Pages

Friday, May 24, 2019

Hakuna Malaya Hapa Duniani ni Unafiki tu Unatusumbuwa, Na Hakuna Demu wa Bure Duniani hili Lieleweke Vizuri

Naenda direct kwenye point yangu nimekuwa nakerwa kwa muda mrefu kwa watu wasiowaelewa kuwasakama baadhi ya kina dada kuwaita malaya.

Leo mimi ndio Advocate wao ambaye nimejitolea bure kuwatetea na kuweka fact and evidence tubishane kwa hoja.

Mimi binafsi kwanza nina umri wa kuweza kugombea Urais ninajiamini nina exposure ya kutosha ndani ya nchi na nje.

Ni sisi wanaume 98% tukisafiri upenda kupata ukarimu wa ngono kwa wasichana wa eneo husika, na ukute unakaa siku mbili tu, ukikalimiwa imeshakuwa shida, malaya umesahau wewe mwenyewe malaya.

Ukimuuliza mtu ni mwanamke gani umewahi kutembea naye hujampa pesa huwezi kupata jibu ukweli ni kwamba wanawake wote wanapokea pesa after kumaliza kwa kisingizio cha nauli.

Lakini hapa wapo wadada ambao wao wameweka wazi ukitaka kuwamega mkatie pesa kiasi fulani basi mchezo umekwisha hawa ati wanaitwa wauza mbunye kosa lao liko wapi? Ni mwanamke gani anayetowa bure? Aje hapa hadharani akanushe hili.

Haya ngoja niwape mifano hai kuna dogo huyu Diamond eti naye kapachikwa jina la malaya!! Jamani tumuogope Mungu huyo Diamond ni maarufu tu hana umalaya wowote, wanawake wote aliodate nao wanahesabika wakati sisi tunaomnyooshe kidole binafsi kwangu hata ukiwajaza kwenye fuso halitoshi labda ulete treni ya Mwakyembe na ukinipa kitabu niwaandike siwezi kuwakumbuka ila huyu mtu maarufu wanawake aliotembea nao kwa 99% wanajulikana hii same applied kwa Wema Sepetu.

Issue iko hivi kuna wanawake hawatoi nyuchi zao kwa mfumo wa kupatana bei lakini wastani wake wa kuliwa na wanaume kwa mwezi anamzidi huyu tunayeamini na kumuita muuza mbunye hii siyo sawa hata kidogo.

Ninajuwa vyema wako wanawake wachache mno very independent lakini ukiwachunguza kwa undani walishaumizwa na wanaume ndio sababu kwakuwa wana cash mwanaume ukikaa na mwanamke kama huyo anakuonesha power of independence woman, anaclear bill na anaweza kukupa cash.

Mimi nawapa moyo sana madada wote wanaotowa ngono kwa mapatano ya cash kwanza siyo wanafki ni wawazi hawana usumbufu na 90% ni wadada ambao wapo kwenye viwango vya kuitwa warembo.

Nihitimishe tu hoja yangu kwa kumtaka mwanaume yeyote anayejiona yeye si malaya ajitokeze hapa na mwanamke yeyote anayesema yeye hauzi anatowa bure pia ajitokeze hapa.

Tanzania bila unafiki inawezekana.

No comments:
Write comments

Recommended Posts × +