Pages

Wednesday, April 24, 2019

CHEKA KWA TAHADHARI WAPENDWA MAANA UNAWEZA JIKUTA UNAVUNJA MBAVU ZAKO


 Haya ndiyo madhara ya kulala kanisani


HAYA NDIO MADHARA YA KULALA KANISANI
Tukiwa kanisani mdada alikuwa amelala , akaamka akasikia Pastor anasema
" SIMAMA"
Yule dada akasimama akashangaaa kanisa zima linamtizima kwa mshangao akiwemo mumewe, akaangalia kanisa zima akashtuka kujiona yeye peke yake ndiye aliesimama
Pastor akaendelea vizur endelea kusimama, tumepata mmoja hadi sasa aliyesimama narudia kwa mara ya mwisho kama hujasikia vizuri
" kama wew umewahi kumsaliti au bado unasaliti ndoa yako SIMAMA"
Binti akazimia

😂😂 😂 😂😂
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Kilichonitokea leo baada ya kuona nungunungu

Baada ya kukaa mda mlefu sijamuona  Mzunguko wa elimu kiafrikaafrika leo nikakuna nae nikajisikia furaha sana,
nikaona bora niende nikamkumbatie !! kutokana na kukaa cku nyingi sijamuona!
Dah! Alichonifanyia nung nung sitokisahau !!!

😂😂 😂 😂😂

--------------------------------------------------------------------------------------------------------------
 Angalia huyu house girl wa mzungu alichokifanya na anachokisema

House girl mmoja alipewa kazi na mzungu mara akavunja sahani.
Mzungu aliporejea,kazin akamuuliza 'what happened to my plate?
House girl akajbu: 'The dog wow wow friji paaa, mchuzi mwaaaa the vyombo pangalapangala the sahan ngelengenjee……the pasuka paaaaaaaa
😂😂😂😂hadi saiz mzungu bado anasoma dictionary hajui lugha gani imetumika

😂😂 😂 😂😂

--------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Haya ndiyo madhara ya kutowapeleka watoto kanisani

MTOTO aliibiwa yeboyebo KANISANI akawa analia sana kwa uchungu mpaka MCHUNGAJI akamwambia usilie mwachie MUNGU. MTOTO akajibu Mungu hazimtoshi zile yebo ni ndogo! Usicheke,
Huu ni Mtihani Tuwapeleke Watoto KANISANI Wamjue MUNGU.
😂😂 😂 😂😂

-----------------------------------------------------------------------------------------------------------------

 Mzunguko wa elimu kiafrikaafrika


01.👉 Wale wanafunzi walioongoza Mashuleni, wanaenda kwenye Engineering na Medical school.
02.👉 Wale waliokuwa wa pili, wanachukua MBA na LLB na kuja kuwa Mameneja wa wanafunzi walioshika nafasi ya kwanza.
03.👉 Wale waliokuwa wa tatu, wanageukia Siasa na kuwaongoza wote hapo juu. Yaani wa kwanza na wa pili.
04.👉 Wale waliofeli, wanaenda Jeshi, hawa wakigoma, basi hao wa juu wote hawana raha.
05.👉 Wale waliopata Zero na waliokataa shule wanakuwa waganga wa kienyeji, wote hapo juu watamtafuta huyu, pale mambo yao yanapokwenda kombo. Tuache kudharauliana, kila mtu ni boss akiwa kwenye nafasi yake. 😂😂😂😂😉😆😆😆🏃🏃😜😜😜😜😜

😂😂 😂 😂😂

-----------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Kwa wivu huu

Wanawake nilianza kuwachukia tokea shule ya msingi. Ni pale mwanamke wangu aliponiacha na kwenda kwa jamaa mwenye kichongeo kipya …inauma sanaa… WANAWAKE SIO WATU WA MCHEZO MCHEZO ASEEE Bac tuu

😂😂 😂 😂😂
----------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Kama mpezi wako akikuita MAMITO Unatakiwa umjibu hivi

Akina dada mpenzi wako akikuita MAMITO usikubali

na yeye mwite MAFORONYA kama mbwai na iwe mbwai🤪🤪🤪🤪🤪🤪

😂😂 😂 😂😂

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Angalia mchezo wa kutuma message mara zikubali mara zikatae.. Lilishakukuta hili???

ANGALIA HUU MCHEZO WA KUTUMA MESSAGE MARA ZIKATAE KWENDA MARA ZIKUBALI??????NETWORK MBOVU KAMA HII HAIJAWAHI KUKUTA?????
GARLFREND»»hellow sweetheart
BOYFREND»»hellow darling(SENDING FAILED)
GARLFREND»»kwanin hutaki kujibu sms yangu,au huna mda»??
BOYFREND»>najitahid kukujibu lakin mtandao unasumbua,imefika??(SENDING FAILED)
GARLFREND»»kama hunipend bhas usinijbu,kama unanipenda kwel bhas nijibu
BOYFREND»»i love you (SENDING FAILED)
GALFREND»»do you lov me????

BOYFREND»»i lov you baby(SENDING FAILED)
GARLFREND»»usiongee na mimi tenaaaaa
BOYFREND»»i love you sweetieeee(SENDING FAILED)
GARLFREND»»unataka mim na wew tuachaneee????
BOYFREND»»nshachoka mie na huu upUmbavu,shenz (MESSAGE SENT)
👆👆👆👆👆😄😄😄😄😄😄😄😄👆👆👆👆😄😄😄😄👆👆😄😄👆👆
😂😂 😂 😂😂
----------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
 Hii bahati mbaya hii haifai kusema Samahani

(KIFO NI NIN)
KIFO ni pale unapokosea text na kumtumia
BABA yako kipindi mnakula
"hello Mrembo"😁😁

Kama utazubutu kusema Samahani 😁
😂😂 😂 😂😂

-------------------------------------------------------------------------
WACHEPUKAJI WENGI WANATABIA HIZI

1.Hachezi mbali na simu yake kila wakati.
2.Inbox na sending items hufutwa kila wakati.
3.Ukimuomba simu yake ghafla lazima akwambie hebu kwanza…….
4. Kamwe haiiti always vaibration.
5. Namba nyingi ha save.
6. Kuna simu hapokei hata iweje….anapenda sms zaidi
7.Majina mengi kwenye simu yameseviwa kwa majina ya kufikirika.
8.Muda mwingi ni mtu wakujihami.
9.Anapenda password na anabadili mara kwa mara.
10.Akiazima simu yako, akitumia tu anafuta deal no haraka.
11.Always yuko na simu…..hadi bafuni ikibidi.
12. Anajazba ukimuuliza chochote kuhusu simu….anajishtukia.
13. Akiwa anachati anakuangalia mara kwa mara kiwiziwizi
14. Hana jeuri ya kukuweka profile picture na akikuweka humalizi masaa anakudampu huko Hapa kuna ukweli asilimia millioni moja kabisa Share na washikaji zako😜😜i

😂😂 😂 😂😂
--------------------------------------------------------------------------
Maswali ya kijinga yakijibiwa vizuri

*MASWAL1 YAKIJINGA YAKIJIBIWA  Raha ya kuoa mke ambaye hajasoma*😁😁👇👇👇👇👇👇👇👇

Q: Umenyoa nywele?

A: *Hapana, nimebadilisha kichwa.*

Q: Hiyo simu umenunua?

A: *Hapana nimeitengeneza mwenyewe.*

Q: Utakula mboga na nini?

A: *Mdomo*

(Simu inaita usiku,then aliyepiga anauliza) Q: Nimekuamsha?

A: *Hapana nilikuwa naota jua hapa nje.*

Q: Gazeti la leo linasemaje?

A: *Sijaongea nalo.*

Q: Gari limejaa, nitakaa wapi?

A: *Usijali dereva anashuka kituo kinachofata utapata kiti.*

Q: Hiyo ni ajali?

A: *Hapana ni driver ameamua kupark gari upside down* .

Q: Umepause movie?

A: *Hapana wamechoka kuact wanarest.*
😂😂😂😂😂😂

🏃‍♂🏃‍♂🏃‍♂🏃‍♂🏃‍♂🏃‍♂
😂😂 😂 😂😂
----------------------------------------------------------------------------

  Raha ya kuoa mke ambaye hajasoma

KUOA MKE AMBAE HAJASOMA RAHA SANA LEO NIMEMUAMBIA MWEZI HUU HATUTOLIPWA MSHAHARA KWAKUA HAUNA TR 30 KAENDA KUNGALIA KARENDA KARUDI ANANIAMBIA HAMNA SHIDA MME WANGU TUTAVUMILIA TU🤣🤣🤣
🏃‍♂🏃‍♂🏃‍♂🏃‍♂🏃‍♂🏃‍♂
😂😂 😂 😂😂
---------------------------------------------------------------------------
 Huyu jamaa bonge la bwege, ungekua wewe ndiyo rafiki ake ungemwambiaje?

RAFIKI: Vipi mbona leo huna uchangamfu
JAMAA: Wanawake bwana, mwanamke hata umpendeje atakugeuka tu
RAFIKI: Nini tena ndugu yangu? Mbona shemeji mtu fresh sana
JAMAA: Hata mimi nilikuwa najua hivyo, leo nimegundua kumbe ana siri kubwa sana
ananificha, mi naita huu ni usaliti wa ndoa.
RAFIKI: Nini tena?

JAMAA:Nimegundua mke wangu kumbe anafanya biashara ya kitimoto na hajawahi hata kuniambia
RAFIKI: Kitimoto? We umejuaje?
JAMAA: Leo asubuhi nilichelewa kuamka niliamua nijipumzishe kidogo kabla ya kwenda kazini, simu ya mke wangu ikalia, nikaamua kuipokea, kabla hata sijafungua mdomo, nikasikia sauti ya mwanaume mmoja akauliza, “Huyo nguruwe umeshamuondoa?’ Hebu we fikiria nilivyoshtuka, yaani mpaka sasa nashindwa kuamini kuwa mke wangu ananizunguka anafanya biashara ya nguruwe hajaniambia hata siku moja

😂😂 😂 😂😂
---------------------------------------------------------------------------


No comments:
Write comments

Recommended Posts × +