Monday, May 20, 2019
FAIDA ZA MATITI WAKATI WA TENDO LA NDOA ( KULANA ) ? HII SI YA KUKOSA
Kazi ya matiti:
Hapa nitaongelea umuhimu wa matiti mbali na kuwa ndio yanayoyoa chakula bora kwa mtoto wakati wa kunyonyesha.
Hapa najikita kueleza umuhimu wa matiti katika tendo zima la ndoa(mapenzi)
CHUCHU za matiti ya mwanamke ni sehemu sensitive wakati wa tendo la ndoa na kama mwanaume akichezea sawasawa hizi chuchu humfanya mwanamke hufika kileleni haraka na kujisikia raha wakati wa tendo la ndoa. kazi ya mwanaume hapa ni kuhakikisha kuwa anautumia vema ulimi na mdomo kwa kunyonya kimahaba.MARA NYINGI WANAWAKE HUPATA HISIA ZA HARAKA PALE WANAPOGUSWA MATITI YAO>
Matiti huvutia mwanaume na kumfanya awe na hamu ya tendo la ndoa na pia kwa ajili ya utamu wa mwanamke mwenyewe (pleasure) anapoguswa kwa mikono ya MAHABAwakati wa tendo la ndoa. Hapa ikumbukwe kuwa kuna maeneo mengine yenye kuleta msisimko kwa mwanamke wakati wa tendo la ndoa kwa mwanamke kama vile (uke,kisimi, mapaja,miisho ya miguuna mikono masikio n.k) cha msingi ni kumjua vyema mpenzi wako.
Utafiti uliofanywa na chuo kikuu cha Vienna unaonesha kuwa wanawake wenye matiti madogo hufaidi zaidi kwa kuinjoi kuliko wale wenye matiti yenye umbo kubwa sana
Posted by
NeverGoBack
on
7:50 AM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Write comments