Pages

Monday, May 20, 2019

SIMULIZI YA *SIN* SEHEMU YA 22........ ONLY 18+

ILIPOISHIA
Simu yake ikaanza kuita, akaitazama kwa sekunde na kukuta ni namba ya RPC Karata. Akaiweka sikioni mwake na kuanza kuisikiliza.
“Habari yako kijana”
“Pumbavu wewe, habari yangu ya nini. Yaani nina juta sijui ni kwa nini nilifwata mawazo yako ya kipumbavu”
Sauti ya ukali ya RPC Karata ikamstua sana nabii Sanga na kujikuta akiitazama simu yake ili kuhakikisha kwamba huyo anaye mpigia ni RPC Karata au mtu mwengine kwa maana wana heshimiana sana na hajawahi hata siku moja kusikia neno la kejeli wala tusi kutoka kinywani mwa kijana huyo.

ENDELEA
“Ahaa….Karata ni kitu gani ambacho kina endelea?”
“Wewe hujui. Umeniweka kwenye matatizo mazito sana, nina oder ya raisi hapa kumpata Tomas ndani ya masaa kumi na mbili. Aisee mzee sinto kubali kufa mwenyewe kwenye hili, ni lazima mke wako nitahakikisha naye ana ingia jela na mimi. Wema wangu sasa una zaa dhambi kwangu”
“Karata hembu kuwa mpole kwanza. Niambie nikusaidie wapi kwa maana hili jambo sisi tume lifanya pamoja”
“Nisikilize wewe mzee. Namuhitaji Tomas, ni heri angekuwa maiti hivi sasa kuliko akiwa yupo hai na ana tembea. Nina kupa masaa mawili uweze kuniambia Tomasa yupo wapi la sivyo mimi na wewe tuta elewani vibaya”
Baada ya kauli hiyo simu ikakatwa na kumfanya nabii Sanga kushusha pumzi taratibu huku akitafakari nini cha kufanya. Hamu ya kwenda kwenye ibaya yote ikakatika. Akanyanyua mkonga wa simu iliyopo karibu yake, akampigia mchungaji msaidizi na kumuomba aweze kufika ofisini kwake haraka. Hazikupita dakika tano mchangaji msaidizi akaingia ndani humo.
“Ndio nabii”
“Nahitaji leo ukaongoze ibada, Nimepatwa na dharura ya kifamilia hivyo sinto weza kuwepo ofisini”
“Sawa nabii. Naweza kufahamu ni dharura gani hiyo ya kifamilia?”
“Ahaa nitakuambia baadae wee acha nika ishuhulikie”
“Sawa”
Nabii Sanga akatoka ofisini humo na kuingia ndani ya gari lake na kuianza safari ya kurudi nyumbani kwake huku kichwani mwake akiwa amejawa na wasiwasi mwingi sana. Akafika nyumbani kwake na kuingia ndani.
“Mama yako yupo wapi?”
Nabii Sanga alizungumza huku akimtazama dada wa kazi.
“Hajatoka toka asubuhi”
Nabii Sanga akapandisha gorofani na kuingia chumbani kwake. Akamkuta mke wake akiwa amekaa kwenye kiti kilichopo mbele ya kioo huku akiwa uchi kabisa.
“Mbona ume rudi?”
Mrs Sanga alizungumza huku akiwa amejawa na mstuko mwingi sana.
“Kuna tatizo”
“Tatizo gani mume wangu?”
“RPC amepewa masaa kumi na mbili na raisi aweze kumpata Tomas la sivyo ana fungwa na ameniambia kwamba akiingia matatizoni ni lazima ahakikishe kwamba ana zungumza kila kitu juu yako na Tomas”
“Ohooo Mungu wangu. Tuta fanya nini mume wangu?”
“Ndio hapo sifahamu, na sijui kama Tomas ata kuwepo nyumbani kwake”
“Hawezi kuwepo kwa kile ulicho mfanyia jana sidhani kama ata kuwepo”
“Sasa ina kuwaje mke wangu”
Nabii Sanga na mke wake wakabaki wakiwa wana tazamana huku kila mmoja akiwaza ni nini aweze kufanya ili Tomas apatikane.
“Na amenipa masaa mawiili kuhakikisha kwamba nina mpata Tomas”
“Ohoo Mungu wangu, kwa hiyo mume wangu nina kwenda jela?”
“Nipo kwa ajili yako huto kwenda jela mke wangu”
“Kweli?”
“Niamini mimi, nita hakikisha kwamba kila jambo lina kwenda sawa. Hembu jaribu kufikiria ni wapi na wapi Tomas ana weza kwenda”
“Aliniambia kwamba ana taka kwenda Afrika kusini”
“Afrika kusini!!?”
“Ndio sasa sijajua kama jana usiku alifanikiwa kufika uwanja wa ndege au laa”
“Hapana hajaenda uwanja wa ndege. Ahaa huwezi kujua ni namba gani ambayo Tomas ana weza kuitumia kwa siri?”
“Mmmmmm ngoja”
Mrs Sanga akanyanyuka kwenye kiti chake na kufungua pochi yake. Akatoa line yake ya siri na kuingiza kwenye simu.
“Hii ndio line ambayo nilikuwa nina tumia kuwasiliana na Tomas”
“Sawa, hembu angalia ni namba yake ipi ipo hewani”
“Ana namba tatu ngoja nijaribu kuzipigia”
Mrs Sanga akaanza kupiga namba ya kwanza na bahati mbaya haipo hewani, namba ya pili nayo pia haipo hewani.
“Hii ndio ya mwisho”
“Jaribu kuipigia”
Mrs Sanga akapiga tena namba hiyo na kwa bahati nzuri ikaanza kuita.
“Ina ita”
Mrs Sanga alizungumza huku akimtazama mume wake usoni. Upendo wake kwa Tomas kwa sasa ume pungua na yupo tayari kuhakikisha ana mkamatisha Tomas mikononi mwa askari ili aepukane na kuingia jela.
***
Kitendo cha kumuua rafiki yake, hakika kina zidi kuutesa ubongo wa Tomas. Ila kila ajapo jaribu kukumbuka kwamba ana tafutwa na askari basi akili yake ina hamisha mawazo yake katika tendo la mauaji na kufikiria ni jinsi gani ambavyo ana weza kupambana hadi atoke jiji la Dar es Salaa. Taarifa ya kutafutwa kwake, ina mpa ramani ni wapi hapaswi kukanyaga na wapi anapaswa kwenda. Katika kupambanua ni nani ana weza kumsaidia kwa wakati huo, akili yake ikaangukia kwa Levina mwana mke wambaye alikuwa na mahusiano naye miezi kadhaa nyuma kabla ya kuwa na Mrs Sanga. Akaitafuta namba ya Levina na kumpigia, simu ya Levina ikaita na baada ya sekunde kadhaa ikapokelewa.
“Levina ni mimi”
“Tom”
“Ndio”
“Ume fanya nini wewe mbona kila mahala habari ni zako”
“Ni habari ndefu sana. Ila nahitaji unisaidie”
“Upo wapi?”
“Wewe niambie upo wapi alafu mimi nita kufwata”
“Ahaa nipo ofisini kwangu kwa sasa. Ila ngoja nitoke kisha nita kuambia ni wapi tukutane”
“Ila tafadhali Levina usije ukanisaliti”
“Siwezi kufanya hivyo Tom wewe una nijua na ndio maana ume amua kuwasiliana na mimi. Ungekuwa huniamini wala usinge nipigia simu”
“Sawa nasubiri simu yako”
Tomas akakata simu na kusimama katika moja ya duka. Akaagiza soda ya baridi na muuza duka aka muhudumia pasipo kumfahamu. Simu ya Tomas ikaita kwa haraka akaitazama na kukuta ni namba ya siri ya mrs Sanga. Tomas, akajikuta akiachia msunyo mzito na kukata simu hiyo. Simu ikapigwa tena, akaitazama namba ya mrs Sanga kisha akapokea.
“Una hitaji nini wewe malaya”
Tomas alizungumza kwa hasira sana.
“Jamani Tomas nimepiga ili kukuomba msamaha”
“Msamahana eheee. Sasa sikia fikisha ujumbe kwa mume wako. Kwakile alicho nifanyia jana usiku, hakika nita kilipita tena kwake. Sinto kufa na nita ishi, wewe muambie ajiandae siku yoyote mambo yata mgeukia.”
Tomas mara baada ya kukata simu hiyo simu ya Levina ikaingia.
“Ndio mama”
“Nimesha toka niambie upo wapi?”
“Sinza madukani hapa”
“Sawa nipo karibu nina kuja”
Tomas akakata simu na kwa habati nzuri eneo la duka alilo kaa basi ana weza kuyaona magari yote barabarani. Hazikupita hata dakika tisa gari aina ya Toyota Brevis yenye rangi nyeusi ika simama kwenye maeneo ya maduka hayo. Tomas aliweza kufahamu gari hilo la Levina kwa maana alisha wahi kulitumia kipindi wakiwa na mahusiano. Simu ya Tomas ikaanza kuita, akaipokea.
“Nimefika”
“Nimekuona nina kuja”
Tomas akakata simu, akamlipa muuza duka na kumfwata Levina sehemu alipo simama. Akafungua mlango wa gari, akavua begi hilo na kuliweka siti ya nyuma.
“Vipi baba?”
“Wee acha tu”
“Hembu zima simu yako”
“Kwa nini?”
“Una weza kutafutwa kwa GPRS, kwani namba hiyo kuna mtu mwengine ambaye ana ifahamu?”
“Ndio”
“Basi ina weza kuwa hatari ikiwezekana toa laini na uitupe kabisa”
Tomas akafwata ushauri wa Levina ambaye ana miliki kampuni inayo husiana na maswala ya I.T. Wakaondoka eneo hilo huku Tomas, akiitupa laini hiyo njiani.
“Tuna kwenda wapi?”
“Nyumbani kwangu”
“Mdogo wako akiniona ita kuwaje?”
“Tupo Nairobi, nimempeleka kusoma”
“Toka lini?”
“Na mwezi wa pili sasa”
“Ahaaa”
“Niambie nini kime kukuta hadi kutangazwa kwamba wewe ni jambazi. Ikiwa mimi nakufahamu wewe sio jambazi”
“Kuna mtu amenisingizia”
“Amekusingizia nini?”
“Kama mimi ni jambazi na ametumia pesa zake kunifanya niwe katika hali hii”
“Nani huyo?”
“Nabii Sanga”
“Nabii Sanga huyu tunaye abudu kwenye kanisa lake au yupi?”
“Huyo huyo”
“Si mtu wako wa karibu na ana kutuma kwenye kazi zako nyingi. Ime kuwaje ana kufanyia hivyo?”
“Kuna kimada wake wa nje alinipa kazi ya kumtafutia nyumba na sehemu ya kufungua mgahawa. Sasa mke wake aliweza kunibana siku nikamueleza ukweli kuhusiana na mpango wa mume wake. Basi mzee ame chukia, amenibambikia kesi hiyo, ndio maana polisi wana nitafuta”
Tomas alidanganya kwa maana hawezi kumueleza ukweli Levina kwa maana bado ana tambua kwamba Levina ana mpenda.
“Pole sana, kumbe yule mzee ni mshenzi ehee?”
“Tena sana”
“Sasa ita kuwaje?”
“Ina bidi niweze kuondoka nchini Tanzania haraka iwezekanavyo”
“Basi ngoja tufike nyumbani tuta jua ni nini cha kufanya”
Levina alizungumza huku akimuamini Tomas kwa asilimia mia moja pasipo kufahamu kwamba Tomas huyo kwa sasa amekuwa ni muuaji na yupo tayari kufanya mauaji kwa mtu yoyote ambaye ata onyesha dalili ya kumsaliti kwa polisi.
***
“Amekata”
Mrs Sanga alizungumza mara baada ya kuzungumza na Tomas.
“Amesemaje?”
“Anasema kwamba ni lazima atalipiza kisasi kwako na ata hakikisha ana lipa kile ulicho mfanyia jana usiku”
“Pumbavu hato weza kufanya hivyo. Nitatakikisha nina mkamata. Hembu nitumie namba yake”
Mrs Sanga akamtajia mume wake namba ya Tomas. Nabii Sanga akaipiga namba hiyo ila kwa bahati mbaya akakuta haipo hewani.
“Hapatikani. Sasa hii nita mtumia RPC na nina imani wata jua ni namna gani wana weza kuitafuta.”
“Fanya hivyo mume wangu. Nina ogopa kwenda jela nikiwa katika umri huu”
“Usijali. Vipi maumivu?”
“Bado yapo mume wangu”
“Tumia dawa za kupunguza maumivu”
Nabii Sanga alizungumza huku akiituma namba hiyo ya Tomas kwa RPC Karata. Alipo hakikisha meseji hiyo ime kwenda, akampigia RPC.
“Ndio”
“Nimekutumia namba ya Tomas, ina patikana hewani na nina imani kwamba bado ata kuwapo ndani ya Tanzania, hakikisheni muna mpata”
“Sawa”
Simu ikakatwa. Mrs Sanga akasimama na kusogelea mume wake sehemu alipo. Akamkumbatia kwa hisia kali za mapenzi.
“Mama Julieth nina ibada nime iacha kanisani”
“Tafadhali mume wangu, nikune japo kidogo nina hamu na ubo** wako”
“Baby”
“Please naomba”
Mrs Sanga alizungumza huku akianza kumnyonya lipsi mume wake huku mkono wa kulia ukifungua zipu ya mume wake na kumtoa jogoo wa nabii Sanga aliye simama dede.
***
Sheby akafika nyumbani kwa Magreth na kufunguliwa geti. Wakasaidiana na Magreth kushusha mifuko ya mizigo ya fvitu alivyo kuwa ame muagiza kijana huyo.
“Vimekamilika?”
“Ndio sister”
“Basi nisubirie nipike fasta kisha tuelekee hospitalini”
“Sawa mimi nipo kwenye gari”
“Kaa tu sebleni hakuna tabu”
Sheby akakaa kwenye sofa nzuri na za garama zilizomo ndani ya seble hiyo ya Magreth. Magreth akaanza kuandaa chakula hicho haraka haraka. Alipo hakikisha chakula kime iva, akampatia Sheby sahani moja kisha yeye akaelekea chumbani kwake kuoga na kujiandaa na safari ya kuelekea alipo Evans. Magreth hakumaliza dakika nyingi katika maandalizi yake. Akarudi sebleni na kumkuta Sheby akimalizia malizia kula chakula hicho.
“Aisee sister chakula kizuri sana. Yaani una mkono mzuri sana wa kupika”
“Nashukuru sana. Maliza twende”
Ikamlazimu Sheby kula haraka haraka kisha wakatoka chumbani humo. Wakaianza safari ya hospitalini na ikawachukua lisaa moja kuweza kufika, hiyo yote ni kutokana na foleni za hapa na pale. Magreth moja kwa moja akaelekea katika chumba cha Evans. Akafungua mlango na kuingia ndani, ila kitu kilicho mshangaza ni kuto muona Evans ndani humo. Akatoka chumbani humo huku akiwa ameshika mfuko wenye hotpot lenye chakula.
“Samahani nesi, huyu mgonjwa wa hichi chumba ame kwenda wapi?”
“Huyo kaka?”
“Ndio”
“Yupo ICU ana fanyiwa upasuaji, kwani kidonda chake kwa ndani kime pata itilafu inavyo onyesha aliweza kufanya kazi iliyo sababisha kumpa maumivu ya ndani na hatujajua ni kazi gani hivyo iliyo mfanya kuwa katika wakati huo.”
Kauli ya nesi huyo ikamstua sana Magreth na moja kwa moja aka tambua kwamba. Kitendo cha wao kufanya mapenzi jana usiku ili hali Evans yupo katika hali ya kuumwa ndio ime pelekea kidonda alicho chomwa kisu kupata matatizo.
ITAENDELEA
Haya sasa, Evans amerudishwa ICU je upasuaji huo wa pili uta fanikiwa. Tomas amepata msaada je atafanikiwa kutoka nje ya nchi ya Tanzania? Endelea kufwatilia kisa hichi cha kusisimua, usikose sehemu ya 23.

No comments:
Write comments

Recommended Posts × +