Pages

Saturday, May 25, 2019

SIMULIZI YA *SIN* SEHEMU YA 28........ ONLY 18+

ILIPOISHIA
“Waseng** sana hawa”
Tomas alizungumza huku akiwa amekasiraka sana. Levina akatabasamu tu, kwani Tomas amekereka sana. Wakanyanyuka kwenye viti hivyo na wakakumbatiana kwa muda kidogo huku kila mmoja akiwa na hiasi kali za mapenzi.
“Jichunge na ujilinde Tomas”
“Usijali mpenzi wangu. Tambua kwamba nina kupenda sana”
“Hata mimi nina kupend……..Tom ona kule”
Levina alizungumza huku akimuachia Tomas, wakageuka nyuma na kumuona nabii Sanga na mke wake wakiwa miongoni mwa abiria walipo hapo uwanja wa ndege huku wakionekana kusoma soma baadhi ya matangazo yaliyopo uwanjani hapo jambo lililo mfanya Tomas kuanza kujawa na chuki dhidi yao kwani wao ndio wana mfanya sasa hivi kuishi katika sura ambayo sio yake.

ENDELEA
Tomas akataka kuwafwata ila Levina akawahi kumshika mkono.
“Unataka kufanya nini sasa?”
“Nataka kuwafwata”
“Acha ujinga wewe, hujui upo kwenye wakati gani? Sauti yako ni lazima wataitambua. Angalia hapa uwanjani kuna askari wangapi ambao wakipewa taarifa kwamba wewe ni Tomas, wata kukosa?”
Levina alizungumza kwa msitizo na kumfanyaTomas kushusha pumzi huku akiwatazama nabii Sanga na mke wake wakipanga mstari katika eneo la kukaguliwa.
“Nahitaji uwe hai na ufanye kama vile nilivyo kuambia ufanye. Sawa?”
“Sawa”
Levina akazinyonya lipsi za Tomas, taratibu kisha akamsindikiza hadi kwenye mstari wa abiria. Tomas akapanga mstari na akakaguliwa hati yake ya kusafiria na kwa bahati nzuri haikuwa na tatizo lolote.
“Safari njema bwana Brian Sanga”
Muhudumu huyo wa kike alizungumza huku akimkabidhi Tomas hati yake ya kusafiria.
“Nashukuru”
Tomas akageuka na kumtazama Levina aliye achia tabasamu pana. Akampungia mkono kisha akaelekea eneo ambalo ndege yao ipo. Akaingia kwenye ndege anayo ondoka nayo, akatafuta siti yake na kuketi huku moyoni mwake akiwa na furaha kwani ana ondoka nchini Tanzania kirahisi sana. Kutona ndege yao ikaruhusiwa kuanza kuondoka kabla ya ndege aliyo panda nabii Sanga pamoja na mke wake.
“Mungu tutangulie”
Nabii Sanga alizungumza huku akimshika mkono mke wake.
“Yaa Mungu atakuwa pamoja nami”
“Hivi Julieth umemuachia pesa ya kutosha?”
“Ndio, nimewapa pesa ya matumizi ya kutosha. Nahisi kwa wao wawili hawawezi kuimaliza kwa mwenzi mmoja”
“Sawa”
Mara baada ya ndege aliyo panda Tomas kuacha ardhi, ndege waliyo panda nabii Sanga ikaruhusiwa, taratibu ikaanza kuondoka eneo hilo na kuanza kushika kasi katika run way yake. Baada ya dakika chache taratibu ikaanza kupaa na kuacha ardhi ya nchini Tanzania. Baada ya ndege kukaa sawa hewani, nabii Sanga akafungua mkanda wa siti yake huku akitazama saa yake ya mkononi.
“Saa mbili kasoro”
“Wana kwenda na muda”
“Ni kweli japo walichelewa dakika kumi nyuma”
“Ndio, si kutokana na ile ndege ya Afrika kusini walio tutangazia kwamba ili haribika, ilipaswa ile ihawi kuondoka”
“Haya mke wangu”
Nabii Sanga alizungumza huku akimfikiria Magreth ambaye ameondoka pasipo hata kumpigia simu asubihi hiyo. Hii yote ni kutokana na kubanwa na mke wake.
***
Asubuhi na mapema Magreth akaamka, akajiandaa haraka haraka na kumpigia simu Sheby na kumuomba aweze kufika nyumbani kwake. Haukupita muda mrefu Sheby akafika katika eneo hilo.
“Hivi sister kwa nini usijifunze kuendesha?”
“Yaani weee acha, ila si tulipanga weekend hii ndio utanifundisha”
“Ndio”
“Basi, ufanye hiyo. Kwa sasa twende hospitalini”
“Poa, tena mke wangu jana usiku nimempeleka hapo hapo Mwana nyamala”
“Ana sumbuliwa na nini?”
“Uchugu, siku zake nahisi zimesha karibia”
“Mungu amsaidie kwa kweli”
“Utamuona tukifika”
Wakaondoka na haikuwachukua muda mrefu sana wakafika hospitalini, wakaelekea katika wodi za wazazi. Sheby akamsalimia mama yeka mkwe ambaye yupo hospitalini hapo kwa ajili ya kuangalia maendeleo ya binti yake.
“Mama huyu ni Magreth, ni bosi wangu”
“Ohoo habari yako binti”
“Salama shikamoo mama”
“Marahaba”
“Vipi hali ya mgonjwa ina endeleaje?”
“Bado ana ugulia uchungu, manesi wanaendelea kujitahidi kuhakikisha kwamba wana muweka katika hali nzuri”
“Poleni sana”
“Tunashukuru”
“Mama mimi ngoja niwakimbie kwa maana kuna mgonjwa wangu, alichomwa kisu. Sasa nahitaji kwenda kumuoa”
“Ohoo pole sana mwanangu”
“Nashukuru sana mama”
“Tomas, tuta wasiliana”
“Sawa sawa sister”
Magreth akandoka katika wodi hizo na kuelekea katika chumba cha alicho lazwa Evans. Akamkuta Evans akiwa ametundikiwa dripu la maji.
“Una endeleaje?”
“Namshukuru Mungu ana nisaidia”
“Madaktari wamesemaje?”
“Ahaa hawana jipya. Ila nina imani nita endelea salama”
“Ila ngoja kwanza nizungumze na madaktari”
“Uzungumze nao kuhusiana na nini?”
“Ikiwezekana nikuhamishe hospitali na nikupeleke katika hospitali ambayo una weza kupata huduma nzuri zaidi”
“Sawa”
Magreth akatoka chumbani humo na kuingia katika chumba cha daktari aliye muhudumia Evans toka siku ya kwanza amemleta katika hospitali hiyo.
“Dokta nimekuja ili niweze kufahamu maendeleo ya mgonjwa wangu”
“Mgonjwa wako ana endelea vizuri. Kwasasa tuna imani kwa asilimia mia moja kidonda chake kitakwenda kukaa sawa”
“Labda ndani ya muda gani kidonda chake kitakuwa kimepona?”
“Mmmm ndani ya wifi moja ata kuwa yupo tayari”
“Ahaa….sawa kwa maana nilikuwa nina panga kama ikiwezekana tumuhamishe hospitali”
“Hakuan haja ya kufanya hivyo. Hapa atapatiwa matibabu mazuri sana”
“Sawa nashukuru kwa ushirikiano wako daktari”
“Karibu sana. Ahaaa naweza kukuuliza kitu binti?”
“Uliza tu”
“Naweza kupata namba yako ya simu, endapo kuta kuwa na lolote kuhusiana na mgonjwa, niweze kukujulisha?”
Magreth akamtazama daktari huyo kisha akatabasamu.
“Una weza kunipatia namba yako”
“Sawa waweza andika”
Daktari akataja namba yake na Magreth akainakili kwenye simu yake kisha akatoka ofisini hapo. Siku nzima akaitumia kukaa hospitalini hapo na Evans na wakapata muda wa kujadili mambo mengi sana kuhusiana na maisha yao ya baadae. Jioni ilipo wadia Magreth akarudi nyumbani kwake huku akiwa na wazo kubwa biashara alilo shauriwa na Evans.
***
Ndani ya masaa machache, Tomas akafika nchini Afrika Kusini. Hati yake ya kusafiria ilipo pigwa muhuri wa kuiruhusiwa kuingia nchini Afrika kusini, akakabidhiwa na muhudumu huyo wa uwanja wa ndege na kutoka kiwanjani hapo. Akakodisha taksi na moja kwa moja akaelekea katika nyumba ya mke wake anayo ishi na mtoto wake. Akafika nyumbani hapo na kumlipa dereva taksi kisha akasimama kwa sekunde huku akiitazama nyumba hiyo nzuri.
‘Ata nifahamu kweli?’
Tomas alizungumza huku akianza kutembea kuelekea kwenye mlango wa nyumba hiyo. Akaminya kengelea na baada ya muda mlango ukafunguliwa. Akasimama jamaa wa kizungu aliye valia pensi huku akiwa tumbo wazi.
“Nini nikusaidie”
Mwanaume huyo alimuuliza Tomas huku akimkazia macho. Tomas akamuona mke wake akifika mlangoni hapo huku akiwa amevalia nguo nyepesi.
“Baby ni nani?”
Mke wa Tomas alimuuliza jamaa huyo na kuufanya moyo wa Tomas kustuka sana kwani hakutarajia kama mke wake ana weza kuolewa na mwanaume mwengine.
“Habari yako kaka?”
“Salama”
Tomas aliitikia na kumfanya mke wake kustuka sana kwani sauti ya Tomas ana ifahamu vizuri sana.
“Samahani nina hisi nitakuwa nimekosea nyumba”
Tomas alizungumza huku akianza kuondoka eneo hilo na kumuacha mke wake akiwa katika njia panda.
“Hei nisubiri”
Mke wa Tomas alishindwa kuvumilia na kujikuta akimkimbilia Tomas anaye karibi kufika barabarani. Tomas akasimama na kugeuka.
“Anita kwa nini ume nisaliti?”
“Wewe ni Tomas?”
“Ndio ni mimi, hii sura niliyo nayo ni sura ya bandia tu. Ila nimeumia sana”
“Ninaweza kukuamini vipi kwamba wewe ni Tomas”
Tomas akafungua begi lake na kutoa hati yake ya kusafiria ambayo ina picha yenye sura yake halisi na jina lake halisi. Anita akaanza kutetemeka mwili mzima huku akikosa cha kuzungumza.
“Nitahitaji kumuona mwanangu nikiwa katika sura yangu halisi. Kwaheri”
Tomas alizungumza huku akiichomoa hati yake kwenye mikono ya Anita, kisha akasimamisha taksi inayo katiza barabarani hapo, akapanda na moja kwa moja ikampeleka hadi katika hoteli aliyo mtajia dereva huyo.
***
Nabii Sanga na mke wake wakafika jijini Lagos Nigeri. Wakapokelewa na rafiki yake mkubwa bwana Okocha ambaye na yeye pia ni mchungaji mkubwa sana katika jiji la Lagos. Wakaelekea katika hekalu lake lililopo nje kidogo na jiji la Lagos.
“Karibuni sana”
“Tunashukuru sana ndugu yangu”
“Naona muna zidi kung’ara na mama ana zidi kurudi katika hali ya ujana”
“Hahaa ndio hivyo shemeji”
“Waooo jamani karibuni sana”
Mke wa nabii Okocha alizungumza huku akikumbatiana na mrs Sanga, mara baada ya kuonana nyumbani hapo.
“Asante sana mama Okocha”
“Jamani shemeji karibu sana”
“Nashukuru sana shemeji, nawe naona una zidi kuwa kijana badala ya mzee”
“Hahahahahaaa…..Hapana bwana”
Walizungumza kwa furaha, wakakaribishwa kwenye meza kwa ajili ya chakula cha usiku. Wakapata chakula cha usiku huku wakizungumza mambo mbali mbali kwani ni miaka karibia mitatu hawajawahi kuonana zaidi ya kuwasiliana.
“Ndugu yangu Okocha, niambie huduma yako ime fikia wapi?”
“Ahaa namshukuru sana chief kwa maana kwa sasa huduma yangu imefika hadi Ghana, Senegal kwa ufupi west Afrika nzima kwa sasa nime ishika hapa mkononi mwangu. Yaani imenibidi kwa sasa nijenge kanisa jengine hapa Lagos ambalo litachukua waumini zaidi ya laki tatu kwa misa moja”
“Duuu kweli mambo ni mazuri kwa upande wako”
“Tena kabla haujalala, tuende kwa chief nina imani mambo yako na wewe ni mazuri”
“Yaa nimazuri, ila bado sijafikia kiwango ulicho nacho wewe”
Nabii Sanga na nabii Okocha hawakusita kuzungumza mambo hayo mbele ya wake zao kwa maana wao pia wana fahamu kila jambo linalo endelea katika huduma hizo za waume zao. Ambazo mbele ya macho ya watu wengi wana amini kwamba wana tumia nguvu za mwenyezi Mungu, ila ukweli kwamba wana tumia nguvu za shetani kutoka kuzimu kabisa.
“Sawa tuta kwenda ndugu yangu”
Wakamaliza kupata chakula cha usiku, nabii Sanga na nabii Okocha wakaondoka eneo hilo la nyumbani na kuwaacha wake zao.
“Nimekumiss Lulu”
Mrs Sanga alimuambia mke wa nabii Okocha huku wakitazamana kwa macho ya mahaba.
“Hata mimi, twende ndani”
Mrs Okocha akamshika mkono, mrs Sanga na wakaondoka eneo la sebleni na kuingia katika chumba ambacho Mrs Sanga atalala na mume wake. Wakakumbatiana taratibu kisha wakaanza kunyonyana lipsi zao huku wakiwa kwatika hisia kali za kimapenzi. Ndani ya muda mchache wakabaki kama walivyo zaliwa na wakapanda kitandani huku Mrs Sanga akiipanua miguu ya mwana mama huyo na kuanza kunyonya kiumbua chake taratibu.
“Aiisiii..oo….hooooo”
Mrs Okocha alilalama kimahaba huku ekiendelea kufurahi jinsi mrs Sanga anavyo nyonya kitumbua chake kwa utaalamu. Mrs Okocha alipo ridhika, ikawa ni zamu ya mrs Sanga kunyonywa kitumbua chake. Mrs Okocha, akaipitisha miguu yake katikati ya miguu ya mrs Sanga na vitumbua vyao vikakutana kwa pamoja na wakaanza kusuguana huku kila mmoja akionekana kurufahia penzi hilo ambalo waume zao na watu wengine hawalitambui kabisa.
***
Nabii Sanga na nabii Okocha wakafika katika moja ya pango kubwa lililopo msituni. Wakaingia katika pango hilo lonalo tisha kwa giza nene. Ujasiri walio nao toka siku ya kwanza walipo jiunga na kundi hilo linalo muambudu shetani, hawakuweza giza hilo. Wakafika katika eneo lenye mwanga hafifu wa taa zilizo wekwa katika kuta za pango hilo. Wakapiga makofi mawili kwa pamoja, na mwanga wa taa hizo zikaongezeka. Wakavua nguo zao zote na wakabaki kama walivyo zaliwa kisha wakaanza kutembea kuelekea ndani kabisa ya pango hilo, ambalo njiani lina mafuvu mengi ya binadamu walio kufa.
Wakafika katika ukumbi mkubwa na kukuta watu wawili ambao waliwakabidhi majoho mawaili mekundu. Kabla ya kuyavaa majoho hayo wakaingia katika bwawa kubwa lenye maji ya moto yanayo chemka kisawa sawa. Maumivu ya maji hayo ya moto wanayo yapata kwenye miili yao, wakaendelea kuyavumilia kwa maana ndio dawa inayo safisha miili yao kabla ya kueleka kwa chief wao anaye wapatia nguvu hizo. Baada ya nusu saa wakatoka katika bwawa hilo na kuvaa majoho yao. Wakaanza kuwafwata watu wawili walio valia majoho meupe. Wakaingia katika moja ya chumba kilicho zungukwa na mishumaa mingi na mikubwa inayo waka. Wakapiga magoti chini na kusujudu mara saba kisha wakanyanyua nyuso zao na kumtazama mwana dada mrembo mwenye ziwa moja kubwa kifuani mwake na yeye ndio mkuu wao.
“Sanga habari za muda mrefu?”
“Salam asana mkuu”
“Sogea hapa”
Nabii Sanga akanyanyuka na kosogea sehemu aliyo kaa mkuu wake huyo ambaye ni wakala namba moja wa shetani kutoka kuzimu. Mwana dada huyo akasimama na kuanza kumzunguka nabii Sanga, akamvua joho lake na akabaki kama alivyo zaliwa. Akaanza kuyatomasa tomasa makalio ya nabii Sanga huku akimtazama.
“Ume kiuka masharti yako kwa nini?”
“Masharti gani mkuu?”
“Una paswa kumfir** kijana wa miaka chini ya kumi na nane na si mke wako wala mwanamke wa aina yoyote na wala si mwanaume wa miaka zaidi ya miaka kumi na nane. Kwakufanya hivyo itakupasa na wewe leo ufirw**”
Kauli hiyo ya mkuu wake ikamfanya nabii Sanga mapigo yake ya moyo kuanza kumuenda kasi sana kwani toka kuzaliwa kwake hajawahi kutana na tukio hilo japo yeye alisha wahi kumfanyia Tomas, mtu aliye muibia mke wake.
ITAENDELEA
Haya sasa, ule usemi wa what gose around come around sasa ume mrudia nabii Sanga ni nini ambacho ata kifanya kuepuka na adhabu hiyo? Endelea kufwatilia kisa hichi cha kusisimua, usikose sehemu ya 29.

No comments:
Write comments

Recommended Posts × +