Pages

Wednesday, May 22, 2019

JIHADHARI: KUJICHUA AU KUJICHEZEA HUSABABISHA BIKIRA YA MWANAMKE ITOKE...

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjIzkn58Ew3MOF_qyNDu_pwlJvC5QNVb39T46Cf-AbfYah7_yt0ZsScC0I0-4VLsCk0Ymk9MeZfuqLSgxr2eMpsVOdFmhI941Lm5LRznKNwIqaOPAveTEYD6kqSOad80u_xbvPTOjwtLOU/s1600/NEY.jpg

Nilikuwa nauliza eti punyeto au masturbation ina ondoa bikira? Nauliza hivi kwa sababu rafiki yangu ana afanya punyeto kwa kutumia kanga anajiweka huko chini.

Sasa kwa mfano mtu umejiingiza kitu ndani ya uke na bikira ikatoka, ukienda hospital kucheck utajulikana kama imetoka kwa ajili ya kuingiliwa na mwanaume au umefanya punyeto au kama watu wengine wanavosema kama inatoka kwa ajili ya kuendesha baskeli, au itakuwa hospital wanajua imetoka kwa design ya hivyo labda ya kuendesha baskeli?

JAWABU NA USHAURI 

Kwa maana halisi ya Bikira ni ile hali ya mwanamke ambae hajawahi kabisa kuguswa na mwanaume kwa maana ya kuingiliwa kingono na hajui raha/utamu wa ngono.

 Mwanamke huyu huwa na kijiutandu mfano wa kingozi laini juu ya uke wake (pale uume unapoingia) yaani chini kidogo ya kikojoleo (kitundu cha mkojo).


Hivyo basi kwa jibu la haraka haraka hapa ni kuwa Nyeto inatoa Bikira, yaani kusikilizia ule utamu wa ngono ni wazi kuwa wewe sio bikira tena, kwa sababu mwili wako unaponyegeka hufanya misuli ya uke kutanuka na ute kujitokeza pale mahali ambapo ule "utandu" ndio ulipo((pale uume unapoingia).
Kule kuhangaika kwako kingono (inaweza kuwa juu-chini, huku na huku au kuzunguusha kiuno) na hatimae kubana na kubanua misuli yako ya uke kwa ndani na nje unapofika kileleni kwa kujipa mkono/nyeto ni wazi kuwa kutakuwa kunakamsuguano ambako kanaondoa "utandu" ambao ndio Bikira yenyewe.


Pamoja nakusema hivyo kuna aina mbili za Bikira moja ni ile yenye "utandu" na huendelea kubaki pale hasa kama binti husika ni mtu wa kutofanya shughuli ngumu na nyingine ni ile ambayo haina "utandu" ambayo nadhani mabinti wengi miaka hii ndio wanayo kutokana na mitindo ya maisha tunayoishi siku hizi. 


Bila kujali utofauti wake, zote zinajulikana na kuhesabika kama Bikira kwa vile binti hajui Ngono ikoje na hujaguswa kabisa mwili wako na mwanaume.


Napenda utambue kuwa michezo kama kukimbia/kuruka kamba, mazoezi ya viungo, kuendesha baiskeli hakuondoi bikira kama inavyo ondolewa na tendo la ngono, kinachotoka pale ni ule utandu na ubikira (hujui utamu wa ngono na hujawhai kulifanya tendo hilo) unabaki palepale......tofauti ni kuwa wewe ambae huna utandu uume unaweza kuingia haraka kuliko yule mwenye utandu.

Kingine ni kuwa mwenye utandu hutokwa na damu nyingi zaidi kuliko yule ambae hana utandu. Lakini wote ni bikira kwa vile hajui utamu wake kwa Nyeto na hamjawahi kungonoka.


Ukifanya nyeto kwa kutumia kanga (kama ulivyosema) bila kuigusisha kwenye uke (unapoingia uume) na ukawa unaigusisha kwenye kisimi tu ni wazi kuwa Daktari hatoweza kugundua kuwa umeingiliwa na mwanaume, kwa maana kuwa hujaingiziwa uume ukeni.....lakini ktk hali halisi hautokuwa Bikira kwa vile unajua utamu wa ngono tayari.


Kama ukifanya hivyo (Nyeto) na ukajiingizia kidole au sanamu Daktari akikuangalia atajua kuwa umeingiliwa kingono, kwao haijalishi ulitumia nini, watakachokiona ni kuwa ukeni kuna kitu kiliingia....nini kiliingia ni juu yako wao wanajua kinachoingia pale ni uume hatakama ni wa plastic....hivyo hutohesabika kuwa ni bikira.

Tafadhali usifanye Nyeto kama wewe bado ni bikira, subiri mpaka utakapoanza ngono na mpenzi/mume wako.


No comments:
Write comments

Recommended Posts × +