Pages

Monday, May 20, 2019

INGIZA DUDU YOTE NDANI BABY SEHEMU YA NANE

Ilipoishiaa.. Npo na asha kule uwani huku akinilalamikia kunitaka alikuwa anaongea huku anapandisha sketi yake ya shule na kuruhusu upaja wake kuonekana..... Endeleaaa. Alizidi kupandisha huku macho yake makubwa yalio mkaa kama ndulele.
"jamani gao nakupenda mwenzio hisia zangu zipo kwako mwenzio tafadhali sikia kilio changu nakupenda."alizikuongea asha huku akinizidi pandisha sketi yake, nilijua fika anachotaka kukifanya na mimi sikutaka kitokee mana mwalimu akitufuma pale ni dhahiri shule hatuna tena. Nilichofanya nikaondoka pale bila kumjibu kitu chochote.
"jamani mbona unaondoka bila kunijibu please gao nikubalie mwenzako"alizidi kulalamika nikaona tu ni msumbufu huyu. Nikaweka pamba sikioni sikumsikiliza nikasepa kurudi darasani huku nyuma nikimuacha asha akizidi kulalamika tu.
Nilifika darasani bado wanafunzi wapo katika magroup ya biology sikushughulika nayo nilienda kukaa sehemu Yangu kama mwanzo tu.
Nikaanza kuangaza huku na huko kumtafuta GRACE nilipepesa macho huku na huko sikumuona kila nikitizama olaa. Sikufanikiwa kumuona nikiwa nashangaa kumtafuta GRACE, mara ghafla ASHA akaja pale nilipokuwa nimekaa tena akakaa juu ya meza kabisa mguu mmoja ukiwa juu hivyo kuacha uwazi katikati ya mapaja kiasi kwamba akinyanyua mguu tu nimeona vya ndani, alikaa kimtego yote kuniingiza majaribuni na mimi sikuwa nikimpenda nimpendae ni GRACE tu ndio katika moyo wangu na kuondoka nao kabisa mbali.

"gao nakuomba nielewe mimi ninakasoro gan jamani angalia mwili wangu nilivyokuwa mrembo dah huoni vyote jaman au nikuvulie nguo ili unione gao."aliongea kwa kujibwatukia hapo nikajua huyu sie anachotaka ni dushelele ana mihemko.
"sawa usijali njoo leo saa mbili pale dukani kwa nyuma kule utanikuta."nilimwambia huku nina nia yangu kichwani alifurahi kumwambia vile.

"kweli gao asante nitakuja bila Kuchelewa yani dah asante naomba nikukute."alisema kisha akaondoka, kichwani akijua eti nimwemwambia anifate pale nina nia njema nae kumbe laahasha nilikuwa nasuka mpango wangu kichwani.
Muda kadhaa mwalimu wa hisabati akaingia huku mkononi kashika viboko sambamba na vitabu pamoja na boksi la chaki, nilijua leo pananuka mana nikikumbuka alitoa zoezi alafu hakuna aliefanya zaidi ya mwanafunzi mmoja tu.
Tulimsalimia kwa pamoja wanafunzi wote akaitika na kuanza kuongea.

"mnakumbuka jumatano niliacha kazi wote hamkufanya zaidi ya issa ndio kafanya sasa leo mtaniambia kwanini mmedharau kazi yangu, mimi naandaa quiz nyie hamuifanyi dharau sio haya wote mikono mbele."alisema mwalimu yule hapo wanafunzi wote wanalalamika ila mwalimu akuwasikia akatembeza kichapo darasa zima mpaka mimi alinipitia siku hiyo issa hakufika shule na yeye ndio pekee kafanya kazi.
Darasa zima lilikuwa ni vilio tu, Hasa wanawake ndio Walizidisha vilio kama wafiwa.

"haya nyamazeni nitawaongezea, sasa naandika tena maswali yangu ole wako usifanye."alisema mwalimu na kuondoka. Somo la hisabati lilikuwa kama janga la taifa halikupendwa kivile, hivyo ikawa sababu watu wakalipuuzia.
Vilio vyako vikakatika na kubaki vya kufina fina tu.

"jaman mimi nasubir mwandike nije kudownload tu."alisema mwanafunzi mmoja jinsia ya kike.

"nyooo ole wako uje hapa maswali yenyewe magumu alafu uje ukopy tunakosana"aliitikiwa na mwengine.
GRACE akaingia darasani sikujua alipotoka hivyo nikabeba kiti changu kwenda kukaa nae pale baada ya yeye kukaa.

"pole gao kwa kuchapwa na mwalimu"

"asante grace nishapoa"

"mwalimu wa math's aliingia eeh.?"aliuliza grace hapo hakujua kama tumechalazwa na mwalimu wa hisabati, yeye alijua ni mwengine.

"ooh kaja katuchapa hapa wanafunzi wote kisa hatuja fanya kazi yake."nilimjibu hapo hakusita kunipa pole, tuliendelea kucheka huku tukiongea Ulipita muda mchache tukiongea kengere ya break ikagogwa, wanafunzi kwa kujivuta vuta wakaanza kutoka nje.
Vipindi vilikuwa sio vingi jumatatu hiyo kutokana kuhudhuria walimu wachache hivyo wanafunzi walikuwa na muda mwingi wa kucheza kuliko kusoma.

"gao nipeleke mgahawani."aliniambia GRACE. na mimi bila kubisha wala kusita nikakubali kwa moyo mmoja huku nikifikiria kumwambia juu ya upendo wangu kwake.
Tuliamka pamoja kutoka nje, urafiki wetu ulikuwa ghafla kana kwamba tumesoma wote tokea kidato cha kwanza kumbe ni kidato cha tatu ndio tumejuana. Hata baadhi ya wanafunzi wenzangu walinong'ona chini chini wakijua tunamahusiano ya kimapenzi.
Tulitoka nje na kuelekea katika vibanda vya chai.
Safari ya kuelekea huko ilikuwa fupi tu hatukutumia masaa mengi njiani kutokana na mgahawa kuwa karibu na shu njiani tulipiga story za hapa na pale hadi tukafika.

"mama shikamoo,naomba chai mbili"alimsalimia mama muuza Chai na kuagiza, aliniagizia hadi mimi.

"unatumia vitafuno gani chapati au?, mana mimi natumia chapati."aliniuliza.

"na mimi nipe hizo hizo hizo kama wewe tu bhana."nilisema,zikaletwa tukaanza kula,masaa yakasogea kidogo kidogo.

"grace asante kwa chai ila nilikuwa naomba nikuambie kitu."nilisema nikimwangalia.

"kitu gani.?"aliuliza.

"grace."niliita.

"abeeeh."aliitika grace.

"nikwambie kitu.?" niliuliza mara ya pili yani kitu kinafika mdomoni na kurudi, yani nilipata kigugumizi katika utamkaji.

"mbona husemi hicho kitu si useme tu."aliniuliza. na mimi sikufanya ajizi kitendo cha kunyanyua mdomo nataka kusema kengere igagogwa hivyo nikamwahidi nitamwambia badae tukiwa darasani, akakubali tukaelekea darasani baada ya kuingia vipindi vikaendelea vya walimu waliofika siku hiyo.
Mpaka kufika jioni tukaruhusiwa na mimi nikaongozana na GRACE.

"unajua nini gao leo shule watu walikuwa wachache sana kumepooza kweli."alisema grace huku tunatembea hatua fupi fupi.

"ndio watu wamenogewa na weekend."

"hahaha itakuwa kweli mana sio kawaid
a."aliongea kwa kucheka hapo akizidi nionyesha uzuri wake kwenye vishimo vidogovidogo vya mashavuni vilimpendeza sana hata ukitembea nae unatamani hata mkiss.

"ehhhh nimekumbuka niambie hicho kitu."alinikumbusha nimwambie. namimi nikaanza kwa kujiamini yani siku zote tambua knnnama umempenda msichana na unataka kuwa nae siku ukimtongoza fanya kujiamini 100% itakuwa rahisi kumnyakuwa kama mp ira uliotokea mbali sio unatongoza eti unang'ata kucha mwanaume au unaangalia .y , oooh hunachako wewe unatakiw

hb. n.a mtizamane. j

"sikia grace nafahamu tumezoeak.na kama marafiki."
H

"ndio mbona umeuliza hivyo.?"alinitandika swali.

"Grace moyo wangu umetokea kuvutika na wewe na kuonesha uhitanji kuwa nawe sipendi kuwa msiri kuuficha moyo wangu bila kukwambia unachotaka please.."niliendelea kuongea huku nikimchombeza grace tulisimama sehemu yenye mti yeye kazi yake alipukutisha majani ya ule mti sijui ni maneno yangu, yani sikuhiyo sikupanga kumkosa nilipangilia maneno kama mashairi ya j. oh makini.
Grace alianza kuniangalia kisha akaanza kuongea huku kama anaaibu hivi.

"naomba nipe muda nifikilie kisha nik upe jibu lako."..n
.. .k.alisema huku akiona aibu,na mimi nikamwitika safari ikaendelea mpaka kutengana mimi nikaelekea nyumbani.
Kitendo cha kuingia tu mlangoni namkuta neema kala kwenye kochi na vazi lake la kimagharibi hivyo lilikuwa nusu uchi na ulalo aliolala kusababisha ipande juu mpaka mstali wa chupi kuonekana, mwanaume udenda ulinitoka nikabaki kuangalia grain...m. siendi nimesimama si nikajitia umbea eti nimstua kama ataamka au asipoo amka nifanye michezo yangu hadi hapo dushelele lilifura.

"hey dada neema amka kalale ndani amka."nilipomwita lilikuwa kama kosa mana alijigeuza kabisa na kile kinguo chake cha magharibi kumfunuka chote na kubaki na chupi kimepanda juu mate talizidi nijaa mdomoni kwa uchu utazani nimeona embe bichi au nyama choma zilizojaziliziwa ndimu na pilipili.....
ITAENDELEEAAAAAAAA

No comments:
Write comments

Recommended Posts × +