Pages

Thursday, May 16, 2019

DALILI YA MWANAUME ALIYE MTAMU KITANDANI

DALILI ZA MWANAUME ALIYE MTAMU KITANDANI

Dalili ni kitu muhimu sana  kinachoweza kukusaidia kufanya uamuzi sahihi au uchaguzi sahihi na kuepuka matatizo au majuto ya mbeleni.Waimbaji wa bendi ya WEST LIFE wana wimbo mmoja usemao, I AM A FOOL AGAIN”, katika wimbo huo mwimbaji anajilaumu na kujiita mpumbavu baada ya kuona kuwa alipuuzia dalili za kutofaa za mpenzi wake aliemtenda mambo mabaya.NATAKA yasikukute mambo mabaya na ufurahie mahaba kama ninavyofurahia mimi na mpenzi wangu WITNESS.Ngoja nikuonyeshe umuhimu wa dalili;ukiwa umeishi na watu wa kabila la WACHAGA au WAHAYA  ni rahisi sana kujua lafudhi yao na kuizoea kiasi kwamba ukikutana na mtu ambae hujui kabila yake lakini akaongea Kiswahili kwa lafudhi ya KICHAGA AU KIHAYA utajua kwa hakika kuwa huyo dada au kaka ni wakabila Fulani kati ya hayo.Kadhalika katika kugundua mwanaume alie mtamu lazima uweze kujua daili zake.Dalili hizi zimegunduliwa baada ya wanawake ambao wameshawahi kufanya mapenzi na wanaume zaidi ya 10 kuweza kuona mambo yanayofanan katika wanaume ambao walikuwa watamu sana kitandani.
      Ndugu yangu napenda nikwambie kuwa ukipata mwanaume ambaye hawezi kukuridhisha katika tendo la ndoa ni kosa lako mwenyewe. Huhitaji uchawi kuweza kutambua mwanaume mwenye uwezo wa kukupa raha inayoamriwa katika Biblia kitabu cha KUMBUKUMBU LA TORATI SURA YA 24 mstari wa 5. Ni haki uliyepewa na Mwenyezi Mungu na  unapaswa kufaidika nayo kikamilifu. Tatizo ni kwamba wanawake wengi hawajui maumivu ya kuwa na mwanaume aliye kama mlemavu wakati wa tendo la ndoa. Zifuatazo ni dalili za uhakika kabisa za mwanaume aliye mtamu kitandani.

(1)       ANAJUA KUTUMIA MACHO YAKE
Mwanaume ambaye anapata shida kukuangalia machoni kwa muda mrefu ni ishara kuwa hawezi kusimamisha uume kwa muda mrefu na vile vile atakuwa anamaliza haja yake ndani ya dakika 5 na kukuacha wewe unataka aendelea zaidi hadi angalau zifike dakika 15.
Unapoachwa katika hali ya kutotosheka unakuwa na maumivu moyoni na uchungu wake hauondoki haraka. Moja kati ya njia nzuri ya kuepuka magonjwa ya moyo na kisukari ni kuwa na mwanaume mtamu kitandani. Kuwa makini wakati wa maongezi ya kawaida kuangalia iwapo atakuwa anajitahidi kukuangalia usoni kwa muda mrefu na asiwe mwepesi wa kukwepesha macho yake yakutanapo na macho yako. Wapo wanawake wengi ambao wameanzisha mahusiano na wanaume lakini baada ya muda fulani wakaona kuwa wanaume hao hawawezi kuwafikisha kileleni mara kwa mara na hivyo kuanza kufanya vituko na kuachana nao na kutafuta wengine .Usiwe mmoja kati ya hao.

(2)       TABASAMU LA UKWELI
Watu wengi hawatambui siri za maisha yaliofurika furaha na hivyo huchukulia mambo mengi juu juu tu. Iwapo mwanaume unayedhania kuwa atakuletea furaha maishani mwako hana tabasamu la ukweli tambua kuwa umekutana na msanii wa kimapenzi. Penzi huja haraka na pia kutoweka haraka kwa mwanaume ambaye tabasamu lake linangojea mwisho wa mwezi.. Iwapo mwanaume huyo anatabasamu kwa kutumia midomo yake (lips) zaidi ya kutumia macho yake ni mwanaume feki mwenye uwezo mkubwa wa kukutumia bila kujali haja na hisia zako. Ukweli huu unatokana na kwamba wanyama hasa wanyama wakali  ambao hutumia midomo yao kufanya ukatili wa kuwararua na kuwaua wanyama wengine. Unataka kuraruriwa? Kuwa na mwanaume mwenye tabasamu la bandia. Mwanaume huyo utafanya nae tendo la ndoa mara nyingi lakini hatajali kabisa kama umefika kileleni au umo ndani ya handaki. Anakutumia na kukuacha hivyo hivyo kama machangudoa na makahaba wanavyofanyiwa.Mwanaume mwenye tabasamu la kweli na  la mara kwa mara anakupa ishara kuwa atathamini raha yako kwa kuwa anathamini umuhimu wa kuwa na raha.Kwa mwanaume wa aina hii raha yako ndio raha yake.FUNGUA MACHO UJIONEE  siri za utamu.


(3)       MWENYE UVUMILIVU
MWANAUME WA UKWELI HANA HARAKA   na waswahyili wamesema “Haraka haraka haina mbaraka” Lazima atakuwa mtu mwenye uwezo wa kuendelea kukubembeleza, kukupapasa, kukulambalamba, na kuwa na uwezo mkubwa katika nguvu za kiume na kujichelewesha asimalize kabla yako. Utaona dalili za uvumilivu wake katika mabusu ya polepole na hata anapotafuna chakula huenda polepole na kwa muda mrefu kabla ya kumeza.Utaona hakasiriki kwa haraka pale unapochelewa kufanya jambo Fulani na ni mwepesi kukuambia ,”usijali mpenzi” pale unapokosea na kuanza kuomba radhi.

(4)       ANAJALI HISIA ZAKO
Mwanaume ambae ana uwezo wa kukupa utamu utakaokufanya uimbe “ooh baby, kuchi kuchi aaah” atakuwa mwanaume ambaye anajali hisisa zako kikamilifu. Njia nzuri ya kujua hilo ni pale unaona anakusikiliza kwa makini pale unapozungumzia mambo yako bila kujali  ni ya kazini kwako au shoga wako wa kike amekukwaza. Mwanaume ambaye anaweza kusikiliza maneno yako bila kukukatisha au kukufanya mjinga ni mwanaume mtoa raha na sio mtumiaji tu. Mshikilie na utapata utamu zaidi na kuishi kwa muda mrefu bila maradhi kukusumbua.

(5)       ANAJUA KUKUSHIKA
Mwanaume ambae anauthamini mwili wako wote na sio uchi wako ni mwanaume wa ukweli. Anajitahidi kupata nafasi ya kugusa mwili wako. Mkitembea barabarani atakushika mkono na mara moja moja atakupiga mgongoni au kukufinya ubavuni kimahaba. Angalia mfano huu toka maisha yangu mwenyewe itakusaidia kuona umuhimu wa jambo hilo kwako na kwa mpenzi wako. Baada ya kuanza uhusiano na mpenzi wangu Witty ambaye baadae akawa mke wangu nilijikuta nafurahia kumgusagusa sana mpenzi wangu huyo. Wiki mbili za mwanzoni mwa uhusiano wetu sikuweza kujitolea kumpeleka kazini kwa gari yangu lakini tulipoanza kushirikiana tendo la ndoa nikaanza kufanya hivyo japokuwa ofisini kwake kulikuwa mbali sana na ofisini. Wakati naendesha gari mkono wangu wa kushoto umekuwa ukifanya kazi ya kushika mapaja yake na kuyaminyaminya huku namwambia nakupenda mpenzi wangu. Ulipita mwezi nikiwa nikifanya hivyo kabla ya kuoana. Katika zoezi hilo la kugusana gusana utamu uliongezeka pale tulipofika eneo lenye msongamano wa magari kwani nilifanya zaidi ya hayo. Siku moja usiku tukiwa tunarudi nyumbani toka hotelini tulipokula tunda la katikati ya bustani mpenzi wangu nae akaanza kunishikashika kwa mtindo ule ule nanilion rah asana.Na sikuchelewa kumwambia kuwa nafurahia jambo hilo kwani hakuna mwanamke ambae alishawahi nifanyia hilo. Baada ya kusema hayo nae akasema, kweli Nelly haipendezi kukaa na wewe kama nimekaa na Tax Driver.


(6)       NI MPELELEZI
Mwanamke anaetaka kufurahia penzi atakalopata kwa muda mrefu lazima awe makini sana katika uchaguzi wake wa mpenzi wa kimahaba ,umakini huo unaanzia katika kumsikiliza vizuri pale anapoongea. Iwapo mwanaume ulienae anapenda kukuuliza maswali yahusuyo maisha yako basi tambua ya kuwa ni mwanaume ambaye anataka afahamu undani wako ili atafute njia ya kukufurahisha kikamilifu sawa na agizo la Mungu katika Biblia kitabu cha KUMBUKUMBU LA TORATI 24:5. Uonapo kuwa ni mpelelezi wa maisha yako muwapo mbali na kitanda basi muingiapo chumbani atajitahidi kukutanguliza wewe ufike kileleni kabla yake. Lakini uonapo mwanaume hakupi nafasi ya wewe kuongelea mambo yako tambua ya kuwa mwanaume huyo hana tofauti na mbu, atakunyonya damu na kukuacha na ugonjwa wa kusononeka moyoni mwako.

No comments:
Write comments

Recommended Posts × +