Pages

Sunday, April 7, 2019

VICHEKESHO VIPYA BORA SASA

Angalia jamaa alivyouweza huu mchepuko wake


Kuna mchepuko nilimtumia nauli jana ili aje,.kwang sasa leo kaniambia eti " nimesahau ile line yenye M-pesa home plz nitumie tena kwa tigo mpenz""!! Me nikajifanya chizi nikatuma Kule kule kwenye voda (aliosema kaacha home) Nikatuma huko message ivi "nikuongezee Sh. Ngapi tena mpenz..!!" Akanjbu "elfu 20,000 tu mpenzi" Mtuhurumie jamani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚

 Haya nayo ni maajabu mengine kwa wazazi wa mabinti


BABA MWEUSI

MAMA MWEUSI

na ww walikuzaa mweusi lakini umefikisha miaka 20 umeanza kua mweupe

…..HAPO NDO WAZAZI WANAJIULIZA hv mbegu ilkua ya kinyonga auπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚

Analia kilichompata huyu jamaa baada ya kubadili jinsia yake kichawi


Jamaa alimpa ujauzito mwanafunzi akashtakiwa kumbe yule jamaa ana bibi yake mtaalam wamambo yetu ya Jadi…
Jamaa akaongea na bibi yake amuwekee jinsia ya kike ili akashinde Mahakamani na akitoka arudishiwe mambo yake kama kawaida.
Bibi akampachika jamaa jinsia ya kike alipofika mahakamani kuhojiwa akasema mi sijampa ujauzito kwasababu minina jinsia ya kike pia…!
Kwa kuthibitisha akajifunua nguo, basi jamaa akashinda kesi.
Jamaa akawa anarudi Home, lakini wakati anakaribia kufika akaona watu wengi wamejaa home wanalia akauliza kulikoni akaambiwa "Bibi amefariki"!
Vuta picha hapo…!!!
πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚

 Alichojibu dalali baada ya kufumwa na mke wa mtu ndani ya nyumba ya kupanga


Dalali aliwatafutia jamaa chumba Buguruni karibu na reli, nyumba nzuri sana. Jamaa na mkewe wakahamia kwa furaha, lakini furaha yao iliisha walipokuja gudundua nyumba ile iko karibu mno na reli treni ikipita mpaka kitanda kinacheza.
Siku hiyo dalali akapita mke akamwita na kumwambia tatizo wakati treni inapita, wakaanza kubishana, yule mama akamwambia dalali kwa kuwa kuna treni itapita sasa hivi… njoo ndani uone mwenyewe.
Bahati mbaya wakiwa wamejilaza kitandani ili dalali aone adhabu wanayopata, Mzee mwenye mali alirudi ghafla, akauliza,
'Nyie mnafanya nini hapa?'
Masikini dalali kwa woga mkubwa akajibu' Tunangoja treni'
πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚

Hapa itakuaje?


NAJISIKIA NIMEBOEKA…SIJUI NIENDE KAMBI YOYOTE YA JESHI NITEREMSHE BENDERA ALAFU NITOKE MBIO…..
πŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸƒπŸΎπŸƒπŸΎπŸƒπŸΎπŸƒπŸΎπŸƒπŸΎπŸƒπŸΎ
πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚

Mambo makuu matatu waafrika tusiyoyajua


NIMEKAA NIKAWAZA πŸ™‡πŸΌ KUWA KUNA MAMBO KAMA MATATU HIVIπŸ‘ŒπŸ» WAAFRIKA HATUYAJUI πŸ™‰

KAMA TUNGEKUWA TUNAYAJUA HATA HAWA WAMAREKANI,πŸ‡ΊπŸ‡ΈWACHINAπŸ‡―πŸ‡΅ NA HATA WATU WA ULAYA TUNGEKUWAπŸ‡½πŸ‡ͺ TUNAWAPITA KIMAENDELEO

MAMBO YENYEWE,,

HATA MIMI SIYAJUI MAANA NA MIMI NI MWAFRIKA πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚

No comments:
Write comments

Recommended Posts × +