Pages

Friday, May 17, 2019

UUME HATARINI KWA JIKE YOYOTEE

Kila mwanaume halisi lazima ajivunie uume wake na hasa anapofahamu faida yake kubwa aliopewa na mwenyenzi Mungu.Uume ni chanzo kikuu na cha pekee kwa heshima ya mwanaume lakini ukosefu wa ufahamu unaweka uume hatarini sana.Na sio hilo tu bali watu wenye tama ya kujitajirisha bila kujali usalama wa watu wengine nao ni maadui sugu wa heshima hii ya kipekee ya mwanaume. Kwenye dawa za mswaki kama vile kwenye sigara na pombe unatakiwa upewe onyo kali la aina hii:

ONYO:-
“Weka mbali na watoto chini ya miaka 6 iwapo utameza zaidi ya ile inayohitajika kupigia mswaki haraka muone Daktari au kituo chochote cha kuzuia majanga ya sumu.”

Onyo hili linazungumzia kiwango cha madini ya FLUORIDE yaliyomo kwenye dawa za mswaki. FLUORIDE ni sumu mbaya na kiasi kinachoweza kuleta madhara ndicho ambacho ni muhimu kuwa makini nacho. Makampuni yote ya dawa za miswaki wanajua hatari hiyo na hivyo kukuwekea povu lenye ladha nzuri kuficha makali ya sumu hiyo.

Ni kweli sumu hiyo ya FLUORIDE iliomo kwenye  dawa ya mswaki ni ndogo lakini hebu tujiulize; “hivi ni busara kuonja sumu hata kama ni kiasi kidogo?. “ pamoja na sumu hiyo pia ipo nyingine iitwayo SODIUM LAURYL SULPHATE ambayo huleta hisia kama ya kuunguza hivi na ukakasikakasi na mlundikano wa sumu hii nyingine unaweza kuleta matatizo kwenye njia ya chakula.

Huko Marekani shirika la serikali linalohusika na mambo ya usalama wa chakula FDA mwaka 1997 ilitoa ripoti kuwa dawa ya mswaki ya COLGATE kama vile dawa nyingine za mswaki zina madini yaitwayo TRICLOSAN ambayo yana nguvu ya kusababisha ugonjwa wa saratani (CANCER).

Taarifa hiyo ya FDA yenye kurasa 35 imeelezea pia kemikali hiyo ya TRICLOSAN inaweza khatarisha ukuaji wa mimba au kutoka kwa mimba. Na sio hilo tu bali pia kemikali hiyo inawafanya bacteria wawe sugu kwa dawa zenye antibiotics, FDA inaendelea na uchunguzi wake ili kuwasaidia makampuni kutafuta kemikali mbadala. Pamoja na hiyo,  sio faraja kwetu kuona kuwa tunatumia vitu vyenye hatari kwa maisha yetu.

Ndugu yangu amka, uume wako unashambuliwa bila ya wewe kujua. Nimekuwa nikifanya kazi ya ushauri kwa muda wa miaka 8 sasa. hivyo muda wote huo nimekuwa nikishangazwa na wingi wa wanaume wanaokuja kwangu kutafuta tiba ya nguvu za kiume na kuongeza ukubwa wa uume. Ni kweli nahitaji fedha wanazoleta wanaume hao lakini pia nilikuwa nahitaji jibu la swali langu kwanini wanaume wanapata matatizo haya?.Siku moja nilipata mteja mmoja baba mwenye umri wa miaka 48 na alikuja kwangu baada ya kunisikia redioni.Baba huyo alikuja kwangu akiwa na tatizo la nguvu za kiume na alinifurahisha pale aliposema kuwa mke wake ni mganga wa kienyeji na alikuwa anashangaa kuona vijana wadogo wakija kwa mke wake kutafuta tiba wakati mke wake ameshidwa kumsaidia kwa tatizo hili hilo.Mke wake alifaidika kiuchumi lakini hawezi kuwa faida kwa jamii kwa mtido huo.



Toka nianzishe ofisi yangu ya CLINIC YA AFYA YA MAPENZI nimeshuhudia watu wenye umri kuanzia 17 hadi 80 wenye tatizo la nguvu za kiume .Muda huo wote nimekuwa nikifanya utafiti na nikakutana na taarifa ilionionyesha kuwa sio Watanzania pekee wanaohangaika na jambo hilo. Profesa Skakkebaek wa Chuo Kikuu cha Copenhagen huko Denmark anasema kuwa upo ushahidi wa kutosha kuwa kwa miaka 50 iliopita matatizo ya nguvu za kiume na madhaifu mengine ya viungo vya uzazi vimeongezeka sana.

Utafiti uliofanywa mwaka 2003 na shirika la ENVIRONMENTAL RESEARCH unaonyesha kuwa kiasi kidogo cha kemikali ya FLUORIDE iliomo kwenye dawa nyingi za mswaki ina uwezo wa kupunguza kiwango cha kichocheo cha TESTOSTERONE ambacho ni muhimu kwa nguvu za kiume na hamu ya tendo la ndoa. TESTOSTERONE ikipungua na nguvu za kiume zinapungua na sio hilo tu kwa vijana wanaokuwa wanaweza wakajikuta wana uume mdogo ,wanachelewa kutoka ndevu na sauti zao kuelekea sauti za kike. Hayo yote ni madhara ya FLUORIDE unayomeza wakati unapiga mswaki.Japokuwa ni kiasi kidogo lakini bado kinaleta athari mbaya ya tatizo la nguvu za kiume.

Kaka mmoja ambaye aliathiriwa na dawa zenye FLUORIDE alifanya utafiti binafsi na akagundua kuwa hata yule muuaji mkubwa duniani ADOLF HITLER aliweka FLUORIDE kwenye maji ya kunywa kwani alijua inawafanya wanaume wawe wapole na wepesi kukubali kutawaliwa na kutii amri wanazopewa.

Kaka huyo pia alikutana na tafiti inayoonyesha kuwa FLUORIDE inahusika katika kuwafanya wanaume wawe mashoga. Wazazi mnaowahimiza watoto wenu kupiga mswaki sasa ni wakati wa kuangalia upya tabia hii ya usafi.

Njia mbadala na dawa za mswaki tulizozoea na kutumia chumvi itokayo baharini. Uweke chumvi kwenye maji kidogo kisha chovya mswaki wako na tumia hiyo. Lingine ni kutumia BAKING SODA .( dawa itumikayo katika upikaji wa maandazi)Kutumia Baking soda ni kwa kuloweka mswaki wako kwenye baking soda  na kutoa na kuupigia mswaki huo kama kawaida ya upigaji wa mswaki.Ni kweli ulizoea dawa za kawaida zinazopigiwa debe sana lakini ukiona hatari iliopo utaweza kuzoea njia hiii salama  kabisa.

No comments:
Write comments

Recommended Posts × +