswahil mwishon humalizia tena kwa kiingereza ' g9t

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚
---------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Huyu kashauzwa!! Angalia kilichomkuta sasa

Jamaa alionekana Mnyooooonge sana ikabidi mpita njia amuulize…

Kaka, mbona u mnyonge hivyo?"

Jamaa : 'aaaaah we niache tu, kuna rafiki yangu nimemkopesha laki tano akafanye PLASTIC SURGERY ya uso, Mwanaharamu sasa nashindwa kumtambua!!!

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

---------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Haya mapenzi jamani! Umewah kumpenda kwa kihivi??

Sijui Kama ushawai fall in love ile haswaa..
yani unampenda mtoto hadi akikupigia ile sauti ilivo tamu unajiskia kutafuna na kuimeza hiyo simu
Akikuita tu "my love"unajiskia tu kuvua nguo mwenywe
..
hicho kiupendo ukiwa nae unajskia unaweza piga wanaume 8 kwa pamoja

Yani ile love mtashinda pamoja kutwa nzima afu usiku unakopa salio umpigie muongee
Yani yale mapenz kiasi ukiona love story za romeo na Juliet unaona hakuna wanachofanya coz mapenz yao hayafikii yenu..
ile true love akikuangalia machoni akuguse mashavu afu akwambie,"I love u"
Unajishikilia kwenye ukuta usizimie..

yani ukimfikiria unaweza kulala chini ya kitanda Ku dilute hiyo feeling coz ni too much..
Umewahi kufeel hivyo??
Kama ushawai experience hivyo?? Basi HIYO SIYO "LOVE" NI "BANGI" PLZ ACHA KUTUMIA!
#ishakua_biashara_kichaa

πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


No comments:
Write comments

Recommended Posts × +